Mbowe awa kiongozi wa upinzani bungeni, Zitto naibu , Lissu chief whip

Status
Not open for further replies.
Well, naamini Tanzania itatangulizwa mbele. Tuzinduke sasa na kuangalia mambo yatakayotusaidia wote as a national.
 
wana jf hii timu imekamilika ila namwonea huruma spika anayeteuliwa kwa dalili tunazoziona sasa eti ccm wanaleta uamuzi wao wa kukurupuka wa kudai hata na wanawake wanaweza wakati wanamtwisha mzigo ambao hatauweza kuubeba mama yetu huyu. kwani kwa nionavyo mimi tangu tupate uhuru hili bunge la sasa ni balaa kubwa limejaa vichwa vyenye udadisi na ushahidi wa hali ya juu. natamani bunge lianze hata j3 hii niipate ladha yake tu.
 
Kama upinzani ungekuwa makini zaidi huyu Mh. Hamad Rashid ndiye angefaa kugombea kiti cha uspika. Naamini upinzani ungekamilika lakini kumweka mh Mabere Marando? wamechemsha, hawezi kupewa kura.Nadhani wamempa nafasi agombee ili kumfurahisha huku wakijua hapati kitu. Bunge lingekuwa moto wa kuotea mbali; wabunge wengi CCM, wabunge wengi wa upinzani bara-Chadema,visiwani- draw. Raisi-CCM,Spika- CUF hapo ingekuwa ni kazi tu hakuna kulala.

CHADEMA waroho wa Madaraka, huoni safu ya uongozi wa viongozi wa upinzani. Mbowe ndio kiongozi, Msaidizi Kabwe, kwanini asiwe toka chama kingine? Uroho, uroho, uroho..............
 
- Well, saafi sana kusikia hizi good news kwamba Chadema wamekuwa smart enough kumpa Mh. Mbowe, uongozi wa upinzani bungeni kama nilivyoshauri mapema, uchaguzi mzuri sana maana utawasumbua sana watawala hasa magoi goi bravo MH. Freeman Mbowe, I SALUTE!

William.
 
Tanzania Dream Team na Tunamategemeo Makubwa Kutoka Kwenu. Ukiangalia Upande wa CCM - Usalama wa Taifa, Polisi na Jeshi - Dream Team Ipo Kwenye List ya Kikombe Kama Walivyomwondoa Kombe na Watanzania Wengine Walioongea Ukweli. Tunajua Wapo Wengi Wanatupa Tips na Strategies za CCM. This Time We are Not Backing Down. This is for you Chama Mafisadi.
 
Technology, utakubaliana nami kuwa wabunge wengi wa chadema ni wasomi na wanaulewa mkubwa hivyo wanajuwa nini wanakifanya, uamuzi wao ni mzuri mimi naunga mkono, mimi bado sina imani kubwa na Zitto Kabwe kutokana na misimamo yake flani flani kwenda tofauti kabisa na maslahi ya Taifa, he need to grow up a little bit na kujifunza kufanya kazi kwa team work, mara nyingi Zitto anapenda kuji inua sana yeye bila kujali maslahi ya Chama. He needs to follow Dr Slaa foot steps na kuacha ubinafsi
Hapa tuko pamoja
 
CHADEMA waroho wa Madaraka, huoni safu ya uongozi wa viongozi wa upinzani. Mbowe ndio kiongozi, Msaidizi Kabwe, kwanini asiwe toka chama kingine? Uroho, uroho, uroho..............
unakumbukumbu za mwaka 2005 CUF ilikuwaje....
 
CHADEMA waroho wa Madaraka, huoni safu ya uongozi wa viongozi wa upinzani. Mbowe ndio kiongozi, Msaidizi Kabwe, kwanini asiwe toka chama kingine? Uroho, uroho, uroho..............

ZAWADI

Naona umelewa ushabiki na upo kwnye usingizi pono,,,,,,,wewe si ndo ulikuwa unawashabikia MAFISADI?? sasa kiherehere cha nini? Endeleeni tu kuchakachua madaraka your days are numbered,,Jifunze yaliyotokea Ghana, Zambia,na Hata hapo Kenya. Kama unawabebea MIKOBA Mafisadi anza kutafuta kibarua kingine
 
M[SIZE=4 said:
zito [/SIZE]Kabwela;1252196]Mch. Mwenyekiti anakula hili zigo nini manake nasikia beki hazikabi kabisa kwa huyu mama

- Maneno yako mkuu yananikumbusha hadithi ya Marehemu Amina Chifupa!

