Mbowe katika Clouds FM, afafanua juu ya suala la Shibuda

hajafanya mikutano DAr kwa sababu mbili. 1 hali ya kisiasa ilikuwa tete Dar, 2. walitoa muda wa kurekebisha mambo ambayo yalikuwa hayaendi sawa katika serikali. Anategemea Clouds watashiriki sio kama waandishi wa habari bali kama sehemu ya watanzania
 
Mbowe hasemi ukweli anaposema kuwa CHADEMA ndio "custodians" na initiators wa hoja ya Katiba, amesahau CUF ndio waliobuni hoja hiyo na ndio walioandika mpaka rasimu ya katiba yao miaka mingi sana kabla ya chadema hata kufikiria.

Mambo mengine jamani mwambieni huyu Mwenyekiti wa magwanda awe anauliza kabla hajakurupuka.
Aliposema sio hoja ya CCM alikuwa anaihusisha na CUF as they are one and the same.
 
Kaka hapa hujaquote sawa, Hajasema kitu kama hiki.

Sina historia ya kuongea uwongo.

Nadhani utambue point ya msingi ni ipi,amesema shibuda atashughulikiwa na vikao halali vya chama,kipi cha uwongo hapa dada?
 
Mtangazaji anamtambulisha kama mwenyekiti wa kambi ya upinzani Bungeni, kakosea kwani hakuna nafasi kama hiyo Bungeni, Kuna kiongozi wa kambi Bungeni.
 
Mbowe anaomba CUF washariki mkutano wa Chadema Jangwani...sasa hapo nashindwa kumuelewa Mbowe CUF si CCM B sasa unawaomba wa nini?
 
Kamanda mkuu namsikiliza live hapa kwenye Clouds FM online.

Mshikaji anaongea issues zilizokwenda shule. Kweli amesema issue ya Shibuda na BAVICHA is a very minor issue! Anasema Jumamosi ya wiki hii wana launch Mchakato wa Katiba Mpya kwa kuhutubia Dar pale Jangwani kwa mara ya kwanza. Watanzania wote wanakaribishwa! Amewaomba Clouds FM kupitia kipindi cha Jahazi kushiriki kikamilifu kufikisha ujumbe huu muhimu kwa Watanzania wote. Kwamba CHADEMA ndiyo waanzilishi wa WAZO LA KUUNDWA KWA KATIBA MPYA. Hii ni kweli bila shaka kila Mtanzania anakubaliana na hili. Amesema CCM wamekutwa BY SUPRISE KWANI HAWAKUWA NA WAZO HILO HATA KIDOGO. Na kwa vile CCM ndiyo wenye serikali basi ndiyo wanasimamia mchakato huu lakini kiukweli halikuwa wazo la CCM. Ukweli mtupu.
 
Chadema tukifanya kitu kibaya mtu criticize na tukifanya kitu kizuri mtupongeze, sio kawaida yetu kuvifanya vyombo vya habari vitushabikie tu
 
Muongo mkubwa wewe anaongea mambo ya wanawake gamba lilokosa adabu wewe

Wewe nadhani ndio muongo mbona Mbowe kalitolea ufafanuzi suala la Shibuda, kasema hakuna tatizo wala kosa alichofanya Shibuda ni haki yake ya kikatiba.
 
Mbowe hasemi ukweli anaposema kuwa CHADEMA ndio "custodians" na initiators wa hoja ya Katiba, amesahau CUF ndio waliobuni hoja hiyo na ndio walioandika mpaka rasimu ya katiba yao miaka mingi sana kabla ya chadema hata kufikiria.

Mambo mengine jamani mwambieni huyu Mwenyekiti wa magwanda awe anauliza kabla hajakurupuka.
CCM waliianzisha lini, Magamba kwa kuiga siwawezi
 
cdm kuna viongozi makini sana hivi umesikia mwenyekiti alichosema kwa nini wamechelewa kuileta m4c hapa dar?
 
Mbowe hasemi ukweli anaposema kuwa CHADEMA ndio "custodians" na initiators wa hoja ya Katiba, amesahau CUF ndio waliobuni hoja hiyo na ndio walioandika mpaka rasimu ya katiba yao miaka mingi sana kabla ya chadema hata kufikiria.

Mambo mengine jamani mwambieni huyu Mwenyekiti wa magwanda awe anauliza kabla hajakurupuka.

Ribosome,

..Mbowe hajakurupuka.

..CDM kuwa chama kikuu cha upinzani ktk bunge la muungano, na kitendo chao cha kushinikikiza kuandikwa upya kwa katiba yetu, ndiko kulikopelekea serikali kuunda Tume ya Katiba ya inayoongozwa na Jaji Warioba.
 
nauliza tu hivi alirudisha vx serikalini au alikuwa anatupiga changa la macho? hili hapa kwenye picha KUB. WANAOJUA WATUJUZE KAMA ALIRUDISHA KWELI KAMA SIO IMEKUWAJE ANALO WKT TUNAJUA ALIRUDISHA? peopleeezzz power
n
1.jpg
 
Yaani kuja haja ya watu kuvishwa kanga huku unajikurupukia tu na shibuda pambaf
 
Back
Top Bottom