Mbona Kikwete haeleweki?

Lsk

Senior Member
Oct 10, 2011
178
26
Juzi akihutubia mkutano wa wanachama na na washabiki wa CCM,Kikwete alisisitiza kutowachagua wana-CCM wanautuhumiwa na wale wanaotuhumiwa na ufisadi. Huyu mukulu mbona anatuchanganya? Si yeye aliyewapigia kampeni wale watuhumiwa wa ufisadi mwaka 2010 akiwasifia kuwa ni mapanga yasiyoisha makali. Je huyu mweshimiwa anadhani tumesahau zile kampeni zake mpaka aanze kutupigia hizi porojo zake leo?
 
that's why I love my president he is so flexible YAANI anabadilikabadilika kutokana circumstances.... Ukigeugeu ni mfumo unaomsaidia Mtu kufit popote keep it up JK
 
jk tuonee huruma rais wetu tumekukosea nini baba au ni kisasi cha ushindi wa kishindo,tsunami na kimbunga!? Au tume ya uchaguzi inatudangaya ulipigiwa kura chache sasa ndo unatuadabisha basi inatosha mkwele mwenzangu tumekoma tutakuchagua hata kwa mara ya tatu waukae
 
jk tuonee huruma rais wetu tumekukosea nini baba au ni kisasi cha ushindi wa kishindo,tsunami na kimbunga!? Au tume ya uchaguzi inatudangaya ulipigiwa kura chache sasa ndo unatuadabisha basi inatosha mkwele mwenzangu tumekoma tutakuchagua hata kwa mara ya tatu waukae

Mkuu nimecheka sana ehehhaahhahaaaa
 
Choice of God,handsomeboy si ndo vigezo mlivyotumia sasa mikelele ya nini,ikifika 2015 sikilizen tena ushauri wa viongoz wenu wa dini as ccm inatafuta tena epa ya kumpitisha chaguo la mungu part 2!!!
 
sio kila kitu hadi kikwete aongee,huo ni ushamba mkubwa.hili suala lipo kwa waziri mkuu,kwa nini rais aingilie kati?nchi inaongozwa kwa utaratibu
 
Ni mnafiki,kiongoz nyau kuliko wte dunian!Hata ibilis anamchukia kwa ukigeugeu wake!LAZIMA AHARE au AHARISHE miaka ilosalia!Kiburi akamfanyie mkewe hko mm Salma!
 
Handsome boy toka lini akawa na akili lile sanamu alifikiri urais ni ucelebrity kama wa holywood ,this president Hopeless kabisa.
 
mtajuta mlioipa ccm ushindi wa kishindo ,vumiliene kishindo sasa mpaka watakapo maliza hamu yao,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom