Mbowe atakiwa kuachana na siasa kabla ya 2015

na hakika kama chadema ikichukua nchi 2015 mi nahama nchi!

Hamia china ili ukanyongwe manake itakuwa wewe fisadi na hawakuambii jiuzulu ni unakula kitanzi na ni lazma mafsadi wote wahame manake chadema wakichukuwa nchi inaanza ni nyie mafsadi
 
Katibu wa CCM manispaa ya Moshi ana nini cha kumweleza Mbowe!?

Baada ya chini ya CHADEMA Mbowe kushinda udiwani kata 18 kati ya 21 mjini Moshi, nadhani yeye kama katibu ndiye aliyetakiwa kuachana na siasa!

Kweli CCM ipo kinyumenyume! Chama chake kimesambaratishwa kabisa huko Moshi mjini na yeye bado yupo ofisini! Anyway, labda niseme hivi, ccm yashinda udiwani kata 3 Moshi mjini!!!

Eti katibu wa CCM wa mkoa, anaongea kuhusu Mbowa, Si aonge kuhusu katibu wa CDM huku kwake. Huko yu kumemshida. CCM Hovyo kabisa.
 
utaendelea kuwa mtumwa wa ccm/lugha mpaka cku ya kufa kwako!
HATA WEWE PIA UTAKUFA HAIJALISHI KAMA NI CHADEMWA AU CCM, ILA NITAFURAHI KUFA KATIKA IMANI YA KITU AMBACHO NAKIONA BORA..siwezi support movement ya kabila flani kutaka kuchukua nchi..NEVER WILL I SUPPORT CHADEMA..SO LONG WITH UR MYOPIC STATEMENTS!! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI..HUNIJUI SIKUJUI SINA HAYA YA KUKUJUA. KUPENDA CCM ITS NOT A CRIME AGAINST A STATE!! I AM JUST EXTENDING MY CONSTITUTIONAL RIGHTS SO AS YOU..ISSUE YA LUGHA NIMEFUNDISHWA DARASANI KAMA WEWE HIVYO SIONI UBAYA WA KUITUMIA.
 
Katibu wa CCM manispaa ya Moshi ana nini cha kumweleza Mbowe!?

Baada ya chini ya CHADEMA Mbowe kushinda udiwani kata 18 kati ya 21 mjini Moshi, nadhani yeye kama katibu ndiye aliyetakiwa kuachana na siasa!

Kweli CCM ipo kinyumenyume! Chama chake kimesambaratishwa kabisa huko Moshi mjini na yeye bado yupo ofisini! Anyway, labda niseme hivi, ccm yashinda udiwani kata 3 Moshi mjini!!!
mkuumajibu yako ni stahiki kabisa wala sina la kuongezea hapo.
 
hata wewe pia utakufa haijalishi kama ni chademwa au ccm, ila nitafurahi kufa katika imani ya kitu ambacho nakiona bora..siwezi support movement ya kabila flani kutaka kuchukua nchi..never will i support chadema..so long with ur myopic statements!! Kidumu chama cha mapinduzi..hunijui sikujui sina haya ya kukujua. Kupenda ccm its not a crime against a state!! I am just extending my constitutional rights so as you..issue ya lugha nimefundishwa darasani kama wewe hivyo sioni ubaya wa kuitumia.

heri yako wewe umeamua kujitangaza hadharani kuwa muhathirika wa ccm, pole ndugu baki na imani yako una uhuru wa kuchagua chama nafahamu kuna siku utakubali matokeo tu kuwa cdm sio ukanda wala udini bali ni uelekeo wa ukombozi.
 
Wanatamani aache,maana wanaona mambo yanawahribikia.
Watasubiri sana hao.wapuuzi wote
 
Jamani huyu katibu kajisahau maana ameongekea kwenye jimbo la Mzee Ndesamburo wa CDM, huyu katibu kama anaouwezo wa kuyasema haya kilichomshinda kumsaidia SALAKANA wa CCM kulichukua jimbo hili 2010 ni nini? Nadhani yeye ndiyo aanze maana Moshi mjini hamna Gambaz zaidi ya wale madiwani3 ambao tutawaondoa muda si mrefu, bora angeongea mtu mwingine ila si huyu mtu.
 
kwan wafanyabiashara hawafanyi siasa? kweli hoja za magamba hazina mashiko....
 
Chadema lazima iingie madarakani tutalinda kura zetu ili magamba yasiibe kura zetu people's power..

unajua gamba huwa linakamata kama gwanda linavyobana mwili,nadhani hata CDM pia mnahitaji kujivua magwanda na kuvaa uzalendo
 
Huyo anajaribu kujijeengea jina kupitia media na kujipendekeza ili walau awekwe pazuri.dr slaa huwa anaita sisiminzi.
 
Mbowe hajawahi kuona chama chake kinapata kuungwa mkono kama kinavyoungwa mkono sasa hivi hivyo ndio maana anadhani anaweza kuchukua nchi 2015. Lakini tatizo ni sura na mtazamo wa watu juu ya chadema hivi leo unaosababishwa na kauli za baadhi ya viongozi wa chadema kama Nasari kusema kaskazini iwe nchi na rais azuiwe kwenda huko inaonyesha sera za mgawanyo wa Watanzania. Hivyo kuichimbia kaburi chadema.
 
Angeacha yeye siasa kwani imeonekana moshi kuna hali mbaya bora anyamaze.
 
Back
Top Bottom