MBOWE and Others: NOT YET!!!

NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,667
362
:becky:

Niliposikia kwa mara ya kwanza habari ya kukamatwa kwake kupitia VoA nilikuwa safarini na sikupata muda wa kutosha kutafakari....In short i was disappointed with him as my first impression was concerned....

Baada ya kufuatilia kwa karibu zaidi nimekuja kugundua kuwa lililotokea ni sehemu ya "njia" ya wapambanaji dhidi ya magandamizi ya Jamii..........na ukweli ni kuwa, ni sehemu ndogo tu ya safari hii

My message to Mbowe na wote walioko mstari wa mbele kuondoa unyonyaji wa "wakoloni weusi" kuwa safari bado ni ndefu.....

kama mnadhani mmepiga hatua, bado kabisa........Nitasubiri siku mtakayokula miaka gerezani kama Mzee Nelson "Madiba" Mandela kwa juhudi zenu za kupambana na "makaburu ya kijani" yaliyotanda kila kona ya nchi hii yakitafuna utajiri wetu

Kama kuna wanaodhani umeshikiliwa kwa "amri ya mahakama" they deadly wrong, it is all about what you are doing for the oppressed...........kama wanadhani ulikuwa unatafuta umaarufu it is simply bcs they canty think beyond "ukiritimba" uliojaa vichwani mwao..........sisi wana wa Tanzania tunasema "Please keep it rolling"
 
Anguko la CCM limetimia

Timu yao ya mikakati imejaa ukiritimba wa zama za mawe.......wanapiga hatua moja mbele wanarudi 5 nyuma....

Hawajaweza kujua ya kuwa mwelekeo wa siasa za sasa umechukua mkondo mpya, sio ule mkondo wa zamani wa "Zidumu fikra za Mwenyekiti wa Chama"
 
:becky:

Niliposikia kwa mara ya kwanza habari ya kukamatwa kwake kupitia VoA nilikuwa safarini na sikupata muda wa kutosha kutafakari....In short i was disappointed with him as my first impression was concerned....

Baada ya kufuatilia kwa karibu zaidi nimekuja kugundua kuwa lililotokea ni sehemu ya "njia" ya wapambanaji dhidi ya magandamizi ya Jamii..........na ukweli ni kuwa, ni sehemu ndogo tu ya safari hii

My message to Mbowe na wote walioko mstari wa mbele kuondoa unyonyaji wa "wakoloni weusi" kuwa safari bado ni ndefu.....

kama mnadhani mmepiga hatua, bado kabisa........Nitasubiri siku mtakayokula miaka gerezani kama Mzee Nelson "Madiba" Mandela kwa juhudi zenu za kupambana na "makaburu ya kijani" yaliyotanda kila kona ya nchi hii yakitafuna utajiri wetu

Kama kuna wanaodhani umeshikiliwa kwa "amri ya mahakama" they deadly wrong, it is all about what you are doing for the oppressed...........kama wanadhani ulikuwa unatafuta umaarufu it is simply bcs they canty think beyond "ukiritimba" uliojaa vichwani mwao..........sisi wana wa Tanzania tunasema "Please keep it rolling"

Hapo uko sawa mkuu Tamko la Hakimu kwamba wamkamate Mbowe ni geresha tu tunafahamu aliyesema akamatwe na kwa sababu gani, ila Mungu atabatilisha kila kusudi mbaya apangalo mwandamu juu ya mwingine, hasa ninyi wa jamii ya Magamba.

Operation ya Magamba imefeli sasai sijui mtakuja na kuvua ngozi au kuchuna ngozi mtajua wenyewe lakini milango iko wazi msing'ang'anie!!!!!
 
I think he is communicating his own analysis. but nickname is thinking within the box whiel the initiator of this thread is thinking outsside the box. So you cant think the same.
 
Back
Top Bottom