Mbowe anashauriwa na nani?

Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?

416351085_b2f9159d44.jpg
 
Atigi hii si forum ya washirikina na waganga!!!! Na unapozungumzia pete unamaanisha pete au unahitaji mme????
 
Atigi hii si forum ya washirikina na waganga!!!! Na unapozungumzia pete unamaanisha pete au unahitaji mme????

Rev. Masanilo tutafutie picha za viongozi wa CCM na serikali wanaovaa pete kama za huyu mnajimu inaonekana yeye ndiye hazina ya busara ya hao wazee wa CCM na serikali.
 
bila shaka hii move imewaumiza sana CCM ndio maana wanahaha! kwa taarifa yako wabunge wakongwe ndani ya bunge wa CDM ni wawili NDESSA NA GRACE KIWELU. Hao wengine ndio kwanza wanaanza kipindi cha pili.
 
Arfi, kabwe,uwenya,mdee,ndesamburo,mnyika,shibuda woote hawakuwemo siku ile ya hotuba ya rais and it is obvious walipinga na si dalili nzuri, hata hili mnahitaji ushahidi wa signature na video tapes... Guys let us discuss it critically pipoz...............

View attachment 17419
Unasema Arfi hakuwepo huyo wa Kushoto ni nani? Toa taarifa za uhakika.
 
Chama chochote cha siasa hakiongozwi kwa hisia au utashi binafsi, chama kinaongozwa kwa vikao, To me hakuna mgogoro CDm manake maamuzi ya walk out yalikuwa ya kikao si ya mtu binafsi acheni kuisonga cdm jadilini hatma ya nchi yetu chini ya mafisadi
 
Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?
Anashauriwa na Mzee Wake MTEIIIIII
 
Rev. Masanilo tutafutie picha za viongozi wa CCM na serikali wanaovaa pete kama za huyu mnajimu inaonekana yeye ndiye hazina ya busara ya hao wazee wa CCM na serikali.
Halafu tuwekee ile ya Komba akitwanga na kupepeta na ungo.
 
Huoni umeingia Choo kisicho chako? Hukusoma alama hapo Mlangoni?

Nakushauri uangalie huu wimbo na ukimaliza basi hamia huko kwenye Mipasho kwa Wenzio akina LI-Sanamu la Michelini akina Khadija Kopa au Mazee Yusuf Mla BATA.........

Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu tafadhali acha Udini wako....Wee unajua hapa wanafanya nini? au maadam unapomwona Sheikh Yahya basi ndio unaona raha kuendeleza ujinga wako. Mbona ya huyo Mama Rwakatare na chaguo la Mungu hatusemi ndio UCCM..

Mkuu ninakuheshimu naomba usijiingize kwenye kitu usichokijua tafadhali sana. Niache na ujinga wangu.
 
Back
Top Bottom