mbona wengi wana pasport kulikoni!!!?

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,203
1,462
Hivi umeshawahi kufatilia ishu hii watoto wakike wengi wa Tz wana Pass zakusafiria kuliko vidume kulikoni? Kama hujui fanya uchunguzi utajua!
 
Majority out of them , hawazigharamii wenyewe!
Ni inatokea sana vidume kuwakatia manzi wao passport wakati yeye hana !
 
Nitakupeleka Canada/America mpenzi eeh. Wakishaambiwa hivyo wanatoa mzigo then wanabaki na passport.
 
Back
Top Bottom