Mbongo Ulaya

hovyohovyo

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
547
157
Mbongo mmoja akiwa london uingereza anaingia katika restaurant na anaagiza chipsi kuku. Kuku wenyewe wa kizungu laini kama nini. Anakula chipsi na ktutafuna kuku pamoja na mifupa yake. Jirani yake kuna mzungu anakula wali na samaki. Mzungu kwanza anamwangalia mbongo anavyotafuna mifupa, kisha anauliza: Kama unaweza kula kuku na kutafuna pamoja na mifupa yake, je mbwa wenu huwa mnawapa nini huko Afrika?? ..Mbongo akaangalia, kisha akasema kwa dharau " well, we give them a plateful of rice and fish". Mzungu akabaki hoi.
 
Dah Kuna Mshikaji wangu wa Yombo Nae True Huwa Anatafuna haswa Mifupa ya Kuku
 
Dah Kuna Mshikaji wangu wa Yombo Nae True Huwa Anatafuna haswa Mifupa ya Kuku

mwambie kama ni kuku wa kizungu asitafune mpaka mifupa yake coz kwenye bones ndan kuna chemicalz kibao za hao kuku zilizowakuza withn a month, afanye hivyo kwa kuku wa kienyeji tu!
 
mwambie kama ni kuku wa kizungu asitafune mpaka mifupa yake coz kwenye bones ndan kuna chemicalz kibao za hao kuku zilizowakuza withn a month, afanye hivyo kwa kuku wa kienyeji tu!
Dah Kama ulikuwepo vile hayo Maneno Nishamuonya kwa Sana hadi Nikaacha ila ndio vile tena Mbongo akishaamua Maisha yake Kumbadilisha ni Kazi Si Unaona kwa Mkuu wetu wa Kaya... No Changes piga kelele zote Safari zipo pale pale, Piga kelele zote no Maisha Bora na vingine ndio vile tusubiri tu wapite na muda wao uishe japo hatujua wataawachia nini watakao pokea Nchi ila Tusije kuta yale yale kama kwenye Club za Simba na Yanga Uongozi ukitoa account inakutwa haina kitu au kuna mia mbili na centi sabini na tano tu...
 
kweli hiki ni kichekesho coz in reality m-bongo hawezi ku-think kihivyo coz akiona mzungu ye anawaza misaada tu
 
Ase bana umeviringishwa na minyororo ya akili!!!

Huenda hufatilii budget ya nchi hii, usingenambia hivyo (more za 60%) ya budget inategemea wahisani ambao 90% ni wazungu. Ukweli haupingwi kwa kuukataa bali unapingwa kwa kutengeneza alternative ambayo ni better than it
 
Bajeti ya nchi ipi asilimia 60 ni misaada mkuu!?...mi nadhani umefika wakati wabongo msome zaidi na kuongea kidogo..badala ya kuongea vitu msivyovijua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom