Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

hizo ni mbinu tu za vita dhidi ya chadema!, maandamano yalitisha sana yale ati!, hizo habari ni za kizushi tu!

Uzushi kwa watu kama nyie msio na haiba wala weledi hivi kusoma hujui hata picha tu huoni hivi inawezekana vio mtu uliekua unamtangaza tanzania nzima kwa wananchi ukimuita fisadi papa tena hafai leo hii unaaminishwa tena kwa siku moja eti ni msafi ila mfumo heeeee mmepotea sana chama pekee cha kushukuriwa ni CCM hakina tabu yani mwendo wa magufuli hauzuiliki HapakaziTU
 
Last edited by a moderator:
Kuna mpango wa Mwenyekiti wa Chadema Mh.Freeman Mbowe wa kulipwa mamilioni ya fedha ili Viongozi wa Chadema waache kumsema Mr. Monduli kuwa ni fisadi.

Mh.Zitto Kabwe anajitahidi kwa kila hali kuzuia mpango huo

Na Mwandishi wetu | Gazeti la Sauti Huru

Mmoja kati ya vigogo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kuhusika na vitendo vya ufisadi(jina tunalihifadhi kwa sasa) anadaiwa kuwa kwenye mazungumzo ya siri na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) Freeman Mbowe ili kuingia ubia na chama hicho.

Inaelezwa kuwa ,lengo la kigogo huyo ni kukiziba mdomo chama hicho kisimrushie makombora ya ufisadi kama walivyowahi kumrushia siku za nyuma.

Uchunguzi uliofanywa na timu ya waandishi wa gazeti hili kwa muda mrefu sasa umebaini kuwa kigogo huyo wa CCM amekuwa na mawasiliano ya siri na ya karibu na Mbowe huku vikao vingi vikifanyika ndani ya hoteli moja ya kitalii iliyopo jijini Arusha (jina tunalo)

Imebainika kuwa ndoa hiyo ya siri ni ya wanasiasa hao wawili,lakini ikilenga uchaguzi mkuu wa 2015 ambapo kigogo huyo wa CCM amemuahidi Mbowe kwamba wataunda "serikali ya umoja wa kitaifa" endapo Mbowe atasaidia kuacha kumuandama kwa tuhuma za ufisadi na kuwadhibiti viongozi wengine wa chama chake, kutofanya hivyo kwenye maandamano na mikutano yao ya hadhara, pamoja na kwenye mahojiano na vyombo vya habari.

Uchunguzi zaidi umebaini kuwa tayari kigogo huyo amempa mwenyekiti huyo wa CHADEMA kiasi kikubwa cha fedha ili chama hicho kinapoendelea na kampeni yake ya bomoa-bomoa mafisadi yeye asiguswe kabisa, kama hatua ya kumfikisha ndoto yake ya kutaka chama tawala kumteua kuwa mgombea wa nafasi ya urais.

Chanzo chetu cha uhakika kikiongea na Sauti Huru kwa sharti la kufichwa jina lake kimedai " huu mpango unafanywa kwa siri kubwa na ninajua hata mhusika (anamtaja) akijua habari hii imetoka atafadhaika sana"


Habari zaidi zinadai kwamba kigogo huyo amefikia hatua hiyo baada ya kusoma alama za nyakati na kuona kwamba uwezekano wa mwenyekiti wa chama chake kumuunga mkono ni mdogo, hivyo hatoweza kupenya katika kinyang'anyiro cha uraisi 2015.

" Huyu bwana amesoma alama za nyakati ,ameona kabisa uwezekano wa kuungwa mkono na mwenyekiti wake(wa CCM) ni mdogo sana hivyo ni lazima atafute njia nyingine hata kama njia hiyo itakuwa na madhara kwa chama chake", kilieleza chanzo hicho na kufafanua;

"Si kwamba hajui mwenyekiti atalalia wapi, anajua lakini yuko tayari hata kukisaliti chama ili wote wakose,hivi ninavyoongea nanyi watu hawa wana mawasiliano ya kila mara juu ya suala hili ila Mbowe kaweka ngumu kuwa lazima waandikishiane ajue kabisa endapo (kigogo huyo atafanikiwa kuingia madarakani basi wataunda government of unity(serikali ya umoja wa kitaifa)".

