Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

point nzuri, sasa na ile kesi ya mahakamani iishie wapi; alipe kabla ya kesi au baada ya kesi au alipe kana kwamba hakuna kesi?

Mwanakijiji,

Unataka kuniambia Mbowe angelipa hilo deni kwa hiyo miaka sita kama walivyokubaliana, bado wangempeleka mahakamani?

Acheni ushabiki usio na maana, Mbowe anadaiwa, NSSF kwenda mahakamani ni katika kudai haki yao na sio vinginevyo.

Sasa rais mtarajiwa anakuwa na madeni ambayo anashindwa kulipa, hapo mbona kama tunatengeneza fisadi mwingine kama Mkapa?

Mbowe alikuwa na uwezo kabisa wa kulipa hizo pesa lakini kama wafanyabiashara wengi wa miaka ya 90, wanaona kulipa deni ni kama kunyanyaswa.
 
GREAT MZEE !
Mbowe mwenyewe na biashara alizoanzisha kutokana na hiyo mikopo, mfano protea hotel kaajiri management toka South Africa, yaani hafai hafai KABISAAAAAAAAAA, watanzania aliwasahaulia wapi sijui !

Mbowe, mkopo ulipewa tanzania then unadiriki kuajiri wasauzi ?? ish, man !
 
Mwanakijiji,

Unataka kuniambia Mbowe angelipa hilo deni kwa hiyo miaka sita kama walivyokubaliana, bado wangempeleka mahakamani?

Acheni ushabiki usio na maana, Mbowe anadaiwa, NSSF kwenda mahakamani ni katika kudai haki yao na sio vinginevyo.

Sasa rais mtarajiwa anakuwa na madeni ambayo anashindwa kulipa, hapo mbona kama tunatengeneza fisadi mwingine kama Mkapa?

Mbowe alikuwa na uwezo kabisa wa kulipa hizo pesa lakini kama wafanyabiashara wengi wa miaka ya 90, wanaona kulipa deni ni kama kunyanyaswa.

Mie sina chama, lakini kushindwa kulipa kwa aliyechukua mkopo bank si kitu cha ajabu na kinatokea katika kila kona ya dunia, bank wanaweza kumfilisi mali zake ili wafidie deni lao. Je, na huyu fisadi Mkapa aliyejichukulia Kiwira Coal Mining bila hata kuwaambia Watanzania na kujifanya ni ya kwake na kisha kuwashinikiza TANESCO waingie naye mkataba wa shilingi 326 bilioni hamuoni ufisadi wake! Duh! Ama kweli ukistaajabu ya hayawani utaona ya taahira!
 
Mwanakijiji,

Unataka kuniambia Mbowe angelipa hilo deni kwa hiyo miaka sita kama walivyokubaliana, bado wangempeleka mahakamani?

Acheni ushabiki usio na maana, Mbowe anadaiwa, NSSF kwenda mahakamani ni katika kudai haki yao na sio vinginevyo.

Sasa rais mtarajiwa anakuwa na madeni ambayo anashindwa kulipa, hapo mbona kama tunatengeneza fisadi mwingine kama Mkapa?

Mbowe alikuwa na uwezo kabisa wa kulipa hizo pesa lakini kama wafanyabiashara wengi wa miaka ya 90, wanaona kulipa deni ni kama kunyanyaswa.

Mtanzania, kama hakuwa na uwezo wa kulipa ndani ya miaka sita ni kitu cha ajabu kabisa kutokea duniani? Kama kushindwa kulipa mkopo wa kibiashara ndani ya muda ni jambo ambalo halijawahi kusikika duniani miye nakubali!! alipe! Lakini kama hiki ndicho kipimo siku hizi basi tuanze sasa kuwataja wabunge wote na wanasiasa wote ambao wana madeni ambayo wameshindwa kulipa ndani ya muda uliotakiwa.

Mkisema kuwa kati ya viongozi wote wa kisiasa Tanzania ni Mbowe peke yake miye nitakubali, itakuwaje mtu "mmoja" ashindwe kabisa kulipa deni kama hilo. Sasa kinadharia niko upande wenu kabisa, lakini wangapi wetu hapa tuna madeni kwenye mabenki na credit cards ambayo tunayalipia miezi nenda miezi rudi!? Wale ambao hamna deni hata moja nyinyi ndio mnatakiwa muongoze nchi.

Lakini katika ulimwengu halisia watu wana madeni, watu wanafanya makosa, na watu wanajifunza kutokana na makosa hayo. Kama vile watu walivyopima kipimo kwa Zitto kuhusu Amina tukawakatalia, na hapa nawaasa tena, kipimo mnachotaka kukitumia kwa Mbowe muwe tayari kukitumia kwa wengine and believe me wapo na wanajulikana. That is all I'm saying, isije kuwa kitakapoanza kuinuliwa kwa kina Mwakyembe, Selelii, Mzindakaya, na wengine ambao kwa wengine ni mashujaa tusianze kutafuta udhuru.
 
Mbowe: Nadaiwa na NSSF lakini siifilisi

*Asema watakaoifilisi ni makada wa CCM

Na Said Mwishehe

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Freeman Mbowe, amekiri kudaiwa fedha na Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), lakini akakana tuhuma kuwa mkopo aliochukua ndio unalifilisi shirika hilo.

Pia amesema Watanzania wanapaswa kufahamu kuwa kama NSSF itafilisika basi ni kutokana na mabilioni ya fedha yaliyokopwa na wakopaji wengine wanaotajwa na ripoti mbalimbali za kampuni hiyo ya umma, ambao hawajawahi kutajwa, kushitakiwa wala kukamatwa na ni makada wa CCM.

Bw. Mbowe alitoa kauli hiyo jana Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari kutoa ufafanuzi kuhusu deni analodaiwa na NSSF ambalo alilikopa mwaka 1990 kwa ajili ya upanuzi wa kampuni ya Mbowe Hotels Limited ya jijini, ambayo yeye ni mmoja wa wakurugenzi wake mkurugenzi mwingine akiwa ni Dkt. Lilian Mbowe ambaye ni mkewe.

"Naomba ifahamike, deni ambalo nadaiwa na NSSF haliwezi kulifisi shirika hilo, bali watu wanaoweza kulifilisi ni waliokopa mabilioni ya fedha na hawataki kurudisha. Wengi wamekopa katika mazingira ya kutatanisha na ukiwachunguza walio wengi ni makada wa CCM. Ndiyo maana aliyekuwa Waziri Mkuu wa Awamu ya Tatu, Bw. Frederick Sumaye, aliwahi kusema ukitaka biashara zako zinyooke, hamia CCM," alisema Bw. Mbowe.

Alisema kwa mujibu wa mchanganuo wa kitaalamu, deni la sasa linalodaiwa na NSSF kwa kampuni yake ya Mbowe Hotels Limited ambalo halihusiani na masuala ya siasa wala CHADEMA, ni sh. 43,169,227 ambazo zinatokana na riba ya mkopo aliochukua.

Alisema fedha hiyo ni kidogo kwa upande wake na si kwamba ameshindwa kulipa deni bali kinachotakiwa kwanza ni kufanyika kwa mazungumzo ambayo yatahakikisha haki inatendeka na hasa kwa upande wake na NSSF.

Akifafanua zaidi kuhusu deni hilo, Bw. Mbowe alisema kimsingi anadaiwa sh. milioni 15 ambazo alikopa mwaka 1990 kwa ajili ya shughuli za biashara na kwamba ameshazilipa ila deni lililopo sasa linatokana na riba ya mkopo huo.

Bw. Mbowe alisema hadi Juni 30 mwaka jana, kampuni yake imeshalipa jumla ya sh. milioni 75.5 ambazo kimsingi ni takribani mara tano ya kiwango cha fedha kilichokopwa na kampuni yake.

Aliongeza kuwa kampuni ya Mbowe Hotels Limited tangu mwaka 1996 imekuwa na nia ya kulipa deni hilo kwa kuandika barua kwa NSSF kutaka kukutana na kujadili suala hilo, lakini hadi sasa NSSF bado haijajibu barua hizo hivyo yeye na kampuni si kikwazo cha kulipa deni hilo, bali kikwazo ni NSSF yenyewe ambayo haitaki wakae na kuzungumzia suala hilo.

