Mbona simuelewi Mwenyekiti Mbowe?

gazeti lina jilipa lenyewe kama hawajapewa mshahara ujue wanatengeneza hasara. Wabadilishe utaratibu wa habari zao,gazeti limekaa kichama zaidi na kigaidi gaidi. Gazeti linatengebezewa wana cdm tu na wengi sio wanunuzi ni wasoma heading tu pale pale kwa wauzaji.
 
Business is a separate entity from the owner...
Asante sana ngoja nimfafanulie zaidi ni kwamba kampuni ina sifa km mtu kisheria inaweza kushtakiwa au kufungua mashtaka mbali na mmiliki hilo suala ungelidirect kwa mngmt labda utendaji wao umekuwa mbovu na kampuni imeshindwa kulipa madeni yake ya muda mfupi km mishahara nk
 
Back
Top Bottom