Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mungi uache kumtukana Dr Slaa
alishaona chama kinavyopigwa bei.
 
Last edited by a moderator:
Dr Slaa na Prof Lipumba wameyaona haya mapema ndio maana walikataa kuuzwa.... Mbowe anakoelekea watamnunua kwa bei chee na.... Nchi za nje, Chadema huyu kiongozi apewe Ukweli maana hajui kutofautisha kati ya Siasa na Biashara....
 
Dr Slaa na Prof Lipumba wameyaona haya mapema ndio maana walikataa kuuzwa.... Mbowe anakoelekea watamnunua kwa bei chee na.... Nchi za nje, Chadema huyu kiongozi apewe Ukweli maana hajui kutofautisha kati ya Siasa na Biashara....

Hizi story mnazopiga vijiweni nawaonea huruma sana kwa sababu laiti mngemjua Mbowe nadhani msingethubutu hata kunena juu yake. Mkiwa tayari kuukabili ukweli mseme.
 
mwandishi wenu wa gazeti gani? na mpaka mbowe aweke ngumu eti waandikishane hiyo serikali ya umoja wa kitaifa itakuwa ya chadema na ccm tu? au ccm+cuf+cdm+nccr?

Ugumu wa kuelewa sasa huamini kama chama kimeshawekwa mfukoni na wachache
 
Nikikumbuka post ya Zitto kuhusu Mbowe kuchukua mavumba kwa hawa tuliokuwa tunawaita mafisadi kina Mkono na Rostam + na hii habari nachoka!

Kweli, sisi ni vifaranga tu.
 
Last edited by a moderator:
Hizi story mnazopiga vijiweni nawaonea huruma sana kwa sababu laiti mngemjua Mbowe nadhani msingethubutu hata kunena juu yake. Mkiwa tayari kuukabili ukweli mseme.

Ukweli gani wakati kila kitu kipo wazi!!? Au wew ndie haufahamu Ukweli maana mtu mwenye busara hauwezi utakubali ujinga anaoufanya Mbowe, sasa kama nawewe ni miongoni wa waliokubali kununuliwa na Kibabu cha Monduli kupitia kwa Fisadi Mbowe jiandae kisaikolojia maana unaelekea kushindwa October hatuwezi kuchagua Mfanyiabiashara wa siasa... Magufuli anatoshaaaa banaaa
 
Sasa nimewakubali makamanda woote walioamua kupumzika na kumwacha Mbowe aendelee na biashara yake name EL. Kumbe Jk alikuwa na taarifa? Ndo maana akina Makonda, Nape etc wanapata jeuri ya kumtukana Lowassa! Mambo yalianza 2011!

Naungana na makamanda wenzangu Dr. Slaa. Mnyika. Mdee. Lissu hata name Lipumba kupmzika. Sina imani tena ukawa. El na Mbowe.
 
Sasa nimewakubali makamanda woote walioamua kupumzika na kumwacha Mbowe aendelee na biashara yake name EL. Kumbe Jk alikuwa na taarifa? Ndo maana akina makonda. Nape etc wanapata jeuri ya kumtukana Lowassa! Mambo yalianza 2011! Naungana name makamanda wenzangu Dr. Slaa. Mnyika. Mdee. Lissu hata name Lipumba kupmzika. Sina imani tena ukawa. El na Mbowe.

Mkuu, nchi yetu iko kwenye mikono salama.

Mipango ya kuwalaghai watu ili kuwaibia rasilimali za taifa imeanza muda mrefu lakini haifanikiwi kwa sababu wanaolipenda taifa wamekuwa wakiizuia. Kitendo cha EL kukatwa ni mojawapo ya ushahidi kuwa nchi iko salama.

Sasa EL kanunua chama cha upinzani ili aendelee na harakati zake za kuwarubuni watanzania. Hata hivyo hatafanikiwa kwa vile watanzania sio wajinga kama anavyodhani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom