Mbowe atikisa gereza la Lema

CCM hivi hamjui kwamba mnavyoendelea kuzuia mikutano yetu kwa kisingizo cha al-shababy na kuwabambikizia kesi za kipuuzi wapinzani, ndivyo mnavyotupa umaarufu mara mbili? Na ndivyo mnavyowazidishia hasira wananchi kwa serikali yenu? Kwa MwanaCCM yoyote mwenye akili anajua kuwa siku zenu zinahesabika, watu uraiani tuna hasira sana.
 
Upuuzi mtupu.

CDM mnavuruga maisha na shughuli za kiuchumi za Wana-Arusha. Vurugu zenu na maandamano ya kijinga havina tija kwetu.

Tumetambua tulifanya kosa kubwa kuwapa dhamana ya kutuongoza. Hatutarudia kosa 2015.
hata kupiga kura haukupiga
 
Shujaa Lema anatisha! Inabidi abembelezwe na hao ma kamishina, ofcourse kuwa selo, Arusha inakuwa tete bora akubali kutoka, Lema jembe!
 
Kwa walioko A Town ukipita Dar Express Stendi kwa saa hizi Fuso za chedema zimepaki.
 
Jk na wafuasi wako ujue kuwatenda wapinzani sio kigezo kwamba madarakani hamtaondolewa kuondolewa itabaki palepale na zaidi mnazidi kuwapa umaarufu
 
Upuuzi mtupu.

CDM mnavuruga maisha na shughuli za kiuchumi za Wana-Arusha. Vurugu zenu na maandamano ya kijinga havina tija kwetu.

Tumetambua tulifanya kosa kubwa kuwapa dhamana ya kutuongoza. Hatutarudia kosa 2015.

what iz abt price,?ujio wake
 
Lema kaumbuka na siasa zake uchwara.
Alikuwa anatishishia nyau. Chamtemakuni kakiona.
Kwa mijitu mioga, mijinga, mipumbavu na minafiki kama wewe mnaweze kuona hivyo! Kwa waelewa wa mambo na wapenda haki, Lema ni shujaa wa karne hii, amewaonesha polisi ujinga wao.

Si umeona wanavyo jiogonga? Wewe uliwahi kusikia wapi ktk Tanzania hii polisi wanambembeleza mtuhumiwa akubali dhamana? Polisi huomba rushwa ili mtuhumiwa apewe dhamana.

Lakini kwa mheshimiwa Lema mambo tofauti, polisi wapo radhi wampe rushwa ili akubali kupewa dhamana!
 
Upuuzi mtupu.

CDM mnavuruga maisha na shughuli za kiuchumi za Wana-Arusha. Vurugu zenu na maandamano ya kijinga havina tija kwetu.

Tumetambua tulifanya kosa kubwa kuwapa dhamana ya kutuongoza. Hatutarudia kosa 2015.
1. Kwani maandamano yanamzuia nani kufanya shughuli za kiuchumi. Unataka kusema umaskini wa nchi hii
umeletwa na maandamano ya CDM?
2. Je, unakuwa kipofu hata ushindwe kuona kuwa mikoa yenye upinzani na CCM ndiyo yenye maendeleo.
Angalia Arusha, Mwanza, Kilimanjaro, Mbeya na sasa Kigoma ina-take off. Utalinganisha maendeleo ya mikoa
hiyo na Dodoma, Mtwara, Pwani, Singida?
3. Je, unataka CDM wafanye maandamano ya kinafiki ya kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa bendera ndiyo
uone yana tija? Au una mapepo ambayo yakimwingia mtu yanajitambulisha kuwa SISI 'M'. (Magamba)
 
I thought Kivuyo anapenda kuwaona wapinzani wametoweka huku nje wawafungie wote so anaenda kufanya nini ? RCO yeye si yuko Arusha na ukweli anaujua kuna shida gani hadi aende gerezani kusema na Lema huko ?Mpwapwa si kasema Lema ana kesi na OCD wake anachunguzwa why tena mhalifu kama walivyo muita mnaenda kuomba atoke ? Tangia wahalifu wakaombwa kutoka gerezani ? CCM haya mnayo yafanya mnajitakia shida baadaye .
 
Nimeupenda Ujumbe wa Mbowe na pia walichofanya viongozi wa polsi toka makao makuu! Zuberi nafikiri anatumia masaburi.....
 
Time is due for this people to surrender,no where to escape.tatizo they never think twice.zaidi they never learn from the mistakes they keep on doing several mistakes.
 
Upuuzi mtupu.

CDM mnavuruga maisha na shughuli za kiuchumi za Wana-Arusha. Vurugu zenu na maandamano ya kijinga havina tija kwetu.

Tumetambua tulifanya kosa kubwa kuwapa dhamana ya kutuongoza. Hatutarudia kosa 2015.

Mtanzania mwenzangu kishongo,una upungufu kichwani mwako unahitaji msaada
 
hajatishiwa mtu nyau. Msg sent. Zuberi alitumia masaburi kutenda kazi yake sasa linamgarimu tena sana na baya zaidi kesho ndio anaaibika kabisa kama ahamini ajaribu kugusa raia. watu sasa wamechika. nafikiri hata mimi nitaudhuria NMC nimeshalonga na boss wangu keshi nina dharura
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom