Mbona kila wanachosema naona wanakosea

Mess

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
661
181
Siku hizi nawasikiliza wabunge wa chama tawala kila wanalosema naona wanakosea hivi wanafanya makusudi au wanafanya nini? Jana namsikia aliyekuwa mwanasheria mkuu anawabeza chadema eti kuwa walisema wangepata katiba ndani ya siku mia moja, hivi nani aliyesema hayo??? Mimi nadhani na wote tunatambua kuwa walisema mchakato utaanza ndani ya siku 100 na sio katiba. Hakiyamungu wabunge wa CCM wanachukulia advantages ya kutokufuatilia mambo ya kutokuwa na elimu.

Shame on him.
 
Ndiyo, wanasema katiba walivyofanya ndivyo walivyosema ifanyike hivyo wanadhani sisi hatuwasikilizi na wanatumia ujinga wetu kusewma watakavyo.
 
Back
Top Bottom