Mbona kuna thread zingine naambiwa siwezi kuzisoma?

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Naambiwa tangopori you have no access to view the post.
Inaniuzi maana kuna thread moja nimeanzisha kule MMU lakini nimekuta imeandikwa moved halafu siruhusiwi kuisoma. Hii inakuwaje?
 
Naambiwa tangopori you have no access to view the post.
Inaniuzi maana kuna thread moja nimeanzisha kule MMU lakini nimekuta imeandikwa moved halafu siruhusiwi kuisoma. Hii inakuwaje?
Mtumie Private Message {PM} Invisible umuombe akupe ruhusa ya kuingia jukwaa la Mambo ya kikubwa, huko ndiko utaikuta thread yako. Tangopori
 
Last edited by a moderator:
Afu hata hii thread itakuwa moved na kupelekwa kwenye complaints
 
Kumbe ndivyo kulivyo huko!!! itabidi niongee na Robot anipe access ya kuingia huko FirstLady1
 
Last edited by a moderator:
Ukiona ujumbe huo inamaana kuwa huna access katika jukwaa hilo. Ili uweze kupata access ya jukwaa hilo tafadhali tuma ombi lako via PM kwa Invisible ili uweze kupata access.
 
Naambiwa tangopori you have no access to view the post.
Inaniuzi maana kuna thread moja nimeanzisha kule MMU lakini nimekuta imeandikwa moved halafu siruhusiwi kuisoma. Hii inakuwaje?
Mie nimezuiwa kwenye chit chat halafu mara jamii photo ! Ni nini kinaendelea ?
 
Back
Top Bottom