Mbowe anapwaya sana kama kiongozi wa upinzani

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,598
3,671
Maswali anayouliza kwa waziri Mkuu hayana mbele wala nyuma na anarudia kikosi kazi cha umeme kila siku hana ubunifu, ni dikteta kwa kumsikiliza lema ili madiwani Arusha wafukuzwe, naanza kuuona mwisho wa CHADEMA na kinaenda kuingia kwenye mgogoro mkubwa wa kiuongozi na kichama like NCCR na TLP
 
tatizo lako unatumia viungo vingine kufikilia
Ebu tumia brain kidogo
 
Siku ya leo itakwisha bila mchangiaji yeyote kujitokeza katika thread hii kwa kuwa umemgusa Mbowe:

Nimekuwa na shaukum kubwa ya kuona kasi ya Wabunge wetu wa CDM wakifanya mageuzi makubwa ya uchumi na kukuza pato la Taifa kwa mtanzania kupitia hoja zao. Nathubutu kusema hata leo nimekereka kufanya jukumu langu la kuripoti kila Alhamisi kinachojiri katika Bunge kwa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.

Nashawishika kuamini kwa dhati kuna tatizo kubwa la ubinafsi katika mioyo ya viongozi wetu, na kuna dalili za wazi zile dalili za bifu la kugombea nafasi ya uenyekiti wa Chama mwaka jana linakitafuna chama na kupunguza umaaruf wake.

Haiwezekani Kabwe Zuberi Zitto akawa na Hoja zenye mashiko kuliko kiongozi wake katika kipindi hiki ambacho tunasaka kuendela kuungwa mkono na watanzania na kukipa chama taswira ya uhakika.

Kama CDM wangekuwa na vikao vya kuweka mikakati wangefikia pahala tukaamua lipi aliseme Zitto na Lipi Kiongozi wa Kambi, kama kikao hicho kipo na hili linafanyika basi kuna kila sababu ya kumdidimiza Mbowe.

Awali tulikubali kuwa alikuwa na msongo wa mawazo kufuatia rabsha zile za polisi, tukafunika Kombe mwanaharamu apite. Huwezi kulinganisha kipindi anasimama HAMAD Rashid katika Bunge lililopita na akisimama Mbowe leo. Tafadhali Kambi litazameni hili na tunahitaji mabadiliko ya haraka kabla hatujapoteza imani nanyi.

Tunatambua mnalizama hili na kuona hasa nini kinahitajika ili kuimarisha kambi ya upinzani Bungeni

ADIOS
 
Maswali anayouliza kwa waziri Mkuu hayana mbele wala nyuma na anarudia kikosi kazi cha umeme kila siku hana ubunifu, ni dikteta kwa kumsikiliza lema ili madiwani Arusha wafukuzwe, naanza kuuona mwisho wa CHADEMA na kinaenda kuingia kwenye mgogoro mkubwa wa kiuongozi na kichama like NCCR na TLP

nimemsikiliza mbowe ana nia nzuri kuhusu hili tatizo kubwa la umeme,ulitaka aulize nini??
inawezekana unafikiria kwa kutumia mtk
 
Haya majina yenu hayaendani na mnavyoandika. Mara PhD, mara Mhadhiri, kumbe ni kuficha umbumbumbu wenu!!!!
 
Maswali anayouliza kwa waziri Mkuu hayana mbele wala nyuma na anarudia kikosi kazi cha umeme kila siku hana ubunifu, ni dikteta kwa kumsikiliza lema ili madiwani Arusha wafukuzwe, naanza kuuona mwisho wa CHADEMA na kinaenda kuingia kwenye mgogoro mkubwa wa kiuongozi na kichama like NCCR na TLP

Mbowe na baba yenu nani anapwaya zaidi? Na huyo baba yenu angechukua nchi 1995 du hii nchi hata barabara zingekuwa kama vichochoro lakini tunampa bigup mkapa alijitahidi na alikuwa serious
 
Nimekuwa na shaukum kubwa ya kuona kasi ya Wabunge wetu wa CDM wakifanya mageuzi makubwa ya uchumi na kukuza pato la Taifa kwa mtanzania kupitia hoja zao. Nathubutu kusema hata leo nimekereka kufanya jukumu langu la kuripoti kila Alhamisi kinachojiri katika Bunge kwa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.

Mkuu are you serious on this one? Unaweza kunitajia chama chochote cha upinzani duniani chenye uwakilishi ndani ya bunge au senate of less than 20% kimeweza kufanya hayo unayoyaita mageuzi makubwa ya kiuchumi kupitia hoja zao????
 
Jamaa ana PHD ya unafiki - PHD ya kutumia kiuno kufikiri - wewe kambi ya upinzani inakuhusu nini wakati ya kwenu yanawashinda, Magamba hayatoki, na jingine limeota juzi bungeni lakini halijajikoboa mpaka leo hii.

Kwako kunawaka moto huna habari unaendelea unachunguza kwa wenzio - time is running out for CCM my friend - mnakalia kupika majungu tu.
 
Unategemea hilo haliwezekani kwa less than 20%...Refer to Uganda wala usiende Mbali
 
Haya majina yenu hayaendani na mnavyoandika. Mara PhD, mara Mhadhiri, kumbe ni kuficha umbumbumbu wenu!!!!

acheni ushabiki usio kuwa na msingi, ishu ya kuunda kikosi kazi kutatua tatizo la umeme, aliuliza mbowe last wiki leo tena kauliza kitu kile kile bila kufafnua kikosi kazi kitatekeleza hadidu zipi za rejea kwa dharura, nachojaribu kueleza hapa ni kuwa kama kiongozi wa upinzani bungeni anatkiwa kuuliza jambo lenye hoja kwa suala ambalo ni very burning katika Taifa kwa sasa na anatakiwa kujenga hoja kwa mapana yake, kimsingi mbowe hana uwezo mkubwa wa kuunda hoja ili kumtikisa waziri mkuu. tujadili bila ushabiki
 
Jamaa ana PHD ya unafiki - PHD ya kutumia kiuno kufikiri - wewe kambi ya upinzani inakuhusu nini wakati ya kwenu yanawashinda, Magamba hayatoki, na jingine limeota juzi bungeni lakini halijajikoboa mpaka leo hii.

Kwako kunawaka moto huna habari unaendelea unachunguza kwa wenzio - time is running out for CCM my friend - mnakalia kupika majungu tu.

FUSO, YUTONG

Hebu tuache jazba lets get to serious business. Mie naefuatilia Bunge kwa ukaribu hili linanigusa sana. kuna ukweli hapa wa zaidi ya asilimia 90.

Tulitafakari hili kwa Kina
 
Unampima kiongozi kwa maswali anayouliza? Mbona humpimi Kikwete kwa majibu anayotoa? Una PhD ya kun.ya sio ya darasani
 
Siku ya leo itakwisha bila mchangiaji yeyote kujitokeza katika thread hii kwa kuwa umemgusa Mbowe:

Nimekuwa na shaukum kubwa ya kuona kasi ya Wabunge wetu wa CDM wakifanya mageuzi makubwa ya uchumi na kukuza pato la Taifa kwa mtanzania kupitia hoja zao. Nathubutu kusema hata leo nimekereka kufanya jukumu langu la kuripoti kila Alhamisi kinachojiri katika Bunge kwa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.

Nashawishika kuamini kwa dhati kuna tatizo kubwa la ubinafsi katika mioyo ya viongozi wetu, na kuna dalili za wazi zile dalili za bifu la kugombea nafasi ya uenyekiti wa Chama mwaka jana linakitafuna chama na kupunguza umaaruf wake.

Haiwezekani Kabwe Zuberi Zitto akawa na Hoja zenye mashiko kuliko kiongozi wake katika kipindi hiki ambacho tunasaka kuendela kuungwa mkono na watanzania na kukipa chama taswira ya uhakika.

Kama CDM wangekuwa na vikao vya kuweka mikakati wangefikia pahala tukaamua lipi aliseme Zitto na Lipi Kiongozi wa Kambi, kama kikao hicho kipo na hili linafanyika basi kuna kila sababu ya kumdidimiza Mbowe.

Awali tulikubali kuwa alikuwa na msongo wa mawazo kufuatia rabsha zile za polisi, tukafunika Kombe mwanaharamu apite. Huwezi kulinganisha kipindi anasimama HAMAD Rashid katika Bunge lililopita na akisimama Mbowe leo. Tafadhali Kambi litazameni hili na tunahitaji mabadiliko ya haraka kabla hatujapoteza imani nanyi.

Tunatambua mnalizama hili na kuona hasa nini kinahitajika ili kuimarisha kambi ya upinzani Bungeni

ADIOS

utawajua kwa matunda yao....kumbe ulikuwa unareport kutoka DODOMA kama kutupa rushwa ili tukuunge mkono kwa upupu uliojiandaa kuwa unauleta! kama hivi this is nonsense.....umeme ndilo tatizo kubwa linaloikumba taifa kwa leo,tatizo hili halijapata hata chembe ya suluhisho..sasa unashangaa nini swali hilo kuendelea kuulizwa?????au ndo mnataka tusahau?hatuwezi kusahau kwa kuwa hata sasa nimekuja ofisini hata sijanyoosha nguo,in the past 24hrs nimepata umeme kwa less than 2hrs!!!!halafu mnaona tulipotezee kirahisi! we won't mpaka kieleweke!!!!!!!poleni kama mnakereka ila huo ndo ukweli, endeleeni kumjutia HAMAD RASHID na ikiwezekana mkanywe nae chai na atawagawia allowance za kukalia kiti bungeni.
 
Back
Top Bottom