Mbona simuelewi Mwenyekiti Mbowe?

Kikulacho

Member
Mar 29, 2012
33
12
Wakati Chadema kupitia Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe, wamekuwa watetezi wa haki za wanyonge lakini cha kushangaza hadi sasa wafanyakazi wake wa Gazeti la Tanzania Daima, wanalia njaa ya kukosa mishahara, je hili ndg zangu ni haki kwa kiongozi mkubwa kama huyu ambaye ameaminiwa na Watanzania wengi kutokana na harakati zake?
 
naona hii propaganda ulisahau kuileta wakati wa uchaguzi wa arumeru.haina mashiko!
 
Kampuni haina uhusiano na Mbowe, vipi kampuni hiyo haina manager? Au manager ni Mbowe?
 
zungumzia gazeti na usihusishe na CDM ..... kama huna jipya nenda wizara ya kazi na ajira ukalalamike huko
 
Wakati Chadema kupitia Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe, wamekuwa watetezi wa haki za wanyonge lakini cha kushangaza hadi sasa wafanyakazi wake wa Gazeti la Tanzania Daima, wanalia njaa ya kukosa mishahara, je hili ndg zangu ni haki kwa kiongozi mkubwa kama huyu ambaye ameaminiwa na Watanzania wengi kutokana na harakati zake?

Wewe utakua umetumwa, Lata vizibitisho hapa ili tuone kweli hamjalipwa na hata hivyo CHADEMA WAO HAWADIL NA INDIVIDUAL BALI NI TAIFA ZIMA, KAMA NI MASILAHI INATETEA YA WATANZANIA WAFANYA KAZI WOTE NA SI YA KAMPUNI MOJA
Na haya yatakua majungu tu,

Wamekutuma utuulize! Serekali yako imeshindwa kulipa waalimu hulalamiki kazi kibwabwaja hapa
 
Wakati Chadema kupitia Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe, wamekuwa watetezi wa haki za wanyonge lakini cha kushangaza hadi sasa wafanyakazi wake wa Gazeti la Tanzania Daima, wanalia njaa ya kukosa mishahara, je hili ndg zangu ni haki kwa kiongozi mkubwa kama huyu ambaye ameaminiwa na Watanzania wengi kutokana na harakati zake?

Hapa siyo mahali pake....umetumwa na nani?tupa kule
 
Mhhhh mbona mnamjibu kwa hasira au kuna ukweli! hebu kalete kaushahidi kadogo basi mkuu!
Wewe umedai umejiunga na Jf kwa sababu ya wajumbe wa tume ya katiba kutoka zanzibar, sasa mambo ya huyu mjinga yanakuhusu nini? wacha majungu wewe!
 
naona hii propaganda ulisahau kuileta wakati wa uchaguzi wa arumeru.haina mashiko!

acha ujinga wa fikra ile ni company ina utawala wake sio legal person RUDI DARASANI KASOME COMPANY LAWA nathani utaelewa zaidi
 
Kama una maswali mtafute mbowe individually mpigie simu na si kuleta ***** huku. Umeleta ukitegemea tutakusaidiaje maana ni sawa na kwenda kuchota maji jangwani!!!
 
wakati chadema kupitia mwenyekiti wa taifa freeman mbowe, wamekuwa watetezi wa haki za wanyonge lakini cha kushangaza hadi sasa wafanyakazi wake wa gazeti la tanzania daima, wanalia njaa ya kukosa mishahara, je hili ndg zangu ni haki kwa kiongozi mkubwa kama huyu ambaye ameaminiwa na watanzania wengi kutokana na harakati zake?

wewe muda wa kupost humu unautoa wapi? Kwanza inaelekea kazi hufanyi unabakia kulialia tu, na wewe ndo unafanya mapato ya kampuni yashuke, bila kufanya kazi unategemea mishahara itoke wapi? Mbowe atoe pesa yake mfukoni kuwalipa?

Fanya kazi acha kulialia hapa
 
Back
Top Bottom