mbowe awasifu askar police kwakutenda haki

kilombero yetu

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,004
116
walinikamata hawakuninyanyasa hawakunipiga walakunifanyia kitendo kibaya chochote,walinilinda wakithamini uongoz wangu kwa taifa letu,alisema mbowe kwenye taharifa ya habar ya itv .


jaman tumuunge mkono mwenyekiti mbowe kuwapongeza askari
 
aisifiaye mvua................... hongera kamanda kova na vijana wako kwa ustaarabu mliouonyesha ................. onyesheni hivyo hivyo hata kwa raia wengine wasio na nafasi kubwa katika jamii......................
 
Hapo ndipo nnapo wapendea polisi wa Tanzania, wanakusweka ndani halafu wanakupa "shikamoo Mzee".
 
Ni limbukeni mkubwa huyo jianaume zima na ushungi kichwani,Gamba la siku zote,haya sasa nenda ofisi za CCM ukachukue posho mana umeshamaliza ulichotumwa na limbukeni mwenzako NAPE
 
Hapo ndipo nnapo wapendea polisi wa Tanzania, wanakusweka ndani halafu wanakupa "shikamoo Mzee".

upo sahihi embu ona mtu wa kawaida aliyekamatwa kwa kosa hata kama la kijinga uone kama kama kuna mtu atakuja kukupa hiyo shikamoo.
 
Hata mimi nilishaambiwa na mtu wa karibu kuwa unyanyasaji wa polisi kwa mahabusu haupo labda mahabusi wenyewe kwa wenyewe tu.
 
Back
Top Bottom