Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,165
Hakuna maji sasa hivi
Hivi tokea ameondoka wameshaosha tena barabara?
Hivi tokea ameondoka wameshaosha tena barabara?
Hakuna maji sasa hivi
US wanajua kila kitu kinachoendelea hapa na uhuni unaofanywa dhidi ya wapinzani lakini kwa sasa wamepima mizani yao na kuamua kutoa kipaumbele zaidi kwa "interest" zao....Subiri wakikosana na mheshimiwa uone watakavyomgeuzia kibao! Sina uhakika kama kususia kwa kiongozi wa upinzani kuhudhuria dhifa ile kungewaathiri vipi watawala wetu au kama wangeumbuka vipi kutokana na kususia huko...Kwani Obama angeuliza kuwa Mbowe yuko wapi? Sidhani!
EMT,
Naunga mkono hoja, ila kwa kuongezea tu, kwa vijana wengi (nisisitize kwamba sio vijana wote),majukwaa ya siasa yamekuwa ni sehemu ya wananchi kwenda "outing" kusikiliza mipasho, na ukizingatia vijana wengi hawana ajira, mikutano ya hadhara siku za wiki muda wa kazi ni fursa nzuri kwa wananchi (vijana) walio wengi kubebana na maswahiba zao kwenda burudika kidogo na siasa za nchi yetu kabla ya kurudi vijiweni au majumbani kuganga njaa;
s
Mwalimu, kwa taarifa zilizopo na zenye utata lakini kutoka katika vyanzo vya CDM ni kuwa Mbowe alipewa mwaliko saa 5 asubuhi kwa shinikizo la Marekani.US wanajua kila kitu kinachoendelea hapa na uhuni unaofanywa dhidi ya wapinzani lakini kwa sasa wamepima mizani yao na kuamua kutoa kipaumbele zaidi kwa "interest" zao....Subiri wakikosana na mheshimiwa uone watakavyomgeuzia kibao! Sina uhakika kama kususia kwa kiongozi wa upinzani kuhudhuria dhifa ile kungewaathiri vipi watawala wetu au kama wangeumbuka vipi kutokana na kususia huko...Kwani Obama angeuliza kuwa Mbowe yuko wapi? Sidhani!
Mwalimu, kwa taarifa zilizopo na zenye utata lakini kutoka katika vyanzo vya CDM ni kuwa Mbowe alipewa mwaliko saa 5 asubuhi kwa shinikizo la Marekani.
Kwamba hata alipofika viwanja vya Ikulu alitumiwa ujumbe aingie ndani haraka jambo lililowakera mawaziri wa JK
Mpaka hapo unaweza kuona uwepo wake ulivyokuwa na uzito. Sasa hapo ndipo alitakiwa apeleke ujumbe kwamba yupo katika maombolezo akisaidia wahanga walioko hospitali baada ya kumaliza mazishi juzi.
Awaambie anashughulikia kesi za wanachama wake 'waliotekwa' na polisi na kupekwa Igunga.
Na pia yupo bize na kuhangaika familia za marehemu wa mbomu katika kuanua matanga ya misiba yao.
Shughuli zake nyingi ni pamoja na kuhangaika haki ya kuundwa tume ya kimahakama kutafuta haki.
Kwahiyo hataweza kuhudhuria kwasababu za misuko suko ya kisiasa inayomkabili ikiwa ni pamoja na tishio la kuuawa kwake katika mkutano wa Arusha.
Mwaliko aliopewa masaa machache ni mfupi mno ukilinganisha na uzito na majukumu yanayomkabili katika nyakati hizi ngumu kisiasa.
Hiyo ndiyo fursa aliyokuwa nayo na wala si kukubali mwaliko wa chini ya masaa 10 akiwa KUB, Mbunge na Mwenyekiti mwenye ratiba nzito na ngumu. Hafla ya togwa haikuwa dharura kwasababu ilijulikana miezi mingi na hivyo kuchelewa kufikiwa na mwaliko kutaathiri shughuli zake zinazoambatana na hali tete ya kisiasa nchini.