"Katika maisha ya biashara halali na ujasiriamali, kukopa ni jambo la kawaida. Utaratibu wa kupitia upya na kutathmini mikataba nalo ni jambo la kawaida kwa kila taasisi ya fedha inayojua wajibu wake na yenye nia njema. Mazingira ya biashara wakati wa michanganuo ya biashara hutofautiana kwa kiasi kikubwa na hali halisi hasa kutokana na udhaifu wa uchumi wetu hususan mfumuko wa bei," alisema Bw. Mbowe.

Aliongeza kuwa katika maisha yake ya biashara na uwekezaji kwa kupitia kampuni mbalimbali, aliwahi kukopa kwenye benki kadhaa kwa miradi inayotoa ajira kwa Watanzania wengi na kote huko amerejesha mikopo yote na hivyo alisisitiza kuwa ataendelea kukopa kwani ni njia muafaka kwake kujisaidia kimaisha.

Alisema mkataba wake na NSSF wa mwaka 1990 uligubikwa na mizengwe, kwani mwaka mmoja baada ya mkataba huo kusainiwa, aliomba kuongeza mkopo kwa ajili ya kukamilisha mradi lakini alikataliwa.

Bw. Mbowe alisema ataendelea kusimama katika haki hadi mwisho na yuko tayari kutumia gharama kubwa kuliko deni analodaiwa kuona uamuzi wa mwisho unakuwa wa usawa na haki.

Alisema kitu ambacho anakiona kwa sasa ni kuchafuliwa jina lake na chama chake kutokana na jitihada zao za kupambana na ufisadi katika maeneo mbalimbali ukiwamo wa EPA na Richmond.

Alisema pamoja na kuchafuliwa, bado atasimama imara kutetea maslahi ya Watanzania wote kwa kuhakikisha ufisadi unakwisha na yeye akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA atahakikisha siku zote anapinga ufisadi.

Kuhusu Mwenyekiti wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Bw. Paul Kyara, kuilingia suala hilo alisema inawekezana kuna watu wanamtumia katika kulichafua jina lake na inawezekana hajui mlolongo mzima wa tukio hilo.

"Sitaki kuwa msemaji wa Kyara, lakini picha ninayoipata hapa ni kwamba anatumiwa na watu kwa ajili ya kuharibu jina langu na chama changu.
"Kyara amekuwa akifuatilia chama chetu katika mambo mbalimbali hata uchaguzi mdogo uliofanyika Kiteto hivi karibuni, kumtafuta mbunge wa jimbo hilo baada ya CHADEMA kusimamisha mgombea naye alisimamisha wake kwa lengo la kutupinga, hivyo unaweza kuona ni mtu wa aina gani," alisema Bw.Mbowe.

Naye Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Bw. Zitto Kabwe, alisema kuwa pamoja na kuwepo kwa matatizo hayo, bado viongozi wote wa chama hicho wataendelea kumuunga mkono ili kuona haki inatendeka.

Pia alisema hayo yote ni katika kurudisha nyuma jitihada za kupambana na ufisadi, lakini wao wataendelea kuwa na msimamo wa kupambana na mafisadi wote na wananchi wawaunge mkono katika hilo.

MBOWE OVYO SANA, MAMBO KAMA HAYA ANAGEUZA SIASA ! WAPI NA WAPI, EBU READ BETWEEN THE LINES ALIVYOKUWA WEAK KATIKA KUJITETEA ! MASKINI WEEE MBOWE !
 
Of course, msingeweza kupost hapa!

(Majira)
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Freeman Mbowe, amekiri kudaiwa fedha na Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), lakini akakana tuhuma kuwa mkopo aliochukua ndio unalifilisi shirika hilo. (Kichwa cha habari cha mtanzania kilisema "Mbowe aifilisi NSSF")
Pia amesema Watanzania wanapaswa kufahamu kuwa kama NSSF itafilisika basi ni kutokana na mabilioni ya fedha yaliyokopwa na wakopaji wengine wanaotajwa na ripoti mbalimbali za kampuni hiyo ya umma, ambao hawajawahi kutajwa, kushitakiwa wala kukamatwa na ni makada wa CCM.

