Mbowe atoboa siri

Nimependa mlivyofanya mkutano wa shukrani. Kwani ndiko hasa shukrani zinatakiwa zitolewe sio Manzese kama walivyo fanyiwa wana Igunga. Wana Igunga Chukueni hili kama changamoto kwenu na kujiuliza kwa nini mkutano wa Kwanza wa Dr. kamfumu alifanyia Manzese na alipokelewa na wana Dar. Wana arumeru wamempkea mbunge wao kwani wao ndiyo walengwa namba moja
 
Ni kweli hata mimi nimeona pengo hilo. kwa mfano tunakaa sana bila kupata taarifa muhimu kama vile wabunge walioumizwa, matokeo mengine ya udiwani ukiacha lile la kirumba, Kiwira na Lizaboni. kwa hiyo pengo lake linaonekana wazi kabisa
 
umoja ni nguvuutengano niuthaifu tuwaweke wabunge wooote wawe kundi 1 hakika 2tafika.
. Kamanda binafs me u utufai siwez kuunga mkono mtu kama wasira anasinzia hovyo niwe nae pamoja TZ itakua wapi???????????????????????????????
 
Kamanda Mbowe nakuaminia. Njoo LONGIDO ndo kuna mtaji mkubwa wa CCM imekuwa ikisha kila mwaka kwa 84% huku wananchi wake wikiwa na kipato cha sh. 200-500 kwa siku. Ninajua si rahisi watu kuamini hili lakini ndivyo ilivyo vijana wa CDM tuliamua kufanya assessment tukagundua hili. Vijana, Akina mama na Wazee wanafunzi wamechoshwa sana CHADEMA ni kuja kuchukuwa tu. Viongozi wa Chama CCM ni maarufu sana kwa kushinda na tooth pick midomoni wakichokonoa vipande vya minofu ya nyama huku familia zao wakiishia kushinda kwa uji wa chumvi. Kwa kifupi jana walirudi vijijini kwa aibu baada ya kukung'utwa na nguvu umma.

mkuu ni kweli kabisa mimi kuna kazi fulani nilkuwa naifanya Longido na nimezunguka wilaya nzima, si dhana kama kuna sehemu watu wanamaisha magumu kama longido, but wanachi wapale ni victm wa CCM, na wanambunge wa ajabu sana, hakuna maji, huduma za afya ni ishu,
 
mhh kuna asilimia ngapi ya wabunge wa cdm mjengoni? ................. kama ni hao vipi tuone tumefanikiwa wakati bado tunahitaji wabunge zaidi?
 
Mbowe kama Chumong. The King who never stay in the PAlace; always in the Fight Front Line [FFL]

Bigup Mwenyekiti...

Kwa walio muona Chumong, watakubali Mbowe anatabia za upambanaji kama huyo. Japo Freeman ni Freeman na Chumong ni Chumong.
 
Nahamu sana yakujua mikakati ya chadema kwa upande wa vijijini kwani bado ndo tegemeo au mtaji mkubwa kwa ccM.
Anayejua tafadhali.
Congra. NASARI.
 
Kamanda Mbowe,cdm wapo juu!! Hakuna kulala mpaka kieleweke,
Mambo??? Kama Arumeruuuu peopleeeeeezzzzzzzzzzzzzz!!
 
Natamani Marehemu Regia Mtema angekuwa hai. Nimemiss updates zake hususani katika matukio kama haya! R.I.P Kamanda.
Chadema hongereni sana!

Du! ujumbe wako uliouandika umenigusa..
 
Kweli viongozi wa chadema mmeonesha mshikamano wa hali ya juu sana, na safari hii mmemulika mwizi vilivyo, viva chadema, tulianza na Mungu, tumemaliza na Mungu.
 
Katika mkutano wa leo mbowe ametoboa siri ya mafanikio ya CHADEMA kuwa ni umoja walionao katika uongozi wao huku wabunge wao wakiwa tayari kutumika katika ujenzi wa chama hicho. Amewaomba wameru wasishangae kumuona Nasari akiwa Lindi au Mtwara katika shughuli za ujenzi wa Taifa kwani mbunge wa Chadema ni mbunge wa Taifa. Hayo aliyasema kukiwa na mvua kubwa iliyoendelea katika mkutano wa shukrani kwa Wameru kukichagua Chadema katika viwanja vya Leganga USA leo jioni.

Big up Freeman.

Hakika hii inaonyesha CHADEMA ni chama makini na kimejiandaa kuchukua uongozi wa Taifa hili come 2015. Piga ua CDM ndiyo mbadala wa hiki chama dhalimu cha Mafisadi na Majambazi-CCM.
 
BIG UP CHADEMA,tulianza na MUNGU na tumemaliza na MUNGU,Wao CCM walianza na RUSHWA na wamemaliza na RUSHWA na MATUSI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom