mbona hauirekebishi redio?

mkudeson

Senior Member
Nov 24, 2011
104
16
Mtoto: baba sasa ivi saa ngapi?
Baba: mabetri yaliisha chaji kwa hiyo saa imesimama.

baada ya kuweka mabetri;
Mtoto: baba unaifanya nini hiyo saa?
Baba: nairekebisha ili iwe sawa na saa nyinginezo maana ilishapoteza majira.

Siku mbili baadae baba akaibiwa ile saa yake ya mkononi.
Mtoto: baba sasa ivi saa ngapi?
Mama: umeme umekatika kwa hiyo redio haifanyi kazi.

baada ya umeme kurudi:
Mtoto: baba, redio ilishapoteza majira mbona hauirekebishi?
 
Ndo tatizo,watoto wadogo wameshaanza kuonja viloba sa unategemea angejibu nini!!
 
Back
Top Bottom