Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
Nani kasema Lipumba agombee ubunge na urais amwachie nani yeye ni mgombea urais wa maisha CUF.
Mi naona vyama vya upinzani wangemuweka mgombea mmoja kwa bara na mgombea mmoja kwa visiwani.
Wengine wote kuanzia wenyeviti, mamakamu, makatibu wakuu, mamakamu na wengine wagombee ubunge ili waongeze viti mjengoni.