Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 233
Nilimwambia Mbowe akutaka kunisikia faata sheria za nchi, yeye anadanganywa na yule jamaa wa Singida Tundu Lissu, eti wewe ni Kiongozi wa upinzani Bungeni uwezi kukamwatwa, sasa kakamatwa sijui mtaandamana,
Wewe hujui kitu. CDM walijadili hili kabla na kulipanga iwe kama test case ya Mbowe kukamatwa ili ile sheria ya kinga ya Wabunge ichambuliwe, ionekane kama inahusu wabunge wote au wa chama fulani tu?