Mbona Bongo kunatisha?

Miongoni mwa sababu kubwa kwa nini watu wanapomaliza masomo nje ya nchi hutamani kuendelea tu kusoma ilimradi wasirudi nyumbani manake kuna maswaiba ya kila namna.. Pole zangu kwa wahusika wote.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Pole sana!

Isolated incident! Bongo poa tu na amani kama nini! N aukiwa na aelimu na kazi yako nzuri..maisha rahisi sana!

Majambazi yapo tu kote duniani..ni wasughulikiwe tu popote walipo!
 
Back
Top Bottom