Mbona Mwisho wa Dunia Bado!

Nilisoma Bango moja pale Ubungo Bus Terminal lililokuwa linasomeka kuwa Mwisho wa Dunia ni tarehe 21/05/2011...Sasa kinachonishangaza ni kuwa already tuko 21/05/2011 na mwisho wa dunia haujaonekana...Au wenzangu mshauona?Au niko mwenyewe duniani?......

Ng'hily, walisema dalili itaanzia na natural disaster. Kuna landslide imechukua orphanage huko mashariki ya mbali leo hii hii- Malaysia to be exact. JIANDAE
 
Nadhani walikuwa na safari zao za kuzunguka dunia wakapanga waitamaliza 21 May.
:mod: mbona baa zimejaza hadi sasa......bana achana nao wamechoka kuishi haoooooooooo...........
 
labda kale kababu na wafuasi wake wamepaishwa teyari!make radio yao tangu jana
ilikuwa inaskika kimagutumagutu!!!! hapa kichwa kinaniuma sijalala sawasawa kwa hofu
is there anyone missing around you?basi kapaa na preacher camping:A S 103:
 
Back
Top Bottom