William.
 
Kwa maoni yangu ninaona Zitto hana mapenzi mema na CHADEMA; kwanini basi?
Kitendo cha kujitangaza kugombea uongozi wa Upinzani Bungeni katika Facebook nathani hakikuwa cha ustaarabu maana katika dunia hii hamna chama cha upinzani chenye majority bungeni au seneti ambacho kiongozi wake yaani Chairman/chairperson ni member katika vyombo hivyo vya sheria na asikiongoze kwa uelewa wangu!

Huyu huyu Zitto tunayemjua ni mtu mwenye mawazo/fikra binafsi ambazo huwa anazipigania kwa nnguvu zote hata kama amepotoka mfano suala la Dowans! na ndie anataka kuwa kiongozi wa Upinzani? what if anatofautiana na kambi yake katika msimamo? can he make a compromise? Je haitakuwa fujo huko Bungeni?

Ni dhahiri uchaguzi wa CHADEMA kambi ya upinzani umezingatia ung'ang'anizi wake na kwa sababu zisizofahamika imebidi watimize matakwa yake na kusahau kunahitajika ushirikiano na vyama vingine kama CUF! jamani haka kakijana ni kadogo kiumri ya nini papara? nani asiyejua ni presidential material come 2015? hii papara yake ina madhumuni gani? Hivi huyu siye aliyesababisha Kafulila na wenzake (wanne) kutoka CHADEMA na kujiunga na NCCR Mageuzi mbali na ukweli kwamba umaarufu waliopatia Ubunge huko Kigoma ni matunda ya malezi ya CHADEMA?

Mi nathani ustahimilifu na subira ni muhimu kama mtu unahitaji kuwa kiongozi! hata kama unajiona uko bora zaidi ya seniors wako katika chama yaani for this case Mbowe! Mbona simuoni Mbowe akibwabwaja kwenye social networks kuhusu kugombea chochote? Hivi kuna ubishi kwanini ameteuliwa kiongozi wa Bungeni? kunahitaji maelezo hapo? Mi nathani kuna watu hawaitakii mema CHADEMA! time will tell coming 2015 lets wait and see
 
Naomba nikujuze tu kuwa hyo nafasi ya Mwakilishi wa kamati ya upinzani inagombewa na si kuteuliwa, ndio maana katika mchakato wa CHADEMA wamefikia muafaka wakufuata sheria za kimataifa na kuamua kuwa mwenyekiti wa chama ndio apewe hyo nafasi, huo ni utaratibu tu. Na kwakuwa mwenyekiti amekuwa mbowe, anae fuata kwa rank ni Zitto na ameteuliwa kuwa katibu wake ktk kambi ya upinzani,
 
Kitendo cha kujitangaza kugombea uongozi wa Upinzani Bungeni katika Facebook nathani hakikuwa cha ustaarabu maana katika dunia hii hamna chama cha upinzani chenye majority bungeni au seneti ambacho kiongozi wake yaani Chairman/chairperson ni member na asikiongoze kwa uelewa wangu!

Huyu huyu Zitto tunayemjua ni mtu mwenye mawazo/fikra binafsi ambazo huwa anazipigania kwa nnguvu zote hata kama amepotoka mfano suala la Dowans! na ndie anataka kuwa kiongozi wa Upinzani? what if anatofautiana na kambi yake katika msimamo? can he make a compromise? Je haitakuwa fujo huko Bungeni?

Ni dhahiri uchaguzi wa CHADEMA kambi ya upinzani umezingatia ung'ang'anizi wake na kwa sababu zisizofahamika imebidi watimize matakwa yake na kusahau kunahitajika ushirikiano na vyama vingine kama CUF! jamani haka kakijana ni kadogo kiumri ya nini papara? nani asiyejua ni presidential material come 2015? hii papara yake ina madhumuni gani? Hivi huyu siye aliyesababisha Kafulila na wenzake (wanne) kutoka CHADEMA na kujiunga na NCCR Mageuzi mbali na ukweli kwamba umaarufu waliopatia Ubunge huko Kigoma ni matunda ya malezi ya CHADEMA?

