Kuna uzi mmoja uliwahi andikwa humu jamvini uliokuwa ni tetesi juu ya mkuu wa wadanganywa kubadirisha BARAZA LA MAWAZIRI ifikapo mwezi wa tatu. Kutokana na kikao cha siri kilichofanyika kati ya mkuu wa wadanganywa na yule mkuu wa magwanda, nahisi walikuwa wanakubaliana kuhusu wabunge wa magwanda washirikishwe katika hilo baraza la mawa ziri. Msiniulize sosi maana sosi ni hisia zangu tu.
Nilishasema Chadema anayeaminika ni Dr. Slaa tu na asipokuwepo huyo mimi sikipigii kura chadema hakiyamungu
hivi inawezekana?
Mi nshasema siku CDM ikiingia mseto na CCM narudisha kadi na nitaapa kutokuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa hadi nakufa.
Maybe, maybe not...hivi inawezekana?
?hisia......zako. Wewe katiba inaruhusu?
Craaaaaap! Disgusting! Hatuwezi kujadili 'hisia' rather we discuss 'ideas'
Kajipange ndugu
Kuna uzi mmoja uliwahi andikwa humu jamvini uliokuwa ni tetesi juu ya mkuu wa wadanganywa kubadirisha BARAZA LA MAWAZIRI ifikapo mwezi wa tatu. Kutokana na kikao cha siri kilichofanyika kati ya mkuu wa wadanganywa na yule mkuu wa magwanda, nahisi walikuwa wanakubaliana kuhusu wabunge wa magwanda washirikishwe katika hilo baraza la mawa ziri. Msiniulize sosi maana sosi ni hisia zangu tu.
Mi nshasema siku CDM ikiingia mseto na CCM narudisha kadi na nitaapa kutokuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa hadi nakufa. Sitaki kuwa mwanachama wa CCM C, D, E, F, G, etc.
Obama alipoingia madarakani, kama sikosei aliwashirikisha wapinzani. Je, katiba yao ilikuwa inaruhusu?, na kama ilikuwa inaruhusu mbona marais waliomtangulia hawakufanya hivyo, na kama Marekani, Kenya, Zimbabwe waliweza iweje Tanzania wasiweze. Zaidi mlango wa jambo kama hilo umeshafunguliwa na SUK ZANZIBAR, CHADEMA kwenda Magogoni kunywa chai na mkulu.