mbona mi Sipati

kumbe nawe hiyo lugha umeiona eeh!! Ila hashycool huwaga mtaalam wa tiba mbandala sijui yuko wapi. Hahahaha alisema maji ya maharage yanasaidia sana kumtolea gundu mhusika akiyaoga! Lol

yani uoshe maharage ndo maj yake uogee kwan yanatosha?
 
Pia anaweza akafungua ofisi za uganga wa kienyeji , wanasayansi wamegundua waganga wa kienyeji wanapendwa sana na jinsia iliovimba vifua

hapana mi sitak kuja kupigwa si unajua mke wa mtu ni sumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom