Jamaa ana PHD ya unafiki - PHD ya kutumia kiuno kufikiri - wewe kambi ya upinzani inakuhusu nini wakati ya kwenu yanawashinda, Magamba hayatoki, na jingine limeota juzi bungeni lakini halijajikoboa mpaka leo hii.
Kwako kunawaka moto huna habari unaendelea unachunguza kwa wenzio - time is running out for CCM my friend - mnakalia kupika majungu tu.
Unampima kiongozi kwa maswali anayouliza? Mbona humpimi Kikwete kwa majibu anayotoa? Una PhD ya kun.ya sio ya darasani
sema waziri mkuu ndio anapwaya au wewe unapwaya ..............maswali anayouliza kwa waziri mkuu hayana mbele wala nyuma na anarudia kikosi kazi cha umeme kila siku hana ubunifu, ni dikteta kwa kumsikiliza lema ili madiwani arusha wafukuzwe, naanza kuuona mwisho wa chadema na kinaenda kuingia kwenye mgogoro mkubwa wa kiuongozi na kichama like nccr na tlp
utawajua kwa matunda yao....kumbe ulikuwa unareport kutoka DODOMA kama kutupa rushwa ili tukuunge mkono kwa upupu uliojiandaa kuwa unauleta! kama hivi this is nonsense.....umeme ndilo tatizo kubwa linaloikumba taifa kwa leo,tatizo hili halijapata hata chembe ya suluhisho..sasa unashangaa nini swali hilo kuendelea kuulizwa?????au ndo mnataka tusahau?hatuwezi kusahau kwa kuwa hata sasa nimekuja ofisini hata sijanyoosha nguo,in the past 24hrs nimepata umeme kwa less than 2hrs!!!!halafu mnaona tulipotezee kirahisi! we won't mpaka kieleweke!!!!!!!poleni kama mnakereka ila huo ndo ukweli, endeleeni kumjutia HAMAD RASHID na ikiwezekana mkanywe nae chai na atawagawia allowance za kukalia kiti bungeni.
Yule mhadhiri alishasema mwenyewe ni mhadhiri wa sigda! Huyu PhD ni mtaalamu wa kuny.a hana lolote! Mimi nimemsikiliza Mbowe vizuri sijaona tatizo kwenye swali lake. Unataka aulize nini wakati taifa lipo gizani?Haya majina yenu hayaendani na mnavyoandika. Mara PhD, mara Mhadhiri, kumbe ni kuficha umbumbumbu wenu!!!!
Acha Ushabiki tunazungumza suala la msingi sana hapa, hatutaki CDM wanywa maji ya bendera kama CCM kila kitu Ndio Mzee.
NOT THIS ERA BROTHER
Unampima kiongozi kwa maswali anayouliza? Mbona humpimi Kikwete kwa majibu anayotoa? Una PhD ya kun.ya sio ya darasani
'Kuanguka kwa Lowassa ni ajali ya kisiasa' wakati anajua kabisa EL ni jizi!"sasa na wewe mwandishi hivi unataka mimi nijibadilishe niwe wingu nikanyeshe mtera ili maji yajae tupate umeme"?
siku zote JUHA hujiweka hadhani. hata Avatar yako inaonesha tu wewe ni walewale
Utakuwa na mtindio wa ubongo. Mhuni wenu anajibu majibu kama ya kondakta wa daladala hamwoni kama anapwaya kwenye kiti alichokalia ila Mbowe akiuliza ishu za maslahi ya Taifa ndo mnapiga kelele anapwayaKindly change hiyo AVATA, haifanani na mawazo haya duni
FUSO, YUTONG
Hebu tuache jazba lets get to serious business. Mie naefuatilia Bunge kwa ukaribu hili linanigusa sana. kuna ukweli hapa wa zaidi ya asilimia 90.
Tulitafakari hili kwa Kina
Kanisa halijawahi na halitakuja kuwa na watu type yako. Unajidhihirisha wazi kuwa wewe ni mla kashata na kahawa kwenye majengo ya misikitisio sigda.mimi mhadhiri wa kanisa. mahubiri yangu kayakimbia dk slaa. akunda chama lkn kinaelekea kufa
shallow mind
Unahitaji kuolewa na Slaa? Mwenye picha hajawahi kulalamikia picha yake umeanza lini kuwa msemaji wa Slaa?badili avatar yako, kinyaa, unatia aibu na nuksi kwa dk slaa
Huna lolote wewe mnafiki tu FISADI MKUBWA