Mbona Ethics Classes Hazifundishwi ktk Vyuo Vya Kikiristo TZ?

Kwanini ume-target vyuo vya kikristo tu? Unamaanisha ndivyo vinavyozalisha MAFISADI au? Hata some public varsities hawana hizo programmes, baadhi km MU ndo hilo somo limeanza fundishwa......

Nimetumia vyuo hivyo vya Kidini kwa sababu ndivyo vinaanza kukua kwa wingi TZ. Tunataka Taifa lenye maadili mema, na kama hivi vyuo vya Kidini vitatoa Graduate ambao watakuwa wanatoa kipaumbele Ethics courses ktk vyuo vyao basi nchi yetu itapungua Rushwa.

Sema kuna tatizo jengine ambalo Science haiendani na Dini. Kwa mfano, Global Warming. Dini ya Kikiristo haiamini kuhusu Global Warming kwamba imeletwa na Polution ambayo imesababishwa na Binadamu. Wao wanasema ni Mungu ndiye aliyeleta Global Warming.

Sasa, Je hivi vyuo vya Kidini St. Universities, Vinapingana na Biblia yao?

Hapo ndipo sual la Ethics linakuwa tatizo ktk Vyuo vya Kidini.
 
wewe ulifundishwa kwenu?
hemu tumegee kidogo.

Naona kama tunakimbilia kumponda huyu jamaa kwa haraka sana.
Jamaa anaweza akawa na point (ipo) ila anaipresent vibaya.

Kabla sijamtetea, anaweza akatutajia vyuo ambavyo si vya kikatoriki
na vinafundisha hizo ethics anazozisema yeye? atupe na course details.

Back
Top Bottom