George Maige Nhigula Jr.
JF-Expert Member
- Mar 14, 2008
- 470
- 149
Albert Msando, heshima yako kaka,
Nadhani kila kiongozi kwenye Jamii lazima anakuwa na mema na mabaya pia no body is perfect under the sun, kila binaadamu ana weakness zake lakini inapokuja swala la uongozi wa taasisi flani tuna weight mazuri lazima yashinde mabaya, lakini mabaya yanaposhinda mema basi huyo hatufai na kazi zake hazina tija kwa jamii.
Lakini nilitaka kutoa angalizo kwenye post yako kwa mambo matatu:
1. Ni kuhusu swala la kadaiwa kwa kiongozi yeyote wa siasa na deni ni la kibiashara-Mimi sidhani kama ni kosa la jinai kwa biashara ya kiongozi au kiongozi yeye binafsi kudaiwa kibiashara au kuwa na mgogoro wa kibiashara, hii ni hali ya kawaida katika kila biashara, kwani kudaiwa ni kitu cha kawaida kwenye biashara, na wafanyabiashara wengi wana madeni kwenye mabenki na kampuni mbalimbali za kibiashara, kwani ni jambo la kawaida kukopa na kuwa na migogoro, lakini kwa watanzania wengi hawajui hilo, ndo maana wanaona ni kama kashfa kudaiwa.
2.Lazima tuwe waangalifu na maswala ya homophobic issue, kwani this is a very sensitive isue na ni swala la haki ya msingi ya mtu, kama mtu ni gay atakuwa na sababu maalumu na za msingi za kumfanya awe gay, labda ni nature ya maumbile, au ni uchaguzi wake binafsi, kuwa gay au lesbian hakumuondolei mtu haki ya ubinadamu wake na haki ya kuishi na kushiriki shughuli za kisiasa, tuache unafki, utasikia watu wengi wakiwabeza ******* hususani watu wa pwani na zanzibar wakati wao ndo wanaongoza kuwashughulikia *******, wanashindwa kutambua kuwa ukisha kuwa na uhusiano na mtu wa jinsia mojo basi na wewe ni gay ama lesbian. hivyo tusimbague mtu kutokana na sexual orientation yake, Tumeshuhudia ma senator na wabunge wengi wameweza kutekeleza majukumu ya kisiasa bila tatizo, hivyo usenge wa mtu sio issue, issue ni uwezo.
3. Kuhusu swala la kushindwa na mwanamke-That una touch issue sensitive ya gender, kwani wanawake wao sio binadamu wanaostahili kumshinda mwanaume, yaani umefanya mwanamke kama kiumbe dhaifu ambaye hastahili kumshinda mwanaume, inaonekana wewe ni muumini wa mfumo dume which is something ambacho kinapigwa vita duniani kote,
anyway tumeona kuna wanawake wanaweza kuwa effecient and effective kuliko wanaume, so tusawadharau kiasi hicho kwa ku suggest kuwa mwanaume kushindwa na mwanamke ni weakness, hapana