Mboni show ina boa

ngonani

JF-Expert Member
Aug 27, 2012
1,366
596
Wakuu,nilikuwa sijawahi kuangalia kipindi cha mboni show tangu kianzishwe,leo nilikutana na mada kwenye JF inasema ni kipindi ch KI freemson,honestly sikuisoma hiyo post,lakini muda sio mrefu nimewasha TV na kukuta kipindi icho nikakumbuka hiyo post nikaamua niangali hicho kipindi kinahusu nini,kulikuwa na bwana mmoja anazungumzia maisha ya ulaya yalivyo nilikuta anamalizia,then akaja jamaa mmoja ambaye yeye alikuwa Marekani na alirudishwa toka huko kwa ajili ya kesi,huyo bwana alikuwa na story nzuri sana lakini kila akiongea sentensi mbili na nikawa navutika kumuangalia mara mboni anamkatisha mara kwa mara kuwa muda hautoshi na mara Mboni anaaanza kuongea yeye kwa kirefu jinsi gani muda ambavyo hautoshi na kumuambia aongee kwa kifui akianza kuongea tena anamkatisha katisha kiasi cha watu kushindwa ku-grasp story ya huyo jamaa aliyekuwa marekani mabaye yaelekeaalikuwa na story nzuri sana kuhusu marekani.My take Mboni ajielimishe zaidi namna ya kuongoza vipindi.
 
nionavyo ni kwamba muda ameubana na watu anaochukua kuwa katika kipindi ni wengi, kwani mara nyingi, mara ni zaidi ya wawili na mada inakuwa ndefu
 
Wakuu,nilikuwa sijawahi kuangalia kipindi cha mboni show tangu kianzishwe,leo nilikutana na mada kwenye JF inasema ni kipindi ch KI freemson,honestly sikuisoma hiyo post,lakini muda sio mrefu nimewasha TV na kukuta kipindi icho nikakumbuka hiyo post nikaamua niangali hicho kipindi kinahusu nini,kulikuwa na bwana mmoja anazungumzia maisha ya ulaya yalivyo nilikuta anamalizia,then akaja jamaa mmoja ambaye yeye alikuwa Marekani na alirudishwa toka huko kwa ajili ya kesi,huyo bwana alikuwa na story nzuri sana lakini kila akiongea sentensi mbili na nikawa navutika kumuangalia mara mboni anamkatisha mara kwa mara kuwa muda hautoshi na mara Mboni anaaanza kuongea yeye kwa kirefu jinsi gani muda ambavyo hautoshi na kumuambia aongee kwa kifui akianza kuongea tena anamkatisha katisha kiasi cha watu kushindwa ku-grasp story ya huyo jamaa aliyekuwa marekani mabaye yaelekeaalikuwa na story nzuri sana kuhusu marekani.My take Mboni ajielimishe zaidi namna ya kuongoza vipindi.
Yeah!!
 
Si wana copy na ku paste show za america wakati ni vilaza halafu very artificial, ubunifu zero kazi kukaa nusu uchi tu
 
Hivi kuna watu bado mnaangalia vipindi vya kuwaiga kina Tyra Banks na kina Oprah? Achaneni navyo. Niliwahi kuviangalia lakini at the end of the day nikakubali kuwa there was no creativity what so ever!!!
 
Huyo dada huwa ananikera na ile miwani. Si jui nani alimdanganya anapendezaga.

Afu hii tabia ya kuita vipindi kwa majina yao halisi eg, jenerali on monday, hamza kasongo hr,ben n mai, mboni, etc huwa inaniuzi sana.
 
kwa kweli mboni show inaboa sana. ivi eatv hawana audience research? kwa kweli inaboa kupita kiasi
 
duuuu JF is never boring sosi TB

Mbona haya maneno yapo? And Its true ngoja nikukusanyie data vizuri za huyo Lesbo nikumwagie hapa! Kwani hata ukimuangalia alivyo hupati picha? Tena yeye ndo alikuwa anam-do Amina!
 
Yewomiii....ngoja nijiandae niende kanisani..
 
Hajachangamka yupo doroooo.... Sista duu anaejitahd kutangaza kisela! Aende dsj kwanza.
 
Kubwa zaidi anaonekana pale kama kuji-show machoni pa watu kutokana na ukweli kuwa hata mada anazoanzisha kama vile yeye mwenyewe hazijui!
 
Mbona haya maneno yapo? And Its true ngoja nikukusanyie data vizuri za huyo Lesbo nikumwagie hapa! Kwani hata ukimuangalia alivyo hupati picha? Tena yeye ndo alikuwa anam-do Amina!

yeleuwii..NGASTUKA
 
mbona haya maneno yapo? And its true ngoja nikukusanyie data vizuri za huyo lesbo nikumwagie hapa! Kwani hata ukimuangalia alivyo hupati picha? Tena yeye ndo alikuwa anam-do amina!
ba msoffe! Yaillah tobaaaaaaaaa! Amina chifupa????
 
Aaaagh nilikosea ni Shamim yule mwenye 8020 fashion. Kamsaga hadi Shamim kamkimbia mumewe! Hujayasikia haya jamani? Ukumuangalia waweza kuhisi kitu. Dunia hii, sasa mtu kama Shamim na ndoa yake ameitupa kisa kusagwa! Laaanakum!
 
Yewomiii....ngoja nijiandae niende kanisani..

Kwa kweli kaombee hawa watu wasagaji na mapunga! Tabia hii inakuwa kwa kasi sana hapa mjini, watu wengi especially wadada siku hizi ni wasagaji. Unamuonba mdada mzuri anakuwa rafiki yako mnatembeleana mara anakuja kulala kwako, ukiona hivyo tu, kata mawasiliano atakuja kukulamba mbuchuchu huyo!
 
Back
Top Bottom