Pdidy JF-Expert Member Nov 22, 2007 50,956 22,139 Nov 9, 2011 #1 Nipe jibu nikalale jamani! Mkutano walikuwa wote ndani wapelekwe wachache chairman kala kona hili nalo neno??
Nipe jibu nikalale jamani! Mkutano walikuwa wote ndani wapelekwe wachache chairman kala kona hili nalo neno??
Pdidy JF-Expert Member Nov 22, 2007 50,956 22,139 Nov 9, 2011 Thread starter #2 Selo isikie kwa mdomo usieende wewe utajuta ndgu zangun
Masanilo Platinum Member Oct 2, 2007 22,286 4,493 Nov 9, 2011 #4 Pdidy said: Nipe jibu nikalale jamani! Mkutano walikuwa wote ndani wapelekwe wachache chairman kala kona hili nalo neno?? Click to expand... Unaboa na hizi pumba!
Pdidy said: Nipe jibu nikalale jamani! Mkutano walikuwa wote ndani wapelekwe wachache chairman kala kona hili nalo neno?? Click to expand... Unaboa na hizi pumba!
Mrimi JF-Expert Member Jul 18, 2011 1,691 633 Nov 9, 2011 #5 Mbona hata sijaona connection ya heading na hicho ulichoita kula kona. Kwani umeambiwa yuko DOM? Kama vipi kakojoe ukalale dogo.
Mbona hata sijaona connection ya heading na hicho ulichoita kula kona. Kwani umeambiwa yuko DOM? Kama vipi kakojoe ukalale dogo.
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,597 5,788 Nov 9, 2011 #6 Dedication: Kimbia by Babuu ft Mchizi Mox, Jay Moe.