Bw. Mbowe alitoa kauli hiyo jana Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari kutoa ufafanuzi kuhusu deni analodaiwa na NSSF ambalo alilikopa mwaka 1990 kwa ajili ya upanuzi wa kampuni ya Mbowe Hotels Limited ya jijini, ambayo yeye ni mmoja wa wakurugenzi wake mkurugenzi mwingine akiwa ni Dkt. Lilian Mbowe ambaye ni mkewe.

"Naomba ifahamike, deni ambalo nadaiwa na NSSF haliwezi kulifisi shirika hilo, bali watu wanaoweza kulifilisi ni waliokopa mabilioni ya fedha na hawataki kurudisha. Wengi wamekopa katika mazingira ya kutatanisha na ukiwachunguza walio wengi ni makada wa CCM.

Watu wasiwe na shaka kwani dossier ya wana CCM waliokopa mabilioni na ambao hawajarudisha hadi sasa, wapo wanajulikana lakini gazeti la Mtanzania lisingewanyoshea vidole hao! Tutawasaidia.

Ndiyo maana aliyekuwa Waziri Mkuu wa Awamu ya Tatu, Bw. Frederick Sumaye, aliwahi kusema ukitaka biashara zako zinyooke, hamia CCM," alisema Bw. Mbowe.

Alisema kwa mujibu wa mchanganuo wa kitaalamu, deni la sasa linalodaiwa na NSSF kwa kampuni yake ya Mbowe Hotels Limited ambalo halihusiani na masuala ya siasa wala CHADEMA, ni sh. 43,169,227 ambazo zinatokana na riba ya mkopo aliochukua.

Alisema fedha hiyo ni kidogo kwa upande wake na si kwamba ameshindwa kulipa deni bali kinachotakiwa kwanza ni kufanyika kwa mazungumzo ambayo yatahakikisha haki inatendeka na hasa kwa upande wake na NSSF.

Akifafanua zaidi kuhusu deni hilo, Bw. Mbowe
alisema kimsingi anadaiwa sh. milioni 15 ambazo alikopa mwaka 1990 kwa ajili ya shughuli za biashara na kwamba ameshazilipa ila deni lililopo sasa linatokana na riba ya mkopo huo.

Bw. Mbowe alisema hadi Juni 30 mwaka jana, kampuni yake imeshalipa jumla ya sh. milioni 75.5 ambazo kimsingi ni takribani mara tano ya kiwango cha fedha kilichokopwa na kampuni yake.

Hata ningekuwa mimi nisingekurupuka kulipa! Unalipa vitu mara tano ya deni lenyewe? C'mmon be real! Mbowe usilipe hadi hawa jamaa wabadili msimamo wao na terms, hili ni deni la kihuni! Sisi wenyewe Tanzania tuliwaambia wafadhili, too bad hatuwezi kulipa madeni yenu hata mtunyonge! Kuna madeni hayalipiki!

Aliongeza kuwa kampuni ya Mbowe Hotels Limited tangu mwaka 1996 imekuwa na nia ya kulipa deni hilo kwa kuandika barua kwa NSSF kutaka kukutana na kujadili suala hilo, lakini hadi sasa NSSF bado haijajibu barua hizo hivyo yeye na kampuni si kikwazo cha kulipa deni hilo, bali kikwazo ni NSSF yenyewe ambayo haitaki wakae na kuzungumzia suala hilo.

"Katika maisha ya biashara halali na ujasiriamali, kukopa ni jambo la kawaida. Utaratibu wa kupitia upya na kutathmini mikataba nalo ni jambo la kawaida kwa kila taasisi ya fedha inayojua wajibu wake na yenye nia njema. Mazingira ya biashara wakati wa michanganuo ya biashara hutofautiana kwa kiasi kikubwa na hali halisi hasa kutokana na udhaifu wa uchumi wetu hususan mfumuko wa bei," alisema Bw. Mbowe.

Si mpaka wakubali!

Aliongeza kuwa katika maisha yake ya biashara na uwekezaji kwa kupitia kampuni mbalimbali, aliwahi kukopa kwenye benki kadhaa kwa miradi inayotoa ajira kwa Watanzania wengi na kote huko amerejesha mikopo yote na hivyo alisisitiza kuwa ataendelea kukopa kwani ni njia muafaka kwake kujisaidia kimaisha.

Alisema mkataba wake na NSSF wa mwaka 1990 uligubikwa na mizengwe, kwani mwaka mmoja baada ya mkataba huo kusainiwa, aliomba kuongeza mkopo kwa ajili ya kukamilisha mradi lakini alikataliwa.

Bw. Mbowe alisema ataendelea kusimama katika haki hadi mwisho na yuko tayari kutumia gharama kubwa kuliko deni analodaiwa kuona uamuzi wa mwisho unakuwa wa usawa na haki.

Alisema kitu ambacho anakiona kwa sasa ni kuchafuliwa jina lake na chama chake kutokana na jitihada zao za kupambana na ufisadi katika maeneo mbalimbali ukiwamo wa EPA na Richmond.

Alisema pamoja na kuchafuliwa, bado atasimama imara kutetea maslahi ya Watanzania wote kwa kuhakikisha ufisadi unakwisha na yeye akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA atahakikisha siku zote anapinga ufisadi.

Kuhusu Mwenyekiti wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Bw. Paul Kyara, kuilingia suala hilo alisema inawekezana kuna watu wanamtumia katika kulichafua jina lake na inawezekana hajui mlolongo mzima wa tukio hilo.

"Sitaki kuwa msemaji wa Kyara, lakini picha ninayoipata hapa ni kwamba anatumiwa na watu kwa ajili ya kuharibu jina langu na chama changu.
"Kyara amekuwa akifuatilia chama chetu katika mambo mbalimbali hata uchaguzi mdogo uliofanyika Kiteto hivi karibuni, kumtafuta mbunge wa jimbo hilo baada ya CHADEMA kusimamisha mgombea naye alisimamisha wake kwa lengo la kutupinga, hivyo unaweza kuona ni mtu wa aina gani," alisema Bw.Mbowe.

Naye Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Bw. Zitto Kabwe, alisema kuwa pamoja na kuwepo kwa matatizo hayo, bado viongozi wote wa chama hicho wataendelea kumuunga mkono ili kuona haki inatendeka.

Pia alisema hayo yote ni katika kurudisha nyuma jitihada za kupambana na ufisadi, lakini wao wataendelea kuwa na msimamo wa kupambana na mafisadi wote na wananchi wawaunge mkono katika hilo.
 
Haba na haba hujaza kibaba, kwanini asilipe deni lake kwanza halafu ndio awataje na wengine? Sumaye alikopa baada ya MBOWE kukopa.

kwenye somo la commerce kuna msomi LAST IN, LAST OUT AU LILO AU kuna First IN,FIRTS OUT.

at the end of the day dawa ni kulipa si kutaja orodha ya wadeni wengine. wakimalizika wadeni wa NSSF atakuja na kudai kuna mtu alikopa CRDB nae alipe kwanza.
 
Zito na Team yote ya Chademn waliambatana na Mbowe akiwa mkewe alipokuwa akijetea!lakini akina Mwankijiji na wenzie wa JF hatukuwaona au walikuwa nyuma ya camera!
 
tatizo la watanzania wengi ni mamluki, wanafiki na ni vibaraka wa watu fulani.
siku zoote kesi haiamuliwi kwa kusikilizwa upande mmoja.
mwandishi wa makala hii angempa muda muheshimiwa mbowe nae ajitetee tumsikie halafu tutajua nani mkweli nani muongo, sio kukurupuka tu.
 
Nashangaa watu wanasema Mbowe anaitreat hii issue kisiasa. Mnataka afanyaje?? Yeye ni mwanasiasa kwa kuanzia, NSSF iko chini ya wanasiasa wa CCM, halafu asiijibu kisiasa???

Tunaijua CCM kwa kuwa ni mikakati ya kuua biashara za wapinzani ili kuwamaliza nguvu, je wanaomshutumu Mbowe wameliweka hili maanani???? Iweje NSSF hawataki kukaa chini na Mbowe walidiscuss hilo suala, instead wanakimbilia mahakamani??? Kwa uzoefu wangu, hakuna benki ambayo itakataa kukaa chini na mdeni wake kuangalia njia za kulipana halafu ikimbilie mahakamani....kwanza gharama za kesi huweza kuzidi ile hela ambayo wanaidai...Mkitaka nendeni mabenki mkaulizie, kwanza mkopo wenyewe ni milioni 15, kwa NSSF this is immaterial, and they could have written it off mara moja na wakasahau, mpaka wanaenda mahakamani, mi nadhani kuna agenda imefichwa hapa, na nia ni kutaka kuona Mbowe anamalizwa.

15m ilikopwa, wamelipwa 70m, ila kulingana na gazeti jamaa wa NSSF anasema inaweza ikawa nusu ya bilioni moja, hapo wanataka kumbambika gharama za wanasheria ili wammalize.....kwa maoni yangu.

Naona inatakiwa mikopo ya NSSF ichunguzwe, tutaona madudu mengi sana, na ndipo tutagundua hilo la Mbowe ni jambo dogo linalokuzwa sana.
 
Members of JF,hebu tuwe serious na nchi tetu,we are fighting against leaders who are misusing their power to benefit for their own.Suala la Mbowe sidhani kama linaweza kutukosesha usingizi.NSSF wamekubali kwamba Mbowe alikopa kwa kufuata taratibu zote,then what is the issue kwa mtu kama huyu.

Suala la Mbowe huwezi kulilinganisha na mafisadi walioanzisha makampuni hewa kwa misingi ya kuchota mabilioni ya pesa za EPA.

Mimi nadhani hapa JF sio mahali pakuleta malumbano yasiyokua na msingi na hayana faida kwa mtanzania.NSSF NA Mbowe tuwaachie hiyo mechi waichezewenyewe na wasitupotezee muda.Hapa paswe ni mahali pakuchafuana au kuharibiana kwa kujua tu JF iawatazamaji na wasomaji wengi,tusiwe hivyo jamani,thamaniya JF itashuka kama blog hii itakua ya malumbano yasiyokua na msingi.
 
Naona wewe si mzima.

waziri wa mambo ya ndani wa uingereza BLANET DAVID alijiuzulu uwaziri kwa kampuni yake kupewa kazi ya pound elfu kumi na tano tu.

unajua millioni kumi na tano ya 1990 ina thamani gani wakati huo?
kauze mtori ndugu yangu. JF ni big issue kwako?
 
Kweli mbowe jizi anadai kiasi cha mkewe wake kukamatwa na kupelekwa mahakani na bado halipi deni?
wachagga mnajua kutafuta.deni miaka kumi na nane bado anabisha kulipa apewe miaka mingine 18.
http://www.freemedia.co.tz/daima/2008/3/18/habari1.php

Nimependa hiyo link, kumbe mkurugenzi wa Mbowe Hotels Ltd Dr Lilian Mtei alikamatwa na kuburuzwa mahakamani kwa ajili ya huo mkopo????

Mwanyika uko hapo??? Kumbe inawezekana na mmekuwa mkikamata wakurugenzi wa makampuni kujibu hoja za makampuni yao?? Mbona kwenye EPA inakuwa ngumu??? Mwanyikaaaaaaa UPOOOOOO????
 
Naona wewe si mzima.

waziri wa mambo ya ndani wa uingereza BLANET DAVID alijiuzulu uwaziri kwa kampuni yake kupewa kazi ya pound elfu kumi na tano tu.

unajua millioni kumi na tano ya 1990 ina thamani gani wakati huo?
kauze mtori ndugu yangu. JF ni big issue kwako?

Naona ningekusaidia hesabu kidogo.... ila sio vizuri kuwaambia watu wakauze mtori......

Shs 15m kama haikulipwa even a single installment, taking interest rate to be 20% (which is on a higher side kwa loan ya NSSF) compounding it for the 18 years inakuwa hivi Shs 399,349,999 ie Shs 15,0000*(1+0.2)^18.

Lakini kabla ya kufikia kiasi hicho inatakiwa tujue hiyo milioni 75 ililipwa lini, coz hiyo balance ingepungua, na unaweza ukakuta Mbowe ndo anayeidai NSSF (the big issue ni timing tu..when did they pay NSSF?)
 
Huyu Fisrt lady wa mwanakjj hata nywele hana ndio maana Mbowe yuko na kina GRACE KIWELU.

inaoekana jinsi huyu mama anavyoijua pesa na wagonjwa wa muhimbili atakuwa anawachukua Figo na kwenda kuziuza India.
mtizame alivyotoa macho kama mjusi.

http://www.newhabari.com/mtanzania/
 
Back
Top Bottom