Mbowe awasifu askari polisi kwa kutenda haki

kilombero yetu

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,004
116
polisi kweli wametenda haki hawajaninyanyasa wala hajanidhuru ila wamenilinda sana,nilimsikia akisema itv jana
 
Kawaambie wananchi wa Jiji la Arusha na kijiji cha Nyamongo, North Mara, hizo story za "utendaji haki" wa Polisi!
 
Ni kweli alikri hilo lakini kumlinda sana indirect aliwatukana, kituo kizima kililindwa extra ordinary kisa Mbowe, kwani Mbowe Mullah Omary? Jet ya kijeshi nayo ilithibitisha alilindwa sana n.k
 
ingekuwa raia na mali zetu tunalindwa namna hii na jeshi la polisi kungekuwa na wezi? nadhani hili ndili swali tunalotakiwa kujiuliza
 
Back
Top Bottom