Mbona nina miaka 40 na mama yako mimi si.....

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Dogo mmoja alifanya kazi ya ubaharia kwa miaka mitano then akaacha kazi. Siku moja akiwa matembezi na baba yake, akawa anatembea kwa ku"swing" sideways. Baba akamuuliza: What hell is this my son? Hiyo kazi ya ubaharia ndio imekuharibu hivyo? Dogo akauliza: Why asking so daddy? Baba: Why are you walking while swinging sideways son? Dogo akajib: You know daddy meli ikiwa baharini inayumba upandeupande, so imeni"addict" for the five years nikiwa baharia..
Dingi akawa mkali: Shit! Are you talking of five years to be addict? Mbona mimi nimeishi na mama yako miaka 40 sipeleki kiuno mbele na nyuma.. Nyambaaaf"..
 
Mkuu, hii story yawezekana hujui mahali ilipotoka. Maneno hata yalitamkwa na marehemu Mzee Jomo Kenyatta (mkuki wa moto), akimwambia mwanae wa kiume aliyekuwa baharia. Mtoto wa Kenyatta alishaharibika kwa kuwa sodomised na mabaharia wenzake. Mtembeo ule ulimtatiza Baba na mama Ngina(Kenyatta).
 
Tuwekee hapa jamvini hiyo ya Kenyata mkuu
 
Back
Top Bottom