Mbona voda wahuni?

Kwa maoni yangu, tatizo siyo MODEM wala VODA. Nakushauri u-disable automatic update zote ambazo huwa zinaji update kwenye background bila mtumiaji kujuwa na kumbuka file zake ni kubwa. Hivyo nakushauri u-disable updates kuanzia operating system ya PC yako na application programmes zote ulizowahi ku-down load ljj
sasa how do u go about disabling those updates, mkuu

Kipipili, haipendezi kuanza kubeza beza watu wanapotoa maoni yao technical kuhusu matatizo wanayokumbana nayo kwenye mambo haya ya IT; labda nikukumbushe kwamba kuna wa Tanzania wengi ambao wamebobea katika nyanja hizi za IT lakini wanakaa kimya na inapo bidi wanatoa ushauri kwa nia nzuri tu kuwaelimisha wenzao - kwa hiyo mtu anapotoa ushauri msikilize, jaribu ushauri wake ukifanikiwa wajulishe members hili wajifunze kitu fulani. Hivi unaposema "but remember this is unlimited service for the whole week, so it doesnt matter if there is automatic update or downdate" una maana gani! nani kakwambia kuna Internet Service Provider yoyote duniani anaweza kudish out Giga au Tera Byets za bure ka wiki moja kwa malipo kiduchu ya shilling elfu kumi - akupe a blank cheque ya kudownload Picha,graphics, movies, miziki ambavyo vinakula Bytes kama mchwa wakati na yeye anilipaia hizo uduma kwa Backbone providers. Nenda kawaone hao ISP wakeuleze vizuri wanaposema unlimited wana maana gani - utashangaa watakayo kueleza, unapangiwa Bytes za kutumia kutegemea malipo yako kwa muda fulani, hukikosea na kudownload programs ambazo zina mafile makubwa hela zako zitaisha haraka sana.

Mimi nilitoa ushauri kwamba hazime automatic update zote for a reason, kwanza alipo sema kwamba hela inakwisha haraka sana nilijuwa kuna programs zinaji-update bila ya yeye kujuwa na infact ukisha funga internet kwenye PC yako basi kitu cha kwanza PC inakimbilia kuangalia kama kuna update zozote za kudownload na kibaya zaidi program zaidi ya nne au tano zinaweza kuwa zinaji-update concurrently bila ya mtumiaji kujuwa na kumbuka hizo zinakula kwako, kwa hiyo mtu unajikuta unatumia hela nyingi na kuanza kutafuta mchawi - take heed.

Mwisho kipipili umetumia neno DOWNDATE mimi ndilo nalisikia kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, alafu ulijaribu kuponda Vyuo Vikuu vyetu eti kwa nini wanafundisha Computer Basic, nadhani wenzangu wamekujibu kiundani zaidi, vuo vikuu vyote duniani vinatoa vyeti vya kila aina na siyo degree tu.

Nakushauru nenda kawaone kwenye afisi zao za mauzo na kupeleka malalamiko yao na bila shaka watakusaidia.

Tatizo lako nadhaniulianza kushambulia net kabla ombilako la Bomba7 halijawa confirmed! Updates haziwezi kutafuna Bomba7 (about 1gb) ndani ya siku1 kwa sababu speed ya downloading na uploading inakuwa limited (Hata kama wanakwambia ni unlimited)!

Kipipili, haipendezi kuanza kubeza beza watu wanapotoa maoni yao technical kuhusu matatizo wanayokumbana nayo kwenye mambo haya ya IT; labda nikukumbushe kwamba kuna wa Tanzania wengi ambao wamebobea katika nyanja hizi za IT lakini wanakaa kimya na inapo bidi wanatoa ushauri kwa nia nzuri tu kuwaelimisha wenzao - kwa hiyo mtu anapotoa ushauri msikilize, jaribu ushauri wake ukifanikiwa wajulishe members hili wajifunze kitu fulani. Hivi unaposema "but remember this is unlimited service for the whole week, so it doesnt matter if there is automatic update or downdate" una maana gani! nani kakwambia kuna Internet Service Provider yoyote duniani anaweza kudish out Giga au Tera Byets za bure ka wiki moja kwa malipo kiduchu ya shilling elfu kumi - akupe a blank cheque ya kudownload Picha,graphics, movies, miziki ambavyo vinakula Bytes kama mchwa wakati na yeye anilipaia hizo uduma kwa Backbone providers. Nenda kawaone hao ISP wakeuleze vizuri wanaposema unlimited wana maana gani - utashangaa watakayo kueleza, unapangiwa Bytes za kutumia kutegemea malipo yako kwa muda fulani, hukikosea na kudownload programs ambazo zina mafile makubwa hela zako zitaisha haraka sana.

Mimi nilitoa ushauri kwamba hazime automatic update zote for a reason, kwanza alipo sema kwamba hela inakwisha haraka sana nilijuwa kuna programs zinaji-update bila ya yeye kujuwa na infact ukisha funga internet kwenye PC yako basi kitu cha kwanza PC inakimbilia kuangalia kama kuna update zozote za kudownload na kibaya zaidi program zaidi ya nne au tano zinaweza kuwa zinaji-update concurrently bila ya mtumiaji kujuwa na kumbuka hizo zinakula kwako, kwa hiyo mtu unajikuta unatumia hela nyingi na kuanza kutafuta mchawi - take heed.

Mwisho kipipili umetumia neno DOWNDATE mimi ndilo nalisikia kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, alafu ulijaribu kuponda Vyuo Vikuu vyetu eti kwa nini wanafundisha Computer Basic, nadhani wenzangu wamekujibu kiundani zaidi, vuo vikuu vyote duniani vinatoa vyeti vya kila aina na siyo degree tu.

maelezo mengi ila mengine hayana ukweli. Km net ni expensive bongo haimaanishi dunia nzima. There are countries unalipa tshs 50000 kwa mwezi unapata unlimited ya ukweli, tv digital connection with channels, and landline calls free evening and weekends. Kwahiyo si dunia nzima ni ghali.

Mkuu hawa vodacom wamezidi wizi, siku hizi wanatuliza wengi, ukichukua kifurushi cha cheka internet hakimalizi roundi. Dawa ni kuwahama

Wazee mko ulimwengu gani? Voda haiwafai hata kidogo, hata kwenye bundle ya 50mb kwa TZS. 2000.0 mwendo ni wizi tu achana na hiyo ya TZS 10,000.0, suala la kuuptodate sikubaliani nalo kabisa, hoja ya msingi kwa nini hizo updates zitokee unapotumia voda tu na sio Airtel? Vile vile computer/laptop ambayo muda mwingi unatumia internet effect ya uptodates haionekani kabisa kwenye matumizi ya bundle, kwa nini kila mtu analalamika na voda tu, why not other internet service provider. Mimi mwenyewe nilikuwa mtumiaji mzuri wa Voda lakini kwa sasa nimeachilia mbali, natumia Airtel na uptodates zote ziko on ie windows, adobe, mediaplayer na ninadownload torrents za kufa mtu. Ulimwengu wa sasa u-turnoff up todates za software mbalimbali kwenye computer yako mbona unakuwa unajitenga mwenyewe na technology, otherwise kama unatumia pirated sofwares.

sasa kuna wazimu mmoja huko customer care aliniambia nitune BOMBA7 kwenda 1530. kumbe ni 123? nashukuru ndugu hapo juu

wewe umesema uliwapigia usiku sana yawezekana jamaa alikua kalala so hakuweza kumbuka kila ki2 akaamua kukujibu fasta aendelee kulala..

maelezo mengi ila mengine hayana ukweli". Nakuomba usome vizuri maelezo yangu nisesema hakuna ISP anaweza kuruhusu client kutumia Bytes nyingi ndani ya wiki moja kwa malipo ya elfukumi. Ukilipa elfu hamsini kwa mwezi utaruhisa kufanya utakalo.

maelezo mengi ila mengine hayana ukweli". Nakuomba usome vizuri maelezo yangu nisesema hakuna ISP anaweza kuruhusu client kutumia Bytes nyingi ndani ya wiki moja kwa malipo ya elfukumi. Ukilipa elfu hamsini kwa mwezi utaruhisa kufanya utakalo.

Kipipili, haipendezi kuanza kubeza beza watu wanapotoa maoni yao technical kuhusu matatizo wanayokumbana nayo kwenye mambo haya ya IT; labda nikukumbushe kwamba kuna wa Tanzania wengi ambao wamebobea katika nyanja hizi za IT lakini wanakaa kimya na inapo bidi wanatoa ushauri kwa nia nzuri tu kuwaelimisha wenzao - kwa hiyo mtu anapotoa ushauri msikilize, jaribu ushauri wake ukifanikiwa wajulishe members hili wajifunze kitu fulani. Hivi unaposema "but remember this is unlimited service for the whole week, so it doesnt matter if there is automatic update or downdate" una maana gani! nani kakwambia kuna Internet Service Provider yoyote duniani anaweza kudish out Giga au Tera Byets za bure ka wiki moja kwa malipo kiduchu ya shilling elfu kumi - akupe a blank cheque ya kudownload Picha,graphics, movies, miziki ambavyo vinakula Bytes kama mchwa wakati na yeye anilipaia hizo uduma kwa Backbone providers. Nenda kawaone hao ISP wakeuleze vizuri wanaposema unlimited wana maana gani - utashangaa watakayo kueleza, unapangiwa Bytes za kutumia kutegemea malipo yako kwa muda fulani, hukikosea na kudownload programs ambazo zina mafile makubwa hela zako zitaisha haraka sana.

Mimi nilitoa ushauri kwamba hazime automatic update zote for a reason, kwanza alipo sema kwamba hela inakwisha haraka sana nilijuwa kuna programs zinaji-update bila ya yeye kujuwa na infact ukisha funga internet kwenye PC yako basi kitu cha kwanza PC inakimbilia kuangalia kama kuna update zozote za kudownload na kibaya zaidi program zaidi ya nne au tano zinaweza kuwa zinaji-update concurrently bila ya mtumiaji kujuwa na kumbuka hizo zinakula kwako, kwa hiyo mtu unajikuta unatumia hela nyingi na kuanza kutafuta mchawi - take heed.

Mwisho kipipili umetumia neno DOWNDATE mimi ndilo nalisikia kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, alafu ulijaribu kuponda Vyuo Vikuu vyetu eti kwa nini wanafundisha Computer Basic, nadhani wenzangu wamekujibu kiundani zaidi, vuo vikuu vyote duniani vinatoa vyeti vya kila aina na siyo degree tu.

safi sana ukuu umetoa maelezo techinically.

Wanajamvi,
Observation yangu ni kuwa vodacom wana misrepresent taarifa nyingi tu kwa makusudi ili kutufanyia uhuni sisi wateja na wakati mwingine huwa wana hidden charges ambazo ni balaa kwa mtumiaji.Na matatizo yao hayako kwenye data tu,yako hata kwenye voice.Mimi napata top up kila mwezi lakini inavyokwenda naona afadhali nisingekuwa napata!
Mimi natumia data packages za airtel hasa bundle ya wiki na so far naona inakwenda vizuri tu.Nimeacha kabisa kutumia data ya voda na voice ninatumia zaidi sasa tigo.

Nimenunua modem ya voda juzi tu. Tatizo inakula sana. Nimeongea na customer care usiku sana maana muda wa mchana hawapatikani. Jamaa akaniambia kununua bundle niweke elf 10 kisha nitume neno bomba7 kwenda 15300 nitapata net ya wiki nzima regardldess unatumiaje. Nimeweka asubuhi elf 10 ajabu nimetumia kwa saa moja tu! Huu si wizi? Au sikupewa maelezo ya kutosha?

next time ukishatuma hiyo msg uliza kwanza salio kabla ya ku-connect ili kuhakikisha kama umeshaidhinishwa ktk kifurushi ulichoomba huenda ulikuwa bado hujaingizwa ktk service hiyo na wewe ukaunga (kwa charge za kawaida bila kujiunga na kifurushi cha aina yoyote ile inagharimu karibu 240 kwa MB moja) na kama ingekuwa automatic update kama windows na antivirus (jumla haizidi hata MB 300)haiwezekani kukata ndani ya saa moja tu wakati umejiunga na internet kwa wiki nzima.

Back
Top Bottom