mbona siku hizi wasichana mumebadilika..??

Aiseee. . . .
Wanaume umuhimu wenu unazidi kupunguzwa aisee.
Kwanza ilikua mahitaji ya familia. . . sasa hivi mpaka mahitaji ya kimwili wanawake wanawasaidia kuwatimizia wenzao.Poleni sana.

Tatizo lako we unaongeaga ukweli and thats why I HETI YOU!!! (source: mama mchungaji)
 
Mmmh, ama kweli wanawake wamebadilika!
Wanalilia bajaj badala ya Vogi?
Wanalilia kuchezea upenuni badala ya chumbani?
Wanalilia kulalia ubuyu badala ya wali?
 
Kwanini kila siku mnalilia kuolewa na maboy wenu kama wanaume wamepoteza thamani? kwani vitabu vya Mungu vinasemaji kuhusu mwanaume na mwanamke? Mlikuwa mnalilia haki sawa ili mkipewa haki muanze kuwadhalau waume zenu? unajua ninyi wasichana mnaochangia ndo munazidi kunukonfuzi. Mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom