Mbowe akamatwa na polisi

Taarifa polisi inasaidia nini kama watakaosumbuliwa hawatapewa taarifa ya usumbufu tarajiwa?
hizi sheria na taratibu zisizo na maana hazitakiwi, polisi wanaotaka watu wafuate sheria wakati wao hawatimizi wajibu wao ni upuuzi.

Still dhana ya kuwa polisi wasingetoa taarifa kwa majirani pekee, haihalalishi kwa mwengine kuvunja taratibu na sheria zilizopo.
 
Back
Top Bottom