...Aidha imefafanuliwa kwamba habari hizi zimeweza kumgusa hata Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zitto Kabwe, lakini kwa namna ya pekee Zitto ameweza kudhoofisha mkakati huo kwa kile kilichodaiwa kuwa ni 'unafiki kwa Mbowe'

"Mtakumbuka siku za hivi karibuni Zitto alishutumiwa na chama chake kwa madai ya kuwa na uhusiano wa mashaka na Idara ya Usalama wa Taifa. Chadema wamekuwa wakidai kwamba Zitto anatoa siri za chama chao nje na hata kumuundia kamati ya wazee kumshauri?" alihoji.

Aliendelea:" Kilichotokea katika kamati hiyo siku walipokutana na Zitto ilikuwa tofauti kabisa, Zitto akawabadilishia mada pale alipowaambia wazee,'jamani ugomvi wangu na Mbowe ni pesa za chama, anatumia chama hiki hiki kupata fedha toka nje ya nchi na ndani ya nchi, lakini ninapojaribu kumkosoa kuwa tabia hiyo si nzuri kwa mwenyekiti wa chama ananijia juu,nyie mnajua kuwa amepokea fedha mamilioni kutoka kwa(anamtaja kigogo huyo) kwa ajili ya kutunyamazisha tusipige kelele za ufisadi dhidi yake?' "

"Hivi hamjui tayari anafanya mazungumzo na mtu wa CCM kwa ajili ya power sharing ya mwaka 2015?"

Kwa mujibu wa habari hiyo ni kwamba kigogo huyo atafanya kila liwezekanalo CCM imteue kuwa mgombea wa nafasi ya uraisi; lakini anajua hilo litawezekana endapo kelele za ufisadi dhidi yake zitamalizika.

"Huyu mtu ni mjanja sana na kwa sasa ana nguvu na mtandao mkubwa ndani ya CCM unaoweza kumfanya ateuliwe na chama kuwa mgombea, si hilo tu anajaribu hata kutafuta nguvu nje ya nchi ili endapo akikataliwa aweze kuwa na cha kuieleza jumuiya za kimataifa,"

"Na kwa hatua aliyofikia ni kwamba endapo hatoteuliwa hasa kutokana na ufisadi wake,yuko tayari hata chama chake kipoteze nafasi ya uraisi kitu ambacho kinaonyesha kuwa hana sifa za kiuongozi isipokuwa ni tamaa ya utawala."

Source: Gazeti la Sauti Huru

My Take:
Wale viongozi wa Chadema na wakereketwa waliopo humu JF watuthibitishie hii habari kama ni kweli.

mbowe jamani yupo kimasilahi zaidi,mkumbuke kwamba mbowe ni mfanyabiashara na kama ni mfanyabiashara kama wafanyabiashara wengine lengo lao ni kupata faida zaidi.kwahiyo mbowe yupo kimasilahi na ndio maana ameamua kumuwekea bond ndugu edoward lowassa chama cha chadema ili apate mkwanja wa bilioni 10 na kwenda kulia bata na mademu zake wa bilicanaz.
 
Habari hii ina ukweli gani?au kina magamba wanajaribu janja hii kudhohofisha kasi ya watu makini kwenye mapambano.Lakini pia mbona issue ya urais 2015 inaumiza vichwa vya kina magamba wakati tangu wamchague rais hawana hata miaka miwili? wamegundua nini kwa bosi wao?:violin:
sema ukweli japo Mchungu, ukweli utamuweka mtu huru daima pole sana dr slaa
 
kuna mpango wa mwenyekiti wa chadema mh.freeman mbowe wa kulipwa mamilioni ya fedha ili viongozi wa chadema waache kumsema mr. Monduli kuwa ni fisadi.