Mi nathani ustahimilifu na subira ni muhimu kama mtu unahitaji kuwa kiongozi! hata kama unajiona uko bora zaidi ya seniors wako katika chama yaani for this case Mbowe! Mbona simuoni Mbowe akibwabwaja kwenye social networks kuhusu kugombea chochote? Hivi kuna ubishi kwanini ameteuliwa kiongozi wa Bungeni? kunahitaji maelezo hapo? Mi nathani kuna watu hawaitakii mema CHADEMA! time will tell coming 2015 lets wait and see

Humjue zito wala chadema.:tape:
 
Naomba nikujuze tu kuwa hyo nafasi ya Mwakilishi wa kamati ya upinzani inagombewa na si kuteuliwa, ndio maana katika mchakato wa CHADEMA wamefikia muafaka wakufuata sheria za kimataifa na kuamua kuwa mwenyekiti wa chama ndio apewe hyo nafasi, huo ni utaratibu tu. Na kwakuwa mwenyekiti amekuwa mbowe, anae fuata kwa rank ni Zitto na ameteuliwa kuwa katibu wake ktk kambi ya upinzani,
kama chama kina majority the leader of the party becomes automatically a leader of the opposition in the Parliament! kama Hamad alivyokuwa Bunge lililopita hamna uchaguzi uliofanyika na kama Lipumba angekuwa Bungeni angekuwa Kiongozi Bunge lililopita!
 
Mbona mnamuandama Zitto toka asubuhi hadi jioni,achana na longolongo ,Zito humjui na chadema huijui.Kwani kutaka kuwa kiongozi wa upinzani bungeni ni kosa?Mnakera sana kutwa nzima kumuongea mtu,si na nyie mjitokeze muwa wabunge,kwani Zito ubunge aliuchuma kwenye mti?

Kwa maoni yangu ninaona Zitto hana mapenzi mema na CHADEMA; kwanini basi?
Kitendo cha kujitangaza kugombea uongozi wa Upinzani Bungeni katika Facebook nathani hakikuwa cha ustaarabu maana katika dunia hii hamna chama cha upinzani chenye majority bungeni au seneti ambacho kiongozi wake yaani Chairman/chairperson ni member katika vyombo hivyo vya sheria na asikiongoze kwa uelewa wangu!

Huyu huyu Zitto tunayemjua ni mtu mwenye mawazo/fikra binafsi ambazo huwa anazipigania kwa nnguvu zote hata kama amepotoka mfano suala la Dowans! na ndie anataka kuwa kiongozi wa Upinzani? what if anatofautiana na kambi yake katika msimamo? can he make a compromise? Je haitakuwa fujo huko Bungeni?

Ni dhahiri uchaguzi wa CHADEMA kambi ya upinzani umezingatia ung'ang'anizi wake na kwa sababu zisizofahamika imebidi watimize matakwa yake na kusahau kunahitajika ushirikiano na vyama vingine kama CUF! jamani haka kakijana ni kadogo kiumri ya nini papara? nani asiyejua ni presidential material come 2015? hii papara yake ina madhumuni gani? Hivi huyu siye aliyesababisha Kafulila na wenzake (wanne) kutoka CHADEMA na kujiunga na NCCR Mageuzi mbali na ukweli kwamba umaarufu waliopatia Ubunge huko Kigoma ni matunda ya malezi ya CHADEMA?

Mi nathani ustahimilifu na subira ni muhimu kama mtu unahitaji kuwa kiongozi! hata kama unajiona uko bora zaidi ya seniors wako katika chama yaani for this case Mbowe! Mbona simuoni Mbowe akibwabwaja kwenye social networks kuhusu kugombea chochote? Hivi kuna ubishi kwanini ameteuliwa kiongozi wa Bungeni? kunahitaji maelezo hapo? Mi nathani kuna watu hawaitakii mema CHADEMA! time will tell coming 2015 lets wait and see
 
mimi naona kijana na tamaa na madaraka ingawa anaweza lakn atakiwa aje polele na jambo la kukimbilia kwenye media kabla ya maamuz ya ndan hayajafanyika ndo linalonikera. mmh, i doubt!
 
Pia nasikia haka ka bwana mdogo kana element za udini kinoma, wanaokafahamu wanasema,
anyway naipenda sana chadema 'PEOPLE'S POWER'
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom