Mbowe, Freeman; Lipumba, Ibrahim; Mbatia, James, Lyatonga, Augustino na Cheyo John.

okay hii ni nzuri mno ili watu wajadili mustakabali wa nchi yetu, halafu watu mbona wanakuwa wapungufu wa fikra za kusaidia wengine sasa mtu badala ya kuonesha alivyomwelewa aliyeleta hoja badala yake analeta udini. hiyo cjaipenda kabisa. a. msando nakukubali tangu enziza bunge la DARUSO
 
okay hii ni nzuri mno ili watu wajadili mustakabali wa nchi yetu, halafu watu mbona wanakuwa wapungufu wa fikra za kusaidia wengine sasa mtu badala ya kuonesha alivyomwelewa aliyeleta hoja badala yake analeta udini. hiyo cjaipenda kabisa. a. msando nakukubali tangu enziza bunge la DARUSO

Nakushukuru Chenya. Suala la hoja ni kuchokonoa mawazo na maoni sasa wengine kwa kutokuwa na mawazo au maoni wanaamua kuleta udini na ukabila! Huwa najiuliza, mimi kama mkristo nanunua petrol bei tofauti na muislamu au mpagani? Mama yangu mzazi mpaka leo hajalipwa mafao yake ya ualimu alioutumikia kwa miaka zaidi ya 30 na mkristo sasa inakuwaje?

Lakini najifariji kwa kusema 'demokrasia ndio ilivyo, haki ya kuzungumza na kuwaza'
 
Msando:
I salute you! but I tell you to day and you will remember forever when this will remain true ........................
After twenty years of multiparty practice in tz now we are at point, from now onward there shall be two strong political parties in island and mainland and there shall be no other political part beside CDM and CCM which will offset the strongest of the mention political parties........

Please note:
I full respect you but I have different opinion with your presentation thro, this thread! for a person with high integrate,respect and full of ideas could have presented the same Idea by different style
 
Wasalaam,

James Mbatia:

Baya: Ni mwenyekiti wa kwanza wa chama cha siasa kushindwa uchaguzi na mwanamke


Mimi ni mwanamke, tafadhali nisaidie majibu ya maswali yatokanayo na hoja yako
  1. Je mwanamke unamweka daraja gani katika jamii?
  2. Je unamaana mwanaume akishindwa na mwanamke ni jambo baya?
  3. Je hujawahi ona baadhi ya wanawake walio na uwezo kuongoza jamii na wenye busara zaidi kuliko wanaume?
  4. Je unalitazamaje hili; Kiongozi bora wa jamii anatoka katika familia iliyomlea vema na hapa mwanamke (mama) ni muhimili. (natambua kuna baadhi ya viongozi bora wa jamii wanaotoka katika makuzi ya mazingira magumu na/au hatarishi)
  5. Sambamba na (4 hapo juu) Je unatoa judgement gani juu ya mzazi wako wa kike?
  6. Je hao wanao lalamikiwa kwa wizi, ufisadi n.k. ambayo ni mambo mabaya wanajinsia gani, (Elewa hapa siwatetei wanawake wasio na sifa)
Nafikiri unahitaji kuvuka kimtazamo, vinginevyo upeo wako wa kupima mambo umeathiriwa na tabaka. Mimi ni mwanamke, nawathamini na kuwaheshimu sana wanaume but hilo halinifanyi kuwa kipofu kimtazamo. Kiongozi bora awe kiongozi bora kwa vigezo au hoja. Nakushauri usiendekeze mfumo dume usio na hoja, bali toa facts vinginevyo itakuwa ni sawa na kujionyesha "how inferior you are"
 
Back
Top Bottom