Mbona wachumba wengi wako ki-maslahi zaidi?

kalawetu

Member
Dec 18, 2011
19
2
Mi nahitaji mchumba kutoka Rwanda.
Awe na sifa zifuatazo
1. Mcha Mungu
2. Anafahamu Kinyarwanda na lugha nyingine yoyote inaruhusiwa ingawa Kinyarwanda kitapewa kipaumbele.
3. Miaka 21-23



Aniandikie kupitia e-mail address lkapilya@gmail.com
 
we kama umefulia sema acha kujitetea dunia ni kubwa hii watu hawawezi kuwa na tabia moja

kuna wachumba wa aina nyingi,
 
@ kalawetu; Ukipata demu wa kinyarwanda na mimi nataka, mana nasikia wana Nozzles.
 
I hope you are doing fine friends! I am so excited receiving your opinions. I real want a fiancee and this is very urgent not only the matter of kufulia. By the way all can not be mine but only the interested one can. The door is open and ones closed can not be reopened. Many blessings also thanks for your views friends!
 
This is our ancestor's political party. Nobody had ever changed his nature therefore CCM daima.
 
mna unatafuta warwanda kny forum za kitanzania??? si uperuzi forums za kinyarwanda.....ambu be realistic.
 
mna unatafuta warwanda kny forum za kitanzania??? si uperuzi forums za kinyarwanda.....ambu be realistic.

Da Neema mbona unaanza kutubagua na wakati hii ni jumuiya ya East Africa? Mpaka hapa nilipo mimi ni mnyarwanda na nimeamua kumtafuta mnyarwanda kwa sababu nimemisi wa kuchat naye kikwetu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom