mbona yumo kwa waliokosa vyuo?

Ni kweli kabisa jamani ,, hata mimi kuna mtu jina lake lilitoka kwenye wale ambao hawakuchaguliwa lakini jina lake limetoka tena kwenye selection za UDOM...... na kama kuna mtu anabisha aseme nimpe hilo jina hapa sasa hivi..........
mh........................
 
ndio aliomba mara ya pili , ila yeye jina lake limetoka UDOM ,,,, sasa huyo anayesema majina ya UDSM ni feki ,, mimi sijui tena vipi na ya UDOM??

kama ni kwel mbona watu watatafutana humu JF!! tuwangojee ti-shi-yuu!!!
 
nilishangaaaa sana kuona watu mnadiscuss jina langu badala ya mada nilioweka ila wajanja walijua npo sawa
sasa yale majina yamewaliza watu pamoja na yule rafiki yangu
 
MBWEA UPOO? UMECHAGULIWA CHUO GANI NA KOZI GANI MR.MBWEA ,by mpigamsuli
 
Ni kweli kabisa jamani ,, hata mimi kuna mtu jina lake lilitoka kwenye wale ambao hawakuchaguliwa lakini jina lake limetoka tena kwenye selection za UDOM...... na kama kuna mtu anabisha aseme nimpe hilo jina hapa sasa hivi..........

Kwani hao TCU hawana 2nd selection ?
 
Back
Top Bottom