Mwalimu, watu wanapoandama huwa hawakusudii kubailisha hali wakati huo huo, ni kwamba hutuma ujumbe kwa wahusika kwa hisia zao. Je, kujumuika katika togwa kulipeleka ujumbe wowote wa maana?
Labda kama hutaki kuelewa...mada yake amejitahidi kuifafanua vyema.
Mbowe amekuwa akilaumu serikali kwa matendo yake juu ya upinzani na wapinzani hasa CHADEMA....Tukiwa hatujui la kufanya kuhusu kauli ya Pinda kwa kuonesha utayari wa kuvunja katiba ili tu kuwaangamiza wananchi hasa wapinzani yeye anageuka kinyonga kushirikiana na serikali kufunika kombe mwanaharamu apite!
Kukataa kwake mwaliko,kungefanya maswali mengi yaulizwe na sauti ya wanyonge ingesikika duniani kote...lakini ameungana na ile tabia ya kuwaondoa wachuuzi barabarani ili kuficha umaskini wetu kama kwamba dar all are white color job occupants!
Kwamba hakuwepo katika protocol kwa miezi zaidi ya mitatu tangu Obama atangaze kuja AfrikaMialiko ya masaa machache hata mie Kiranga ChaNgeda nisiye na ofisi wala ufisi siikubali.
Itakuwa huyu KUB?
Mbowe kakubali kuwa mtu wa kuchotwachotwa na kupelekwapelekwa tu.
Na CHADEMA wanaonekana kukosa msimamo kiasi wananchi wengine tunashindwa kuwaelewa wapi wapo serious na wapi wanacheza mchezo tu katika siasa.
Hakuna swali lolote kuhusu hayo, unaelezea mambo ambayo ni non material to the issue at hand, you might as well be saying "kauli ya Mbowe haibadilishi rangi za bendera ya CHADEMA, that is hardly the question. Again, you are addressing something that is not asked and so far you are not addressing what is asked.
Hapa hujaeleweka unataka kuandika nini, pengine kwa sababu unaandika vitu kibao ambavyo si material to the issue.
Unapoandika "Kauli ya Mbowe kama ulivyoinukuu haibadilishi chama cha siasa kilichoandikishwa kisheria...kukiwezesha kushika dola, na kukifanya chama ambacho hakipo tayari kushika dola".
That is not my position. You are disputing a position I did not posit. Nimeweka argument kwamba labda CHADEMA haikuwahi kuwa tayari kushika dola na mpaka sasa hakipo tayari.
Kama unaangalia kusajiliwa kwa chama kama ni kigezo cha chama kuwa tayari kushika dola nenda ofisini kwa John Tendwa uangalie msururu wa vyama ambavyo hata watu hawavijui majina, vimeandikishwa, vinasubiri msimu wa uchaguzi, lakini unaweza kusema kwamba viko tayari kushika dola?
Unaondoka kwenye kauli ya Mbowe, unaenda kwenye vitendo vya CHADEMA.
Kwanza you are wrong. Si kweli kwamba vitendo vyote vya CHADEMA so far vimekuwa na mwelekeo wa kukiwezesha kushika dola. You can't tell me you are blind to all these infighting and innuendo on the part of CHADEMA.
Pili, hata kama ingekuwa kweli kwamba vitendo vya CHADEMA so far vingekuwa na mwelekeo wa kukiwezesha kushika dola, alichosema Mbowe ni kwamba sasa ndio wanaondoka katika uanaharakati per se na kujenga uwezo wa kushika dola, maana yake hapo nyuma aligombea urais bila ya uwezo wa kushika dola, kwa nini sasa aligombea? Tamaa ya madaraka tu au nini kilimsukuma kugombea urais bila ya kuwa na chama chenye uwezo wa kushika dola?
Swali langu halihusu wanachokitafuta CHADEMA sasa, swali langu linahusu kwa nini CHADEMA waligombea uraisi bila ya kuwa na uwezo wa kushika dola?
I am afraid your vision is clouded by passion for CHADEMA.
Kusema "wananchi eee, hivi sasa ndo tunakuwa chama kinachoweza kuchukua nchi, huko nyuma tulikuwa tunazugazuga tu" wakati ushagombea urais huko nyuma kunanioesha huyu mtu si makini. Anachukulia mambo kijuujuu.
Kauli ya supporter wake Tuko, ambayo inakumbukwa na mimi pia, isha mu indict. Full statement kuileta hapa kazi yako unayetaka kumtetea, unionyeshe kwamba nime misconstrue alichosema.
Don't make me hunt for the verbatim statement kwa sababu naweza kuona madudu zaidi ya haya ikawa badala ya kumtetea Mbowe unamuangamiza zaidi on the path of the wrath of the math of the Kirangaesque mental bloodbath.
Pandikizi ataombaje radhi ; ndo maana slaa anasema akiondoka mbowe atajenga CHADEMA
sikuwa na lengo la kumtetea Mbowe, nilikuwa nashugulika na hoja tu. Katika hilo la kuhudhuria Dhifa ya Obama mimi sikubaliani naye. lakini sikubaliani na hoja kwamba kutamka kwamba sasa tunakwenda kushika dola ina maanisha alipogombea urais alikuwa anahadaa. alichokuwa anafanya na CHADEMA ilichofanya ni kitu kikubwa zaidi kuliko kauli hizo. hivi naangalia kitu ambacho kina maana pana zaidi - in my opinion.
Unasema "my vision is clouded with passion for CHADEMA" - mimi si hasa mpenzi wa CHADEMA, bali naunga mkono chama ambacho ni kinara wa mapambano katika nchi hii.
nimewahi huko nyuma kuunga mkono NCCR, kisha CUF na sasa naunga mkono CHADEMA.
napata hasira pale CHADEMA wanapopoteza nafasi za kutoa uongozi halisi.
inawezekana pia CHADEMA hawasimamii hasa yale ambayo mimi naamini kuwa ndio ukombozi wa wakulima na wafanyakazi wa Tanzania, lakini angalau ndio chama kilichojitokeza kuongoza mapambano haya.
Obama ni rais "mweusi" wa kwanza wa Marekani. Na pia ni Mwafrika na ni Mkenya pia. Kenya ni nchi jirani na Tanzania.
Hivyo Obama ni kama 'mwenzetu' tu.
Sasa kweli mnadhani kuna mtu ambaye angegoma kwenda Ikulu kuonana naye kama angealikwa?
Yaani mtu aitupe fursa ya kwenda kuonana na rais wa Marekani "mweusi" tena Mwafrika mwenzetu?
Mnacheza nyie.
Tatu na mwisho, last minute invitation of the opposition leader or KUB for thay matter katika muktadha wa itifaki za nchi ni one of the worse protocol blunders than can happen in any country na ilitakiwa uongozi wa chadema ulikemee hilo pale pale na kutaka mkuu wa itifaki apewe onyo kali, lakini kama anavyojadili nguruvi3, chadema imeshindwa kutenganisha dhana na uongozi na dhana ya kiongozi/viongozi;
Basi hawa VIJANA wano enda OUTING/PICNICK mikutano ya CHADEMA kwa hela zao wenyewe, na Michango/kiingilio wakatoa wanamatatizo.
Unaweza ukanisaidia ni kwa nini VIJANA hawahawa hawaendi mikutano ya CCM unayopewa Nguo za kuvaa, Usafiri, Posho na Show ya nguvu ya Diamond ?
Au tuseme CHADEMA ni FREEMASON!
Ngosha, si unakumbuka yule mdada aliyepewa simu za Obama?
Nyerere amewahi kusema one of his most quoted maxims - paraphrased- "Once you break a major principle, that principle will find a way of breaking you in a major way"