Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

na posho za vkao mbona anachukua kama shibuda na hilo anatakiwa kujibu

Hivi akiacha kuchua posho mbowe tu na hata wabunge wa chadema wote wakiacha(japo bunge lilikataa swala hili kwa kuwaambia lazima wasaini kitabu cha mahudhurio na ukishasaini tu posho inakuhusu) hicho kiasi cha pesa kitaweza kuleta mabadiliko yoyote katika hali ya uchumi wa Taifa letu?

Vipi wakiacha mamia ya wabunge wa CCM? na vipi bunge letu likifuta hizi posho kwa wabunge wote pamoja na kuondoa matumizi ya magari ya thamani kubwa? Kwani hii hoja ya kufuta posho CCM si wanaikataa tu kwa sababu imetoka upinzani!

Maana ina make sense kabisa kufutwa. Hivi wanajamvi wenzangu serikali yetu inang'ang'ania vipi gharama kubwa za kiuendeshaji ikiwemo na ukubwa wa serikali yenyewe ili hali hali hatujitoshelezi kiuchumi?

YAANI TUNANG'ANG'ANIA KUONGEZA VITI MAALUM,MATUMIZI YA MA V-8,POSHO KWA KUTEGEMEA KUKOPA!Tanzania eeeeeeeeeeeeehhh x 2................................................
 
Kimsingi hiyo ni taarifa ya magazeti,kuna kipindi tunayaamini na kuna kipindi hayaaminiki,hapa ni vema akatafutwa na kuhojiwa live ili ajibu hoja hii,au kama ni member humu basi aje atuweke sawa.ila bado sioni kama ni big issue sana katika mstakabali wa kisiasa.maana hatupaswi kuona kama ni sawa yale wanayotufanyia Nyinyiemu tu kwa sababu Mh Mbowe amerudi kutumia gari la KUB.
 
Watanzania wana matumaini makubwa sana na chadema. Wanategemea chadema itawakomboa toka kwenye mateso, manyanyaso na ufisadi wa Ccm. Hata mimi nilikuwa na mategemeo hayo, lakini bila kuficha naona wazi kwamba chadema ni hatari na ni mbaya zaidi kuliko ccm. Chadema itafanya mambo machafu na mabaya zaidi ya yale yanayofanywa na ccm. waswahili wanasema unaweza kuruka mkojo na ukakanyaga mavi, watanzania wenzangu tuwe makini sana na hawa wana siasa wetu. Wana malengo yao binafsi ambayo wanataka kuyatimiza kwa kupitia migongo yetu.
Kumbukeni wakati jakaya anachukua madaraka, watanzania wengi walijua kwamba mwisho wa matatizo yao umefika kumbe ukweli ukawa ndiyo mwanzo wa matatizo. Sasa hivi watanzania walio wengi wanashabikia chadema, lakini mnajua chadema ni ya nani na inapata wapi nguvu ya pesa na itazilipaje pesa hizo? Hivi mnafikiri Mzee Ndesamburo anatoa helicopter zake bure kusaidia chadema?. kufanya kosa si kosa ila kurudia kosa ni kosa. Tuwe makini sana ndugi zangu watanzania.

baki ccm,kwani umelazimishwa?na ukiwa huko ukae kimya usilalamike,coz yatakuwa ndo maisha uliyoyachagua!
 
kwani kaiba?mbona mnakuwa na mawazo mgando?ni haki yake kutumia, so alichukue au asilichukue ni uamuzi wake!mbona mnaacha hao waliolifikisha taifa hapa bila kuwachukulia hatua then mnakaa kujadili vitu ambavyo havina mantiki?
 
kwa hili ndugu mbowe inabidi utuambie watanzania ni kweli umechukuwa hilo gari au haujachukua.
 
Duh alikataa landcruiser gx standard akapewa V8 akatwaa! Vipi Zitto naye amerudi na kuchukua posho au? Kama bado Zitto anaendelea na msimamo wake basi huo ndio msimamo thabiti na siyo msimamo wa nataka sitaki.

Zitto anatakiwa achukue tu kwa maana wananchi hawajawa tayari kuliona hili umuhimu wake!,
 
tusichanganye hoja ya kutumia gari na kupewa mlinzi pamoja na pesa ya mawasiliano.hapa tunaitaji maelezo ya kushiba ya kwanini mh.aliirudia ile gari kimya kimya?????

kwanini???why???


mimi kama kama rais wa tano sijapendezwa na tabia hii ya sitaki nataka.
 
