Wakuu baada ya kuiona hii thread ilinibidi nimpigie swahiba wangu Mh. Hakimu mmoja Dodoma. Maelezo yake ni kuwa hakimu ana mamlaka ya kumpa dhamana ya masharti mtuhumiwa ama amtake ajidhamini la pia kisheria ana mamlaka ya kuweza kumuachia bila dhamana akijiridhisha upatikanaji wake kuwa hautakuwa wa tabu. 0
My take: Mh Huyu ameongozwa na busara na weledi wa taaluma yake. Wengine kama aliyesimamia kesi ya Mh Lema alishindwa vp kumuamini mbunge wa eneo analofanyia kazi.
Tafakari! Chukua hatua
Asante mkuu kwa kufanya homework ili utujuze, tumekuelewa sana