Mbowe aachiwa bila dhamana

kim%2B5.jpg

Wakati anaachiwa huru bila dhamani hawa vikaragozi wabeba mabomu na bunduki walijificha kupisha Freeman jabali la mageuzi likitembea kwa mneso kuondoka mahakamani? Haya hizi ni dalili za kipima joto cha sirikali ya jakaya kimeungua.
 
kim%2B5.jpg

paterno-uni.jpg

Kuna tofauti gani kati ya Polisi wa kwanza wa Tanzania na polisi wa pili wa Marekani? Wote ni polisi lakini wa Marekani anaonekana akipita kati ya wananchi huku wananchi hawana khofu ye yote wakati kuna tukio la uvunjaji wa sheria pale. Lakini Polisi wa Tanzania ni vita na wananchi, hakuna ufundi, busara na askili kwa polisi wa Tanania.
 
Mleta mada akileta mada bila source changanya na zako...

Mkuu mbona blog ya michuzi iliisha badilika siku nyingi!!., Tokea uchaguzi wa 2010 Michuzi amechakachuliwa na kuwa sawa TBC idhaa ya blog. The only thing you can trust on Michuzi blog is pictures, all words are propaganda especially when it comes to politics. Nilikuwa addicted na michuzi miaka hiyo ila sasa hivi nafikiri mpaka nisome JF kama hivi ndiyo nakumbuka ipo. Kule nilikuwa nafuata comments ambazo kwa sasa hazipo.

Don't trust Michuzi blog it belongs to greens and yellow.
 
kim%2B5.jpg

paterno-uni.jpg

Kuna tofauti gani kati ya Polisi wa kwanza wa Tanzania na polisi wa pili wa Marekani? Wote ni polisi lakini wa Marekani anaonekana akipita kati ya wananchi huku wananchi hawana khofu ye yote wakati kuna tukio la uvunjaji wa sheria pale. Lakini Polisi wa Tanzania ni vita na wananchi, hakuna ufundi, busara na askili kwa polisi wa Tanania.

Kwa umri wake na cheo chake, huyu wa Tanzania atakuwa na elimu ndogo sana. Unategemea akili gani hapo!
 
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa cdm taifa Mh. Mbowe leo ameachiwa bila dhamana. Ktk hali isiyo ya kawaida Mbowe alitakiwa na mahakama kuwekewa dhamana lkn alikataa na mahakama ikanywea ghafla na kumwomba aondoke bila dhamani mahakamani.

Duh!
Hali ya mahakama zetu ni hii.
 
Back
Top Bottom