Mh.zitto kabwe anajitahidi kwa kila hali kuzuia mpango huo

na mwandishi wetu | gazeti la sauti huru

mmoja kati ya vigogo wa chama cha mapinduzi (ccm) wanaotajwa kuhusika na vitendo vya ufisadi(jina tunalihifadhi kwa sasa) anadaiwa kuwa kwenye mazungumzo ya siri na mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo(chadema) freeman mbowe ili kuingia ubia na chama hicho.

inaelezwa kuwa ,lengo la kigogo huyo ni kukiziba mdomo chama hicho kisimrushie makombora ya ufisadi kama walivyowahi kumrushia siku za nyuma.

uchunguzi uliofanywa na timu ya waandishi wa gazeti hili kwa muda mrefu sasa umebaini kuwa kigogo huyo wa ccm amekuwa na mawasiliano ya siri na ya karibu na mbowe huku vikao vingi vikifanyika ndani ya hoteli moja ya kitalii iliyopo jijini arusha (jina tunalo)

imebainika kuwa ndoa hiyo ya siri ni ya wanasiasa hao wawili,lakini ikilenga uchaguzi mkuu wa 2015 ambapo kigogo huyo wa ccm amemuahidi mbowe kwamba wataunda "serikali ya umoja wa kitaifa" endapo mbowe atasaidia kuacha kumuandama kwa tuhuma za ufisadi na kuwadhibiti viongozi wengine wa chama chake, kutofanya hivyo kwenye maandamano na mikutano yao ya hadhara, pamoja na kwenye mahojiano na vyombo vya habari.

uchunguzi zaidi umebaini kuwa tayari kigogo huyo amempa mwenyekiti huyo wa chadema kiasi kikubwa cha fedha ili chama hicho kinapoendelea na kampeni yake ya bomoa-bomoa mafisadi yeye asiguswe kabisa, kama hatua ya kumfikisha ndoto yake ya kutaka chama tawala kumteua kuwa mgombea wa nafasi ya urais.

Chanzo chetu cha uhakika kikiongea na sauti huru kwa sharti la kufichwa jina lake kimedai " huu mpango unafanywa kwa siri kubwa na ninajua hata mhusika (anamtaja) akijua habari hii imetoka atafadhaika sana"


habari zaidi zinadai kwamba kigogo huyo amefikia hatua hiyo baada ya kusoma alama za nyakati na kuona kwamba uwezekano wa mwenyekiti wa chama chake kumuunga mkono ni mdogo, hivyo hatoweza kupenya katika kinyang'anyiro cha uraisi 2015.

" huyu bwana amesoma alama za nyakati ,ameona kabisa uwezekano wa kuungwa mkono na mwenyekiti wake(wa ccm) ni mdogo sana hivyo ni lazima atafute njia nyingine hata kama njia hiyo itakuwa na madhara kwa chama chake", kilieleza chanzo hicho na kufafanua;

"si kwamba hajui mwenyekiti atalalia wapi, anajua lakini yuko tayari hata kukisaliti chama ili wote wakose,hivi ninavyoongea nanyi watu hawa wana mawasiliano ya kila mara juu ya suala hili ila mbowe kaweka ngumu kuwa lazima waandikishiane ajue kabisa endapo (kigogo huyo atafanikiwa kuingia madarakani basi wataunda government of unity(serikali ya umoja wa kitaifa)".

...aidha imefafanuliwa kwamba habari hizi zimeweza kumgusa hata naibu katibu mkuu wa chadema zitto kabwe, lakini kwa namna ya pekee zitto ameweza kudhoofisha mkakati huo kwa kile kilichodaiwa kuwa ni 'unafiki kwa mbowe'

"mtakumbuka siku za hivi karibuni zitto alishutumiwa na chama chake kwa madai ya kuwa na uhusiano wa mashaka na idara ya usalama wa taifa. Chadema wamekuwa wakidai kwamba zitto anatoa siri za chama chao nje na hata kumuundia kamati ya wazee kumshauri?" alihoji.

aliendelea:" kilichotokea katika kamati hiyo siku walipokutana na zitto ilikuwa tofauti kabisa, zitto akawabadilishia mada pale alipowaambia wazee,'jamani ugomvi wangu na mbowe ni pesa za chama, anatumia chama hiki hiki kupata fedha toka nje ya nchi na ndani ya nchi, lakini ninapojaribu kumkosoa kuwa tabia hiyo si nzuri kwa mwenyekiti wa chama ananijia juu,nyie mnajua kuwa amepokea fedha mamilioni kutoka kwa(anamtaja kigogo huyo) kwa ajili ya kutunyamazisha tusipige kelele za ufisadi dhidi yake?' "

