Mbowe atoa mwaliko wa mkesha siku ya kupiga kura

Mwenyekiti wa CDM kwa mara nyingine anachochea fujo, uchaguzi ni gemu kuna kushinda na kushindwa sasa anawahakikishia wanachama ushindi si kutafuta vurugu gu jamani.
Enyi polisi tunawategemea sana wakifa watatu kama ilivyokuwa ARUSHA sio mbaya maana watz tupo zaidi ya milion 45.
Umeelewa kilichoandikwa lakini au unaandika alimradi umepost.
 
Ila nadhani kungekuwa na mpango namba moja wa kuhakikisha watu wanajitokeza kupiga kura,
Alafu mpango namba mbili ndio uwe huo wa kuzilinda hzo kura!
 
usisahau gambar kwamba na polisi nao watawachoka, haki lazima itetewe maana hakuna tume ya uchaguzi kuna tume ya ccm ilo kumbuka
Mwenyekiti wa CDM kwa mara nyingine anachochea fujo, uchaguzi ni gemu kuna kushinda na kushindwa sasa anawahakikishia wanachama ushindi si kutafuta vurugu gu jamani.
Enyi polisi tunawategemea sana wakifa watatu kama ilivyokuwa ARUSHA sio mbaya maana watz tupo zaidi ya milion 45.
 
nadhani mlimani tv na itv watatuonyesha live hawa jamaa kwa matukio ya uchaguzi live nawaaminia, naikumbuka igunga.
 
Acha kupotosha. Mbowe anamaasisha wananchi wajitokeze kulinda kura. Tatizo lenu CCM mnaogopa sana umma wa wananchi. Arumeru is another TARIME ya 2008!

Yani wanahanya utafikiri wanasubiri kutapishwa uchawi!
 
Mbowe anahamasisha vurugu kw mara nyingine tena. Wana Arumeru wamesema "Hawadanganyiki"
 
Back
Top Bottom