Mtu ukisema nyeusi maanisha kuwa ni nyeusi kweli na watu waone.sasa mchana unaposema nyeusi af usiku unasema ni ya bluu hatutakuelewa kirahisi.mwenyekiti anapaswa kuja hapa na kutupa maelezo ya kutosha
 
JK ni rais dhaifu na CCM ni wapuuzi sana!bei ya mafuta imeshuka kwa 24% tanzania bei inapanda

Napinga kwa nguvu zangu zote tabia hii chafu ya kutukana.unapaswa kujiuliza wewe umeifanyia nini tanzania sio kulalamika tu hapa km unavuliwa chupi.

mimi rais wa tano natoa onyo kali kwa wote wale wenye tabia km ya kwako.
 
Hii inachekesha sana, eti mtu anatuhumiwa kwa kuchukua malipo yake stahili na gari lake stahili. Who cares, na sio wizi, ni matumizi halali. Sasa hao wanaotuhumu wao wameiba, wamelindana na ni wezi wananuka! Hata mfurukute mwisho wenu 2015 haturudi nyuma hatudanganyiki hapa, hizi propaganda mlizoanzisha kazi bure. Mkibahatika 2015 ni huyo Rais tu ndio atatoka Sisiemu, wabunge asilimia 70 upinzani, KUDADADEKI!
Mbona unawadanganya? Hata usalama wa viongozi wakeshe kuiba kura!2015 ndio mwisho wao!Rais hawezi toka ccm tena, wajiandae kwa lolote, wengi wanajua hili hata Mh. Nchambi ameliona hili!
 
Hapa mheshimiwa Mbowe kacheza karata za kisiasa vibaya.
Kama alijua yote hayo,angelichukua tangu siku ile ya kwanza kuliko kucheza mchezo wa Sitaki....Nataka.
 
kuna dawa flani inaitwa rangi mbili naona sasa na sisi wanasiasa tumekuwa rangi mbili.
 
Mbona unawadanganya? Hata usalama wa viongozi wakeshe kuiba kura!2015 ndio mwisho wao!Rais hawezi toka ccm tena, wajiandae kwa lolote, wengi wanajua hili hata Mh. Nchambi ameliona hili!

nchambi ndio anayeteua au kuchagua rais????

kwa hiyo wewe ni mtabiri wa nyota na umerithi mikoba ya shehe yahaya hussein???

mimi rais wa tano sikubaliani na upotoshaji wako,tusubiri uchaguzi mkuu mwaka 2015 ndio utakaotupatia rais awe anatoka cck,adc,ccm,narea au hata mgombea binafsi alimradi awe mtanzania mzalendo.
 
Utakuwa umepararize mavi* ww sio bure.

Ndo mwisho wa akili zako hapo? Unaona ujanja kutukana eeh!! Watu tulishawahi kumtukana hadi Mungu ila tulkakutana Jiwe kuu la pembeni ambalo waashi walilikataa(Yesu Kristo) hivyo tukasafishwa na kuacha matusi, wewe unaona dili eeeh. Kwanza hata kama umeniambia mimi ni mavi, unadhani kweli nitakuwa mavi, la bali nitaendelea kubaki kama Barnabas Shadrack.
The unseen is illusytrated by the seen.
 
Inawezekana sielewi....sijui kaongelea hilo gari au kukosa marupurupu mengine? Hata sielewi. Na si ilikuwa lipigwe mnada? Mbona haikuwa hivo? Ila hii ni Tanzania, anything is possible!
 
Suala la kujiuliza hapa, Serikali yenu sikivu ilimpatia gari gani kwa kipindi chote alichokuwa hatumii gari hilo? Kwa nini haikuliuza imnunulie gari la kawaida lisilo la anasa?! Kama kweli ni sikivu kwa nini haijasikia hoja zote za kupinga matumizi ya magari ya anasa na posho za ulafi?! Narudia swali; Serikali ilifanya nini baada ya KUB kulikataa gari hilo???
 
hivi umetumia kichwa kweli kufikiri?

wadanganyika wa nji hii mngejifunza toka kenya kwa wakikuyu ambayo ni jamii ya karibu na wadugu wa wachaga, hawa watu kipaumbele chao ni pesa na si binadamu na ndiyo maana pamoja na pesa nyingi walizopata kijanjajanja sasa wanatafuta dola kwa thamani yoyote hata ikibidi damu za watanzania hata ikibidi damu ya watanzania, kwetu sisi wenye uzoefu wa shida wanayopata kenya, naahidi kama mchaga atakuwa rais wa tanzania sisi tutajiten
 
Back
Top Bottom