Mbowe aibomoa CCM hai, wanafamila wa mkiti CCM wilaya, wahamia CHADEMA

Mikael Aweda

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
2,973
3,901
Mkiti wa Taifa wa Chadema, Mbunge wa Hai, na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ameibomoa ccm kwa kufungua shina la wakereketwa wa Chadema wilayani hai karibu na nyumbani kwa mkiti wa ccm wilaya ya Hai Amini Uronu. Mh. Mbowe pia alipokea wanachama wapya 30 kutoka chama cha mapinduzi (CCM). Miongoni mwa waliorudisha kadi hizo ni wanafamilia wa Mkiti huyo wa ccm ( Amini Uronu) ambao ni wadogo zake - nao ni Zawadi Uronu na Haruna Uronu. Vijana hao, wengi wao ndo waliokuwa tegemeo na wahamasishaji wakuu wa ccm wilayani hapo.
My take,
Wadogo zake na mkiti wa ccm wilaya wanaiasi ccm, nani ataitetea ccm?
Kama walioko ndani wana migogoro mikubwa, I can not wait 2015.
Thanks.
 
niliona kiofisi cha CDM pale matembele ya kwanza ON THE WAY TO kitunda nikaambiwa hiyo ni kazi ya AWEDA
hongera
 
Ukweli upo wazi magamba wanapumulia mashine pamoja na kujifariji wakweli wanakiri CDM ni noma
 
CDM njooni NACHINGWEA. Mukiweka nguvu 2015 munachukua jimbo. Chikawe hatumtaki wananchi tumemchoka.
 
Waje Mtwara sio kila uchao kaskazini tu

Hapa ni mbunge anatembelea jimbo lake na kuimarisha chama pa1 na kujiongezea wapigakura.

Acheni upuuzi wenu wa kutazama mambo kibaguzi na kung'ang'ania propaganda za magamba kwenye bongo zenu!!?

Cdm wamefanya maandamano na operation sangara mikoa ya kanda ya ziwa hadi Tabora, nyanda za juu kusini hadi Ruvuma. Hivyo havijawahi kufanyika kwenye kanda nyingine ikiwemo kaskazini lakini bado mnaeneza propaganda za kila kitu kaskazini. Funguka akili ndungu, usikubaki kusafirishwa kwenye meli ya magamba!
 
Mkiti wa Taifa wa Chadema, Mbunge wa Hai, na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ameibomoa ccm kwa kufungua shina la wakereketwa wa Chadema wilayani hai karibu na nyumbani kwa mkiti wa ccm wilaya ya Hai Amini Uronu. Mh. Mbowe pia alipokea wanachama wapya 30 kutoka chama cha mapinduzi (CCM). Miongoni mwa waliorudisha kadi hizo ni wanafamilia wa Mkiti huyo wa ccm ( Amini Uronu) ambao ni wadogo zake - nao ni Zawadi Uronu na Haruna Uronu. Vijana hao, wengi wao ndo waliokuwa tegemeo na wahamasishaji wakuu wa ccm wilayani hapo.
My take,
Wadogo zake na mkiti wa ccm wilaya wanaiasi ccm, nani ataitetea ccm?
Kama walioko ndani wana migogoro mikubwa, I can not wait 2015.
Thanks.
Yaelekea hujui hata maana ya familia. mtu mzima ovyo.
 
Heko CDM kwa kazi nzuri! Kaza boot coz ndo kumekucha, tunahitaji 4wheels ya kuaminika ili kuongeza kasi zaidi kwenye tope la CCM, imehaibu miundo mbinu kwenye akili za watz!
 
Back
Top Bottom