Mbowe aachiwa bila dhamana

Mar 18, 2011
63
12
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa cdm taifa Mh. Mbowe leo ameachiwa bila dhamana. Ktk hali isiyo ya kawaida Mbowe alitakiwa na mahakama kuwekewa dhamana lkn alikataa na mahakama ikanywea ghafla na kumwomba aondoke bila dhamani mahakamani.

Duh!
 
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa cdm taifa mh. Mbowe leo ameachiwa bila dhamana . Ktk hali isiyo ya kawaida mbowe alitakiwa na mahakama kuwekewa dhamana lkn alikataa na mahakama ikanywea ghafla na kumwomba aondoke bila dhamani mahakamani. Duh!

Kwa hiyo mahakama sasa nazo hazifuati sheria siyo??

Kweli Bongo sasa mambo mdundo!! Yule mkuu wa mkoa alikuwa wapi kutoa ushauri safari hii??
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Can somebody help me to understand the dimensions of this story? Nahisi napotelea katikati ya njia

Yaani kakataa dhamani halafu kaachiwa tu kujiondokea?? mmmhhh, kweli kifo cha mende...........
 
Hahaaa nadhani mwandishi alikuwa na furaha sana wakati anaandika hii habari,

Can somebody help to understand the dimensions of this story? Nahisi napotelea katikati ya njia

Yaani kakataa dhamani halafu kaachiwa tu kujiondokea?? mmmhhh, kweli kifo cha mende...........
 
Naomba kueleweshwa maana mimi sio mwanasheria!

Hivi inawezekana mtu (mtuhumiwa) akaachiwa bila dhamana?

Kuna dhamana tofauti tofauti: Mtu anaweza kujidhamini mwenyewe au kudhaminiwa na mtu mwingine. Je kama haya mawili hayatokei mtu ataachiwa vipi AU waliomwachia Mh. Mbowe (big up to him) wamevunja sheria? Kama wamekiuka utaratibu ni hatua gani wanaweza kuchukuliwa kisheria?
 
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa cdm taifa mh. Mbowe leo ameachiwa bila dhamana . Ktk hali isiyo ya kawaida mbowe alitakiwa na mahakama kuwekewa dhamana lkn alikataa na mahakama ikanywea ghafla na kumwomba aondoke bila dhamani mahakamani. Duh!
Mimi si mwanasheria,lakini naona kuna kitu hapa hakijakaa sawa!!
 
wanatishia kujamb....... kumbe wanatumbo la kuhalish......... tunajivunia nini?
 
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa cdm taifa mh. Mbowe leo ameachiwa bila dhamana . Ktk hali isiyo ya kawaida mbowe alitakiwa na mahakama kuwekewa dhamana lkn alikataa na mahakama ikanywea ghafla na kumwomba aondoke bila dhamani mahakamani. Duh!

Uanasheria ni RARE PROFESSIONAL, kama ulivyo udaktari na urubani wa meli na ndege. Hawa mahakimu wa mahakama za Arusha wanatia kichefuchefu kwa ku abuse taaluma hii, maadili kabisa hawana.
 
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa cdm taifa mh. Mbowe leo ameachiwa bila dhamana . Ktk hali isiyo ya kawaida mbowe alitakiwa na mahakama kuwekewa dhamana lkn alikataa na mahakama ikanywea ghafla na kumwomba aondoke bila dhamani mahakamani. Duh!
WILSON MWIJAGE said:
Naomba kueleweshwa maana mimi sio mwanasheria!

Hivi inawezekana mtu (mtuhumiwa) akaachiwa bila dhamana?

Kuna dhamana tofauti tofauti: Mtu anaweza kujidhamini mwenyewe au kudhaminiwa na mtu mwingine. Je kama haya mawili hayatokei mtu ataachiwa vipi AU waliomwachia Mh. Mbowe (big up to him) wamevunja sheria? Kama wamekiuka utaratibu ni hatua gani wanaweza kuchukuliwa kisheria?

Atakuwa amejidhamini mwenyewe.Inategemea na mashtaka.
 
Hii ni kali watapindisha kesi hadi wajione wajinga, bila Chadema haya tungeyaona wapi.
 
Back
Top Bottom