Mbowe alikuwa na haya ya kusema kwa Watanzania wa USA

After listened Mr. Mbowe's talk, I concluded that CHADEMA is the only suitable party for the change we are hungry for in Tanzania. Bravo CHADEMA:biggrin:
 
wangeingilia masuala yetu ccm wangetafsiri chadema ndo walioanzisha mgomo wa madaktari
 
Hivi nae vile ambavyo hayupo bungeni siku zote hizo posho iko pale pale au ndo haipati?
 
CCM imefika mahali hadi nyoka anaenda kwenye harambee tena kanisani hii ni hatari so Chadema kazeni buti iokoeni Tanzania
 
CCM imefika mahali hadi nyoka anaenda kwenye harambee tena kanisani hii ni hatari so Chadema kazeni buti iokoeni Tanzania

Mkuu ungeweka kwa mtindo wa hints, japo kwa muhtasari hicho walichozungumza. Hyo itatoa msaada sana kwa sisi tunaotumia vitochi na hatupo kwenye access ya PC!
 
Back
Top Bottom