Mbowe aungana na Mnyika kusema serikali ya Kikwete dhaifu

Unazo taarifa kuwa wabunge wanayo magari wanayoyatumia kwenye shughuli zao? Mbowe anastahili kutumia nini kwenye shughuli za kibunge! Atumia Bajaj, au atembee kwa miguu? Acha unafiki kuwa na mawazo endelevu siyo copy and paste you GUYS

Umeacha hoja ya msingi umeanza kujiuliza na kujijibu mwenyewe!
 
Mbowe anastahili kutumia nini kwenye shughuli za kibunge! Atumia Bajaj, au atembee kwa miguu? Acha unafiki kuwa na mawazo endelevu siyo copy and paste you GUYS

Hilo swali ungemuuliza Mbowe kipindi alipokataa shangingi la KUB!

Kwa kuniuliza mimi unanifanya nikuone kama haupo vizuri upstairs!!!!
 
Mbowe kasema wabunge waheshimiane na hasa wa gamba maana badala ya kuchangia hotuba ya bajeti wao wanatoa kashfa na kejeli na wabunge wa upinzani na wakijibiwa waupinzani wanaonekana hawana nidhamu, nidhamu ipo kwa aliyetoa kashfa na kejeli. Amemtaka spika hata adhabu ikitolewa isiangalie aliyejibu hata aliyeanza pia. (KUNYA ANYE KUKU AKINYA BATA .........)

nimependa hapo
 
attachment.php
 
1. Huu ndio unafiki mkubwa kuliko wote, kwani yeye Mbowe alipolikataa hilo gari mara ya kwanza hakufahamu kwamba kulikataa kwake hakupunguzi matumizi yeyote? mbona mlishabikia na hamkumshauri kwamba hilo halikuwa na impact yeyote kwenye matumizi?

2. Kuchukua posho kwa kusingizia kanuni za bunge ni unafiki mwengine uliopitiliza , kwanini kama hawazitaki kabisa wasizichukue halafu wazi total watuambie sisi wananchi kwamba kwa kikao hiki Chadema imekusanya shillingi kadhaa kama posho za wabunge woote na kuzitoa kwenye miradi ya maendeleo kujenga shule, hosp nk

Kwahiyo ushauri wako nini, gari kwa ajili ya kiongozi wa kambi ya upinzani lipo kisheria na alichokataa ni gari la kifahari na sio gari la kumwezesha yeye kufanya kazi kama kiongozi wa kambi ya upinzani

Kuhusu posho wanachukua hawachukui mimi sioni shida hapo, suala je hoja haikutolewa kuwa posho ziondolewe ? unataka wafanye nini watu wanaambiwa hii ni sheria ukuisha saini lazima tunaingiza kwenye akaunti yako , alafu wewe ukitaka zichukue zipeleke kwa wapiga kura, sisi hatuwezi kuzirudisha , kosa lao ni lipi, try to think critically !
 
Hata upinzani nao ni wadhaifu, maana wasingekuwa dhaifu, hiyo serikali dhaifu ya kikwete isingekuwa madarakani.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.

Napenda sana kibwagizo hikI:
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WALIOSOMA.
Inaniusu mimi, nimeliwa sana hadi natamani kurudi chekechea!
 
huu ndo utata wa ni nani unamtumikia na kwaajili ya maslahi ya nani?? hujasikia bungeni leo kuwa ukweli ccm ndo wanatoka kwenye hoja za msingi kujadili bajeti wanajadili cdm? je hukusikia pia kuwa upotokaji huo pia umerekebishwa na lisu wa chadema sasa nani anatoka kwenye mstari chadema wanaojenga hoja mpaka ccm wanaacha kujadili mambo ya msingi na kujadili cdm au chadema inayojenga hoja mpaka ccm wanaishiwa uvumilivu na kuanza kujadili watu????
 
Wanajamvi,

Najiuliza hapa Kama tunasema raisi wetu si dhaifu,serikali yetu haina udhaifu,CCM si dhaifu,wala bajeti inayopitishwa kila mwaka haina mapungufu.Je udhaifu uko kwa nani au wapi unaopelekea Taifa letu kupiga kasi kuelekea juu ya mlima wa umasikini ?

"Anaekwambia wewe ni dhaifu hakutukani, anakupa challenge ya kurekebisha yale anayoona unakosea,muulize udhaifu wangu nini ? akikueleza kama unaona kwa dhati kuna ukweli chukua hatua jirekebishe,kama unaona hana hoja mpotezee endeleza unayoyafanya"
 

His Master's Voice


His Masters Voice!
Kama utakuwa na kumbukumbu kuna ka mbwa kana sikiliza hii rekodi, sasa sijui kale kambwa kanaitwa chama gani vile....
Pesa ya Kameruni itawaponza , ona sasa wameamua kuimba wimbo ili muukariri!
 
Wanabodi.

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, anawahadaa Watanzania.

Mbowe aliwahadaa Watanzania kwa kukataa gari la Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB), Lakini akageuka kwa mlango wa nyuma na kuchukuwa jipya.

Mbowe alisema ni kweli kuwa hivi sasa analitumia gari la KUB ambalo alilikataa kwa kipindi cha miezi sita.

Kuhusu kugomea posho ya Sh80,000 ya bunge na kuchukuwa posho ya Sh 2 milioni kwa mwezi kama KUB, Mbowe alisema ni stahili zake ambazo zimepangwa na Bunge.

SOURCE: MWANANCHI JUN 21 2012
 
Sasa wataona kuwa kweli chama cha upinzani kinaongozwa na kiongozi aliyeiva kwa maswala ya kisiasa. Ni dalili za kutokomaa kisiasa kwa kuchana bajeti kivuli kwa sababu tu za ushabiki wa kisiasa. nilifikili angeisoma na kuona umuhimu wake na yale ambayo hayafai angeyaongelea kuwa tume yaacha kwa sababu hizi. hata kama angechukua alisimia 2. Angeonyesha ukomavu wa kisiasa kwani. Hakuna mtu aliye kamilika asilimia mia moja. Lakini kuichana na kubaki na mabajeti ambayo yametufikisha hapa tulipo ndani ya miaka hamsini ya uhuru, nchi ni dampo la bidhaaa zilizotumika ulaya na Amerika. Akili au matope. muungwana anasikiliza ushauri na kuufanyia kazi. kama ulishawahi kufikiri alichokiandika na ukajua madhara yake unamwambia kuwa nilishafiri na madhara yake ni haya.
 
pole sana nape atakuuliza kuwa silo nililokutuma:smow:mtumishi wa mafisadi mbona unatoka mapovu ndio sera zenu lusinde,komba
 
Je mangapi ambayo Dhaifu kikwete amewahadaa watanzania? Je maisha bora kwako yalishakufikia?
 
Acha ushamba brother, ccm wametukana mbona hujawaonya, kwahiyo cdm watukanwe alafu wakae kimya we vp,ccm wametukana mpaka wengine wametupa bajet ya cdm chini, au we hilo hukuliona?. Cdm ipo na itazidi kuwepo. Waambie ccm kwanza ndio uiseme cdm.
 
Back
Top Bottom