Mbona na wewe unalia hata bado hujamwona daktari.....

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,310
7,716
Jamaa alikwenda Hospital na akakaa kwenye ukumbi wa kusubiri ilikwenda kumuona Daktari.Karibu yake kuna mtu mmoja ambaye alikua analia kwa maumivu.Akamuuliza mbona unalia akamjibu nilikuja kufanya uchunguzi wa damu na wamenikata kidole.
Yule jamaa alouliza suali baada yakusikia hayo na yeye akaanza kulia tena kwa kutetemeka na kuanza kunyanyuka apate kukimbia. Yule alokatwa kidole akamuuliza sasa mbona wewe unalia hata hujenda huko ndani na nini kinachokufanya ulie.
Yule mjamaa akamjibu kuwa mie nimekuja kufanya uchunguzi wa mkojo !!!!! kilio kikazidi!!!whaaa!!!:msela::msela:
 
:msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela:
 
Teh! Teh! Teh! Leo nilikuwa nimepanga kumpeleka mchumba wangu kwa "Ginecologist".
 
Teh! Teh! Teh! Leo nilikuwa nimepanga kumpeleka mchumba wangu kwa "Ginecologist".

Ahahahahahaaaa, usiende mpwa, usiende nakusihi sana, kama mambo yenyewe ndo hayo, mmmhhh usiende bana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom