FMES,
Usisikitike sana. Msimu wa uchaguzi umeshaanza hivyo na nadhani CHADEMA hawajasahau jinsi Mzee Chigwisyi alivyowaliza kule Busanda.
Mkuu FMES umechemsha mfano wako wa usultani maana ya usultani muulize Mugabe na Malecela mwenyewe waliokaa madarakani enzi na enzi wala si Mbowe, ikiwa Malecela na Mugabe hakuwaletea maendeleo wananchi ezi za ujana wao wakati wakingali na nguvu wasitegemee miujiza yeyote enzi hizi za science & technology (electronic era) watafiti waliobobea husema ukizeeka sana hata reasoning capacity inapungua ndiyo maana Mandela aliongoza kwa kipindi kimoja tu akawaachia wengine kigezo pale kilikuwa si kukubalika au kutokubalika maana hata angegombea tena angeshinda tu kigezo kilikuwa umri na utu uzima.- Freeman anaweza kuongelea usultani baada ya yeye mwenyewe na mkwe wake kumtia kitanzi Zitto, alipotaka Demokrasia anayoililia kutoka CCM ni maajabu ya Musa, kweli ukishangaa ya musa utaona ya firauni, yeye Demokrasia ameikataa kutoka kwa Wangwe lakini leo ana ubavu wa kulaumu CCM hili taifa na unafiki sijui ni nani ametuloga!
- Halafu vipi Ndesamburo na Dr. Slaa kwani hawa ni American Idol? Freeman alizaliwa na hawa?
Respect.
FMEs!
Tuelezee mazuri aliyofanya huko Dodoma ili tuyaunganishe na ujumbe mkuu au hitimisho la habari hii yaani: '' Mbowe aliwashambulia baadhi ya wabunge wa CCM waliokuwa wakijinadi kuwa ni makamanda wa kupambana na ufisadi kuwa wameonyesha kutokuwa na uwezo wa kupambana na ufisadi.- Mkuu wangu, Freeman alianza vizuri sana huko Dodoma...
FMEs!
Mkuu FMES umechemsha mfano wako wa usultani maana ya usultani muulize Mugabe na Malecela mwenyewe waliokaa madarakani enzi na enzi wala si Mbowe, ikiwa Malecela na Mugabe hakuwaletea maendeleo wananchi ezi za ujana wao wakati wakingali na nguvu wasitegemee miujiza yeyote enzi hizi za science & technology (electronic era) watafiti waliobobea husema ukizeeka sana hata reasoning capacity inapungua ndiyo maana Mandela aliongoza kwa kipindi kimoja tu akawaachia wengine kigezo pale kilikuwa si kukubalika au kutokubalika maana hata angegombea tena angeshinda tu kigezo kilikuwa umri na utu uzima.
- Kuondoka Mandela na kuongozwa na Zuma ni a big joke ni afadhali Mandela angeenedelea, siamini kwamba Mugabe hatakiwi na wananchi wa nchi yake, isipokuwa ninajua kwamba hatakiwi na The West tu, hata mpinzani wake mkuu anamkubali na sisi Tanzania hatuwezi kuingilia siasa za Zimbabwe maana kuna mengi sana hatuyajui,
- Kwamba uzee ni tatizo katika uongozi wa taifa, itakwua ni science za Tanzania tu, maana huko nchi zingine hakuna tatizo, sasa wewe na Freeman mngetupa darasa jinsi umri mdogo wa Kikwete ulivyo better kiuongozi kuliko umri wa Mwalimu au wa Mwinyi na Mkapa, ndio maana tunasema hana hoja, halafu vipi Ndesamburo na Dr. Slaaa wao vipi huu uzeee hauwasumbui na sio tatizo au ni wazeee wa CCM tu?
Mkuuwangu I disagree na hizi siasa za umri, ninasema ni simply foolishnes na ni daliili za kushindwa uchgauzi hata kabla haujafanyika. Tunahitaji viongozi wenye uwezo wa uongozi, lakini sio mambo ya umri!
FMEs!
Hivi Mbowe ndiyo mtu wa kwanza kusema wazee wang'atuke mbona ni wengi tu waliosema hivyo hata Nyerere aliwahi kutamka maneno hayo 'wazee tung'atuke' mbona hukumwambia nonsense, kama kwa hili Mbowe kasema nonsense unaweza kutuambia ni sense gani alizowahi kuongea Mzee Malecela au ile ya ku support serikali tatu (G55) au pale aliposema mbele ya public 'you can go to hell' hizi ndio unaziona sense kwako, kwa kumbukumbu zangu huyu Mzee aliwahi kuitwa mhuni na Baba wa taifa correct me if am wrong, CCM wanamlea kwa sababu anajua siri zao nyingi otherwise CCM kingekuwa chama makini angekuwa nje siku nyingi.- Freeman kijana alifanya nini bungeni zaidi ya kukubaliana na mafisadi kila siku, ni lini umewahi kumsikia Freeman akishambulia mafisadi au simply akimshambulia Lowassa au Rostam, Freeman hana hoja hapa kama ni wazee basi hata Ndesamburo ni mzee, Dr. Slaaa ni mzeee pia, Freeeman hana hoja siasa za uzee na ujana ni smply a myth ambayo Freeman hana facts za kutosheleza any side iwe ya wazee au ya vijana, yeye kijana amemfanyia nini Zitto kijana mwenzake kule Chadema, mbona hakumpisha kwa vile Zitto ni kijana kuliko yeye?
- Hili taifa mpaka tutakapoamka usingizini ndio tutalinasua kutoka kwenye uongozi mbovu wa vyama vyote, hivi kweli huko Chadema hakuna kiongozi wa kuweza kushika Uenyekiti akaweza kuongea sense kuliko hizi nonsense za Freeman? I mean this is a cry for a new chairman, huwezi sema mbele ya public kwamba utatumia resources zote za chama kumng'oa mbunge mmoja tu this is foolish!
-Inasikitisha sana!
FMEs!
- Kuondoka Mandela na kuongozwa na Zuma ni a big joke ni afadhali Mandela angeenedelea, siamini kwamba Mugabe hatakiwi na wananchi wa nchi yake, isipokuwa ninajua kwamba hatakiwi na The West tu, hata mpinzani wake mkuu anamkubali na sisi Tanzania hatuwezi kuingilia siasa za Zimbabwe maana kuna mengi sana hatuyajui,
- Kwamba uzee ni tatizo katika uongozi wa taifa, itakwua ni science za Tanzania tu, maana huko nchi zingine hakuna tatizo, sasa wewe na Freeman mngetupa darasa jinsi umri mdogo wa Kikwete ulivyo better kiuongozi kuliko umri wa Mwalimu au wa Mwinyi na Mkapa, ndio maana tunasema hana hoja, halafu vipi Ndesamburo na Dr. Slaaa wao vipi huu uzeee hauwasumbui na sio tatizo au ni wazeee wa CCM tu?
Mkuuwangu I disagree na hizi siasa za umri, ninasema ni simply foolishnes na ni daliili za kushindwa uchgauzi hata kabla haujafanyika. Tunahitaji viongozi wenye uwezo wa uongozi, lakini sio mambo ya umri!
FMEs!
Kuna mchangiaji mmoja kasema uongozi si akili pekee yake na wala si kuhitajika inajumuisha pia busara na hekima hata kama unapendwa kiasi gani kuna wakati unatakiwa kusema NO enough is enough nimekupa mfano mzuri wa Mandela angekuwa bado ni president leo watu wangekuwa wamemchoka.- Kwamba uzee ni tatizo katika uongozi wa taifa, itakwua ni science za Tanzania tu, maana huko nchi zingine hakuna tatizo, sasa wewe na Freeman mngetupa darasa jinsi umri mdogo wa Kikwete ulivyo better kiuongozi kuliko umri wa Mwalimu au wa Mwinyi na Mkapa, ndio maana tunasema hana hoja, halafu vipi Ndesamburo na Dr. Slaaa wao vipi huu uzeee hauwasumbui na sio tatizo au ni wazeee wa CCM tu?
FMEs!
Kuna mchangiaji mmoja kasema uongozi si akili pekee yake na wala si kuhitajika inajumuisha pia busara na hekima hata kama unapendwa kiasi gani kuna wakati unatakiwa kusema NO enough is enough nimekupa mfano mzuri wa Mandela angekuwa bado ni president leo watu wangekuwa wamemchoka.
Kwangu mimi age sio issue! Kina Kennedy wamekufa wakiwa Ma-senetor! The question is amefanya nini? Yes! alishiriki kuleta vyama vingi! But was it real in his consent? Au kwa sababu alikuwa analazimishwa na babu zake wa magharibi? For years amekuwa kiongozi nchi leo hii ukimwuliza mtanzania wa kawaida atasema nini kuhusu huyu Mbunge wa Mtera! Totally nothing! Atakumbukwa kwa lipi? Totally waste? Kwa sababu ni biashara kama kawaida!Kama Malecela anachapa kazi yake inavyo takiwa na kachaguliwa kwa ridhaa ya wananchi usituletee ubaguzi wako wa kichaga na age
Kwangu mimi age sio issue! Kina Kennedy wamekufa wakiwa Ma-senetor! The question is amefanya nini? Yes! alishiriki kuleta vyama vingi! But was it real in his consent? Au kwa sababu alikuwa analazimishwa na babu zake wa magharibi? For years amekuwa kiongozi nchi leo hii ukimwuliza mtanzania wa kawaida atasema nini kuhusu huyu Mbunge wa Mtera! Totally nothing! Atakumbukwa kwa lipi? Totally waste? Kwa sababu ni biashara kama kawaida!
They are kind of Leaders ambao wanatumia umbumbumbu wa Tanzania kufanya mambo yao yaende? Yeye amekuwa mstari wa mbele kabisa kuvikandamiza na kuvidhoofisha vyama vya upinzani?
Pamoja na utumishi wake wa mda mrefu hebu fanya sensa leo hata kuuliza tu Mzee unamkunuka kwa lipi! Im sure 90% watasema nothing because it is real is!!
Wewe unafikiri Malecela bado anahitajika kwa lipi ambalo hajalimalizia kwa miaka zaidi ya 30 kama hajafanikiwa kama unavyosema Mandela alivyofanikisha na kung'atuka unafikiri apewe miaka mingapi zaidi 20? huo unaitwa usultani au uroho wa kisiasa.Lakini Luteni kama wananchi wanakutaka utafanyaje? Akisema hatogombea wakati wananchi wanamtaka ndio itakuwa natija ya uongozi mzuri? Mie nadhani lamsingi kwanza wananchi wathibitishe Malecela hawafai ikiwa ni kweli then tutajiuliza imekuwaje ang'angane na kiti hicho. Hapo ndio tupambane na kuwakomboa. Umetolea mfano wa mzee Mandela ni kweli aling'atuka wakati wananchi bado walikuwa wanamuhitaji but kaa ukijua Mandela yeye alikuwa akipigania uhuru wa watu weusi africa ya kusini. Alipofanikiwa akawa na kazi ya kuwaunganisha ili kuzika zile tofauti zao. Alipomaliza alikuwa haihitajiki tena ndio maana aliamua kung'atuka kwani Afrika ya Kusini ya sasa ni marekani ya Africa. Wanahitajika viongozi au icon tofauti ambapo mzee mandela haingii tena (pamoja na Zuma vilevile).
Je kuna link?
Wewe unafikiri Malecela bado anahitajika kwa lipi ambalo hajalimalizia kwa miaka zaidi ya 30 kama hajafanikiwa kama unavyosema Mandela alivyofanikisha na kung'atuka unafikiri apewe miaka mingapi zaidi 20? huo unaitwa usultani au uroho wa kisiasa.
Kimsingi Luteni tuko pamoja katika utendaji kuwa hamna la maana yule mzee amelifanya jimboni mwake but atolewe kwa hoja na sio kwa tabia au wasifu wa mtu. Kwani kwa njia hiyo yeyote atakaye shindana naye atashindwa kwani siasa ni mchezo wa kupakana matope tu.
Hivi Mbowe ndiyo mtu wa kwanza kusema wazee wang'atuke mbona ni wengi tu waliosema hivyo hata Nyerere aliwahi kutamka maneno hayo 'wazee tung'atuke' mbona hukumwambia nonsense, kama kwa hili Mbowe kasema nonsense unaweza kutuambia ni sense gani alizowahi kuongea Mzee Malecela au ile ya ku support serikali tatu (G55) au pale aliposema mbele ya public 'you can go to hell' hizi ndio unaziona sense kwako, kwa kumbukumbu zangu huyu Mzee aliwahi kuitwa mhuni na Baba wa taifa correct me if am wrong, CCM wanamlea kwa sababu anajua siri zao nyingi otherwise CCM kingekuwa chama makini angekuwa nje siku nyingi.
Hahaha,
Wakati mwingine huwa wanasahau kuwa wanaingiza kidole kwenye jicho la FMEs! Pole sana. Unajua tena uzee kama yalivyo maslahi ya taifa, zote ni relative terms!
Kwi kwi kwi.
Kuna mchangiaji mmoja kasema uongozi si akili pekee yake na wala si kuhitajika inajumuisha pia busara na hekima hata kama unapendwa kiasi gani kuna wakati unatakiwa kusema NO enough is enough nimekupa mfano mzuri wa Mandela angekuwa bado ni president leo watu wangekuwa wamemchoka.