"hivi hamjui tayari anafanya mazungumzo na mtu wa ccm kwa ajili ya power sharing ya mwaka 2015?"

kwa mujibu wa habari hiyo ni kwamba kigogo huyo atafanya kila liwezekanalo ccm imteue kuwa mgombea wa nafasi ya uraisi; lakini anajua hilo litawezekana endapo kelele za ufisadi dhidi yake zitamalizika.

"huyu mtu ni mjanja sana na kwa sasa ana nguvu na mtandao mkubwa ndani ya ccm unaoweza kumfanya ateuliwe na chama kuwa mgombea, si hilo tu anajaribu hata kutafuta nguvu nje ya nchi ili endapo akikataliwa aweze kuwa na cha kuieleza jumuiya za kimataifa,"

"na kwa hatua aliyofikia ni kwamba endapo hatoteuliwa hasa kutokana na ufisadi wake,yuko tayari hata chama chake kipoteze nafasi ya uraisi kitu ambacho kinaonyesha kuwa hana sifa za kiuongozi isipokuwa ni tamaa ya utawala."

source: gazeti la sauti huru

my take:
wale viongozi wa chadema na wakereketwa waliopo humu jf watuthibitishie hii habari kama ni kweli.

i lisemwalo lipo kama halipo laja, kumbe mfanyabiashara mbo-we alianza haya mambo kitambo sana
kwel
 
mbowe jamani yupo kimasilahi zaidi,mkumbuke kwamba mbowe ni mfanyabiashara na kama ni mfanyabiashara kama wafanyabiashara wengine lengo lao ni kupata faida zaidi.kwahiyo mbowe yupo kimasilahi na ndio maana ameamua kumuwekea bond ndugu edoward lowassa chama cha chadema ili apate mkwanja wa bilioni 10 na kwenda kulia bata na mademu zake wa bilicanaz.
mungu atawalipa wanamapinduzi kama zitto kabwe jasho lako halikwenda bure kijana kumbe ulinusa nyendo Za jamaa tangu kitambo..!
 
Magamba bwana, jiandaeni kwa kampeni, Mambo ya mtaa wa pili waachieni wenyewe. Mtasutwa!

Kaka hayo sio mambo ya mtaa wa pili ila ni mambo ya manufaa kwa nchi nzima na watanzania wote wapate kulitambua hilo na waachane na siasa za lowasa maana hazina ukweli bali ulaghai ndio maana anaamua kuwatumia watu wa hali ya chini kwa kuwapa pesa ili wamtukuze OGOPA SANA MICHEPUKO SIO DILI #HAPAKAZITU CCM MBELE KWA.MBELE HAPA MAGUFULI TU
 
Katika hili Mbowe hafai Uongozi wa Chama chochote Hata nchi kwakuwa anauzalendo na Chama chake pia kwakuwa ni mroho wa fedha zisizo harali (Fisadi).... Amekifisadia Chama cha Chadema, CUF, nccr na udp.... (Ukawa) kwa Mzee wa Monduli...
 
chadema wana malengo yao makini hata iweje 2015 wanashika dora. Huo ni mpango ndani ya makundi ya ccm kumchafua EL ili wamweke mtu wao na hata hvyo hawataweza kamwe..! Kwani 2015 ni cdm tu.

Kwanza ni dola na sio ''Dora'' mnaishika kwa ununuzi eeeh daaah ikulu ni mahali patakatifu...!
 
hizo ni mbinu tu za vita dhidi ya chadema!, maandamano yalitisha sana yale ati!, hizo habari ni za kizushi tu!

Itakuchukua muda mrefu kuelewa haya mambo kweli mwandishi alinusa mkataba wa kilaghai kati ya boss wa disco na chief wa maigizo toka 2011 leo 2015 watu wameshauziana kitambo 😎😎😎
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom